ajira

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira linaendelea kutatuliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua fursa za ajira nchi nzima alitoa vibali vya ajira zaidi ya elfu 55 nchi nzima. Lakini pia aliongezea...
  2. JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya pale tu unapoingia katika soko la ajira

    Hii nakala nime copy kutoka moja ya mitandao ya kijamii. MWANDISHI: Iddy Makengo, 11 Sep 2017. NINI CHA KUFANYA PALE TU UNAPOINGIA KATIKA SOKO LA AJIRA! Miaka kama nane hivi iliyopita nilikua katika soko la ajira, ingawa sikusumbuka sana kwa maana ya kukaa muda mrefu bila ajira lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri ajira za watumishi wa umma ziwe za mikataba

    Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Kilimo bila katiba mpya ni ndoto

    Ajira mpya zimeshindikana kutengenezwa wakati Population ya watu inaongezeka kama utitiri. Serikali imefeli kubuni na kuendeleza mifumo iliyopo ya kiuchumi ili izalishe ajira. Kwa nchi yetu hii, Kiwanda pekee kinachoweza kutoa ajira kwa idadi kubwa ya watu ni KILIMO.. Tumeshindwa kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

    Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia. Waziri husika hakufanya kazi yake. Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa ngazi ya juu ni lazima utanguliwe na vetting. Vetting hii inafanywa na vyombo tofauti ikiwemo TISS...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya Pili ya Mchakato wa Ajira ni Kuandaa Tangazo la Kazi

    - Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika. - Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na Sekretarieti ya Ajira ambayo yanatafsiri Sera, Sheria Kanuni na Miongozi mbalimbali inayohusu michakato ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mchakato wa ajira?

    Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili...
  8. JamiiForums Tanzania Usiende F.5 ili uwahi kupata ajira mapema zaidi. Nawasanua kama hivi

    Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko. Hakikisha F.4 unakung'uta Div 1 kali ajabu somewhere around point 7, 8, 9 na kuishia 14. Then, nenda...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mtaala yasisahau kuzifuta kozi ambazo hazitoi ajira kwa wahitimu wa vyuo

    Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi. Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki kwa serikali. Tupo kwenye mchakato wa kubadili mtaala wetu ili uendane na mazingira yetu. Basi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi kuna majina ya nyongeza kwenye Ajira Portal za Serikali?

    Habari zenu wanaJF Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina. Swali langu ni kwanini wa-set...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kilimo ndiyo fursa kubwa ya ajira

    Huu ndio uongozi ======== "Sensa ya hivi karibuni inaonesha vijana ni takribani asilimia 34 ya watu wote milioni 61 na hali hii inaleta changamoto nyingi, kama ukosefu wa ajira na nyinginezo. Kwahiyo tumefikiri wanaweza kuingizwa kwenye uzalishaji kwenye sekta ya kilimo na tumeanza kutengeneza...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena. Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa. Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini ktk awamu ya tano ajira binafsi na umma zilikata

    Kipindi Cha awamu ya tano ya jpm ajira zote ziliyeyuka ikawa kila msomi ambaye Hana ajira anafikilia kuwa machinga na rais anafurahia Hali hiyo. Tukianza na private sector kama mabank, hospitali binafsi au shule binafsi hazikiwa zinataka kuajiri kabisa na zaidi sana zinapunguza hata waliopo...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Koneksheni inavyoweza kurahisisha jambo lako

    Habari za muda huu Mpwa! Ni siku nyingine tena tunakutana katika kuangalia yale mambo kadha wa kadha ambayo yanagusa maisha yetu. Mpwa, leo nimekuja na jambo moja tu ambalo ndio limekuwa muhimili wa sasa katika maisha ya leo yaani 'Connection'. Ni neno la kawaida sana ukilisoma na kulitamka...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kustaafu na majengo ya kupangisha ukiwa kwenye Ajira/Biashara

    Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya kutumia nyumba za kupangisha. Maana yangu ya kustaafu na majengo ya kupangisha. Ni kufikia hali ya...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

    Moja kwa Moja kwenye mada.. Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara.. Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa.. Swali, Kwanini Serikali isifute hivi vyuo vikuu...
  17. JamiiForums Tanzania Watu tuliopata A, B na C hatuna haja ya kuajiriwa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Inashangaza sana mtu Kidato cha Nne umepata One au Two harafu kidato, Kidato cha Sita pia ukatusua vizuri tu harafu ukaingia chuo. Chuo unatoka na GPA ya nzuri kabisa ya kwamba masomo ya chuo ww unayaweza. Hongera! Harafu unakuja mtaani unaanza kulilia...
  18. JamiiForums Tanzania Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

    Bright and Genius Editors P.O. Box 3456, Dar es Salaam Phone: 0687746471 Email: bandg.editors@gmail.com 09 February 2025 Commissioner General, Tanzania Revenue...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) wishes to invite qualified Tanzanians to fill vacant posts in District Offices as shown below: 1.0 INVESTIGATION OFFICERS II (220 POSTS) 1.1 Required Qualifications: 1.1.1 Academic Qualifications: Applicants...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira za Polisi 2022/2023

    Msaada wana JF, Kuna mdogo wangu,alituma maombi ya kazi polisi, kwa kutumia cheti cha kidato cha nne (IV) waliambiwa wapeleke kwa makamanda wao wa mikoa, tofauti na wale weneye elimu kuanzia certficate hadi degree walituma maombi kwa njia ya mtandao. Leo tovuti ya jeshi la polisi imetoa orodha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…