Nini maana ya mchakato wa ajira?

Nov 15, 2022
25
142
Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.

Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
 
Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya, ila ninaushauri wa jambo wa hili jambo linaumiza wengi na kupelekea wengine kupata msongo wa mawazo (Depression)

Mtu kasafiri kutoka kwao mpka dodoma...
Anafanya mtihani let say matokeo yanatoka , naomba nichukulie mfano wa matokeo ya leo ya TPDC anapata Mtu anapata 57.50 ...then cutting point ni 58. So actually hapo anakuwa Not selected ....Hivi kuna njia ya kuhakikisha huyo mtu anakuwa hana msongo wa mawazo??? .... Au cutting point 50 mtu anapata 49. Mimi nilikuwa napendekeza jambo .... Hivi kwann msifanye kuwe na best looser ?? Yani unakuta mtu siku kakomaa amepata 64 thn siku hiyo cutting point inakuwa 65.

Nawaambia kuna siku watu watajinyonga either muwekw watu wa council kabla ya paper kuanza mtu awekwe kisaikolojia. Aambiwe tu hata ukipata 77.99 then cutting point ni 80. Unatakiwa ushukuru cz inawezekana nafasi yako bado ila utakuja siku utapata.... Au kuwe na chance ya best looser ...la si ivyo Mnatengeza watu wenye msongi wa mawazo beleive it.
 
Yote uliyoyasema kwa upande wangu naona hayana mashiko na napendekeza utaratibu ubaki kama ulivyo.
Mosi, kama cutting point ni 58 wewe uliepata sijui 57.5 ni umefeli kwasababu wakisema wakuchukue na wewe basi yule aliyepata 57 nae atalalamika kama wewe "yani 0.5 tu wameniacha daah jamaa hawapo fair. ."

Pili, huo mfumo wa best looser pia malalamiko yatakuwa ni hayo hayo tu. Kikubwa tulizike na matokeo

Kwakumalizia kama una afford kufika Dodoma nenda kaza buti piga interview ukiona hujawa selected iwe kwenye written au oral basi jipe imani kuwa wakati wako haujafika.
 
AMIIN AMIIN 🙏
 
BUT I WISH ATLEAST BASI KUWE NA STANDARD CUTTING POIT ILI MTU AWEZE KUJI MUTE KISAIKOLOJA....SIO MTU SIKU ANAPATA 65 WAO WANABEBA 66... SIKU KAPATA 66 WAO WANABEBA 67 HAPP NDIO UNAANZA KUSEMA LABDA AMEROGWA
 
Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya, ila ninaushauri wa jambo wa hili jambo linaumiza wengi na kupelekea wengine kupata msongo wa mawazo (Depression)

Mtu kasafiri kutoka kwao mpka dodoma...
Anafanya mtihani let say matokeo yanatoka , naomba nichukulie mfano wa matokeo ya leo ya TPDC anapata Mtu anapata 57.50 ...then cutting point ni 58. So actually hapo anakuwa Not selected ....Hivi kuna njia ya kuhakikisha huyo mtu anakuwa hana msongo wa mawazo??? .... Au cutting point 50 mtu anapata 49. Mimi nilikuwa napendekeza jambo .... Hivi kwann msifanye kuwe na best looser ?? Yani unakuta mtu siku kakomaa amepata 64 thn siku hiyo cutting point inakuwa 65.

Nawaambia kuna siku watu watajinyonga either muwekw watu wa council kabla ya paper kuanza mtu awekwe kisaikolojia. Aambiwe tu hata ukipata 77.99 then cutting point ni 80. Unatakiwa ushukuru cz inawezekana nafasi yako bado ila utakuja siku utapata.... Au kuwe na chance ya best looser ...la si ivyo Mnatengeza watu wenye msongi wa mawazo beleive it.
Mkuu umeongea ya moyoni...yana ukweli kbsa haya maneno hawa jamaa watakuja kuua watu aisee
 
BUT I WISH ATLEAST BASI KUWE NA STANDARD CUTTING POIT ILI MTU AWEZE KUJI MUTE KISAIKOLOJA....SIO MTU SIKU ANAPATA 65 WAO WANABEBA 66... SIKU KAPATA 66 WAO WANABEBA 67 HAPP NDIO UNAANZA KUSEMA LABDA AMEROGWA
Suala la cutting point linaumiza sana aisee siku umejtutmua unapata zaid ya 50 wana wanakatia hapo juu yako inaumiza mno
 
Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.

Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Tunaomba mtusaidie ufafanuzi kuhusu waraka huu.

=====

Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010.
 
Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.

Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Mchakato huu hufanyika kwa uwazi kiasi gani?
 
Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.

Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Mkuu tunaomba ufafanuzi wa status kwenye account zetu baada ya oral maana zinaleta mijadala isiyo na majibu
 
Mchakato wa ajira umejaa rushwa na janja janja nyingi sio sekretalieti ya ajira wala hizo ajira zinazotangazwa na tamisemi...mtu akilalamika kwa kufanyiwa dhulma eti anaambiwa " awaraumu wazazi wake walioshindwa kumuandalia fursa"......TUMECHOKA TUNAPOELEKEA NI BORA MTU AJITOE MUHANGA KWENYE HIZO OFISI UCHWARA ZENU TUFE WOTE NA TUKOSE WOTE ILI WALAU TUPUNGUZE HUU UKIRITIMBA NA WADOGO ZETU WASIJE KUTESEKA KAMA SISI.
 
Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.

Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Kuna mtihani tulifanya Kuna Jambo sikulielewa labda kwa sababu ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufanya mitihani yenu.

Jambo lenyewe ni hili, ile karatasi ya maswali inakuwa na sehemu ya kuandika namba yako ya PSRS... Baada ya hapo Kuna sehemu ya write your signature here, hii sehemu ya signature niliona Kama haijakaa sawasawa kwa sababu signature mtu anaweza andika jina lake full.

Sasa mtu signature yake ikiwa labda Kisiki Jembe na anayemark ubini wake ni Jembe na anamfahamu Kisiki vizuri, Je atakuwa fair kusahihisha?

Maoni yangu namba inatosha tu, hiyo signature haina haja.
 
Hili nalo neno
 
Back
Top Bottom