ajira mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Njia ya Kuwatimua Machinga ni Serikali Kutengeneza Ajira Mpya

    Njia rahisi ya kuwatimu wamachinga ni serikali kutengeneza ajira mpya. Haina maana kabisa kuwa na mji msafi halafu watu wanakufa na njaa, watu wanashindwa kuhudumia familia zao. Tatizo liliopo siyo machinga kuteka mitaa, tatizo liliopo ni hakuna ajira mbadala. Tengeneza ajira umachinga utakufa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Rais Samia na Serikali yako tukufu

    Tunashukuru Mh. Rais Samia na Serikali yako sasa tumeanza kuona ajira mpya. Ni jambo la kheri na inatia faraja kiasi. Lakini pamoja na hayo yote mema na mazuri, Mheshimiwa tunaomba usawa katika nafasi hizi kama ikikupendeza nikiwa na maana hii: 1. Kuna baadhi ya kada hazipati fursa ya kutoa...
  3. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu 10,000 zinakuja mwaka huu wa fedha 2021/22

    Ajira mpya zimepunguza uhaba wa Walimu wa Sayansi =AZWFt27YcO67kbShO8yXVYcSKqMkT6-epL7OG-vvW_J7xFgRydHODCvYTMHUXVXZp7O6FHXfEs8s2Zp3ngaIKABVJeQYsqufpgOjwzBO08RmPcUKjiii7YytKCIfOiW7Da1rPVEx0n1L6SaZMFthh_hr&tn=-]K-R']Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
  4. DSJ

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa waliosomea ukatibu mahsusi (personal secretary)

    Maombi yatumwe kupitia: application@uti.ac.tz U
  5. msovero

    JamiiForums Tanzania Kuna hali ya kukata tamaa kwa vijana baada ya ajira mpya za walimu

    Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka. Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mtumishi mpya wa Serikali anapewa wiki ngapi kabla ya kuripoti kazini?

    Ninavyojua Mimi Ni kwamba majina yanatakiwa yatoke kabla ya week sita au nane ili muajiriwa akajiandae kabla hajareport kituo chake Cha kazi. Sasa kama inavyosemekana kuwa ajira mikataba mipya itaanza Mosi Julai na leo zimebaki week tano tu kufikia tarehe moja mwezi wa saba ili mwaka mpya wa...
  7. jobtz

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya Wizara ya Afya

    (Ajira mpya Wizara ya Afya) May 2021. As for MoHCDGEC announces vacancies for graduates to apply through the website www.moh.go.tz and other media like magazines based on the cadres as per employer requirements. The applicant will then apply through www.ajira.moh.go.tz and fill their...
  8. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama kila siku vinalilia ajira mpya, navyo vipewe sasa

    Nimeshuhudia jeshi la Magereza likiomba ajira mpya sio chini ya mara mbili kipindi cha Mwendazake lakini halikupewa hata mmoja na badala yake kuambiwa watumie wafungwa kwa hiyo wafungwa wapewe bunduki wajilinde wenyewe? Polisi leo nao sio mara ya kwanza kuwasikia wakiomba ajira mpya na kupigwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726 Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana na vifo, kustaafu, kuacha kazi au kuhamia sekta nyingine. Waombaji wanatakiwa kuomba kupitia tovuti...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hili la ajira mpya umeturudisha nyuma alipotuachia Hayati Magufuli

    Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40...
  12. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

    Kada ya elimu wataajiri watumishi wapya 10,297, afya 11,215, kilimo 1,383, mifugo 1,250, uvuvi 733, Jeshi la Polisi 1,782, Magereza 843, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji 512 na watumishi wapya wa hospitali za mashirika ya kidini na hiari 1,240. Serikali ya Tanzania imesema katika mwaka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya hakuna, halafu hela mnakula wenyewe, Good God will pay you

    Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri. Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tupunguzie mateso, tumecheleweshwa sana ajira mpya

    "SIKIA SAUTI YA WANYONGE': Tangu awamu ya mheshimiwa hayati Magufuli ilipoanza,mfumo wa ajira ulipinduliwa. Tulikuwa tunategemea kila mwaka ajira zipo hasa kwa idara ya afya,walimu, na kilimo na mifugo. Tangu mwaka 2015,tupo mtaani tunahangaika,Tena sisi wanufaika wa HESLB tunazalishiwa deni...
  16. F

    JamiiForums Tanzania 2 Entry Level Office Managers (Trainees)

    First Class Africa (FCA) is The Premier Provider of African Experience. At First Class Africa, we are a vibrant team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are seeking 2 Office Managers (Trainees). You will be hired as a...
  17. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Maoni: Kama hupati Kazi fanya haya

    Nitakuwa specific and short, but clear: Nimeona threads nyingi JF wadau wengi sana haswa waliomaliza chuo kikuu, wakitumia mda mwingi kuomba connection za kazi lakini hakuna mafanikio hata kwa zaidi ya miaka. Huku wengine kuhisi wana mikosi au hawana bahati na kutoboa. Basi, leo nitatoa somo...
  18. DSJ

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wenye Shahada ya Uandishi wa Habari na/au Mawasiliano kwa Umma

    Fursa ya Ajira kutoka DSJ Tuma CV yako kwenda: application@uti.ac.tz Sambaza upendo huu kwa uwapendao
  19. L

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI fuatilieni Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhusu ajira mpya za Waalimu kuna urasimu mkubwa

    Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba. Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
  20. Kategele

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, Ajira mpya za ualimu

    Habari wanajukwaa wenzangu, natumai mu wazima mkiendelea na mapumziko ya weekend hii. Moja kwa moja nalipanda jukwaa hili nikihitaji msaada kuhusu ajira mpya za ualimu. Kifupi Mimi ni mhandinsi Ujenzi miaka ya 2016 nilibahatika kupata ajira serikalini ya kufundisha kwa kuwasikuwa na pa...
Back
Top Bottom