ajira mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi limewekwa leo kwenye nipashe

  2. L

    JamiiForums Tanzania Kuelekea ajira mpya za Walimu, hivi Serikali inaujua ukweli wa hali ilivyo mashuleni?

    Salaam, Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule hiyo ina walimu wawili tu, Mkuu wa shule na mwalimu mwenzake. Shule hii, iliyoanzishwa mwanzoni mwa...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ili la kuacha Halmashauri ziwapangie Ajira Mpya vituo vya kazi, limezalisha Rushwa ,hususan Rushwa ya Ngono !!

    Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini. Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira mpya za afya

    Hivi inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira mpya za afya

    HIV inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
  6. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ latangaza ajira mpya

    Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi jeshini kwa vijana wakitanzania wenye umri usiozidi miaka 25 wenye elimu ya kidato cha nne na cha sita. Uandikishwaji huo utahusisha pia vijana waliopokatika kambi za jeshi la kujenga taifa JKT na waliopata mafunzo ya JKT kwa...
  7. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali

    Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu.... Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zenye uhaba wa Walimu kupewa kipaumbele kwenye ajira mpya

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema katika Ajira mpya za Kada ya Ualimu zitakazotolewa hivi karibuni mgawanyo wa walimu hao utazingatia Halmashauri zenye uhaba wa walimu. Mhe. Katimba ameyasema hayo katika mkutano wa 15 kikao cha 52 cha Bunge la...
  9. Chongeni

    JamiiForums Tanzania Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli?

    Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa. Wenye siri nzito za ajira mpya ni lini zitatangazwa tudokezeni. Thank you
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya kupelekwa kwenye zahanati zenye uhaba wa watumishi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali inatarajia kutoa kipaumbele katika zahanati zilizo na mtumishi mmoja kwa kuongeza idadi ya watumishi katika ajira mpya zitakazotangazwa ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi. Dkt. Dugange...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tamisemi huyo mkurugenzi wa Pangani ni mpigaji na wasaidizi wake asiachwe kabisa, mpaka leo ajira mpya hawajalipwa pesa za kujikimu

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Isaya Mbenje na Watendaji walio chini yake kujitafakari juu ya mwenendo wa utendaji kazi wao kutokana na kushindwa kusimamia miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo ikiwemo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa changamoto kwa ajira mpya kulipwa pesa za kujikimu katika Halmashauri nyingi

    Habari za muda ndugu zangu. Kwanza kabisa niipongeze serikali kwa juhudi za kuajiri hasa mwaka huu wa 2023, imejitahidi sana kuajiri vijana katika kada mbalimbali tofauti na za ualimu na afya sambamba na pongezi hizo naomba serikali kupitia wizara hasa TAMISEMI wawape maelekezo na miongozo...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza Fedha za Kujikimu za Ajira Mpya zilipwe kabla 30 Oktoba, 2023

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb) amewaelekeza Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanalipa fedha za kujikimu kwa Watumishi wa ajira mpya za Ualimu na Afya walioripoti kwenye vituo vya kazi kuanzia mwezi...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Midwife Supervisor at Médecins Sans Frontières (MSF)

    Position: Midwife Supervisor Direct Reports: Midwife Activity Manager. Location: Nduta Camp Kibondo. For National Staff Only Minimum Educational Qualification: · Bachelor degree in Midwifery or Diploma of Midwife · Must be Registered by Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC) with Valid...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Technician Automotive (1 Post) at MWEKA

    Position: Technician Automotive – 1 POST Employer: Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (MWEKA) Duties And Responsibilities i. To participate in repair and maintenance of vehicles; ii. To identify the likely defects that might cause vehicles; iii. To ensure proper arrangements, cleanness and...
  16. Leo Lee

    JamiiForums Tanzania Hela ya kujikimu kwa Ajira mpya

    Samahani ndugu napenda hvi kazi ya hela ya kujikimu ni ipi hasa? Maana haitolewi kwa wakati
  17. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

    Habari wadau, Nilikuwa nawadharau sana vijana wanaoimbaimba na kucheza cheza TikTok. Nawaona wapuuzi hawana kazi ya kufanya na wajinga. Mtoto wa shangazi yangu ni mmojawapo wa hao wapuuzi wa TikTok. Ana followers laki 6 huko TikTok. Ni binti ana miaka 21 na anasoma chuo kikuu kimojawapo...
  18. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya wapata mishahala wengine bado

    Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia...
  19. nipo online

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  20. Born_T0WN

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja. Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
Back
Top Bottom