Mtumishi mpya wa Serikali anapewa wiki ngapi kabla ya kuripoti kazini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,954
2,000
Ninavyojua Mimi Ni kwamba majina yanatakiwa yatoke kabla ya week sita au nane ili muajiriwa akajiandae kabla hajareport kituo chake Cha kazi.

Sasa kama inavyosemekana kuwa ajira mikataba mipya itaanza Mosi Julai na leo zimebaki week tano tu kufikia tarehe moja mwezi wa saba ili mwaka mpya wa fedha uanze.

Hivi kweli kuna dalili za ajira wakuu au tuendelee kuumiza matumbo kwa kusubiri mpaka September au December kabisa.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,286
2,000
Yaani kumaliza Application tu hapo hata deadline haijaisha tayari umeshajenga matumaini, kwamba ushapata kazi?
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,954
2,000
Huko uliko unaamini umeshapata tayari baada ya kuomba?
Ok. Labda nikudokeze kidogo niliomba nafasi za kujitolea chini ya ruwasa tokea March na ilikuwa za kuchagua mikoa mitatu kwa miezi sita na waziri aweso kila Mara anakumbusha kwamba miradi tupewe tuijenge hela zipo ila mpk Sasa kimya hawajatupigia simu ndo maana nikajisemea labda mpk tarehe moja July Sasa ndo nauliza je kwa mtumishi kikawaida anatakiwa apewe week ngapi kabla
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,767
2,000
Week 2.

Yaani ukiitwa kazini, unaenda kuriport hafu unaomba likizo ya week 2.

RUWASA intern wameshaanza kuita, wanaitwa kwa direct communication sio kwa kutoa majina. Ila wameanza ile mikoa ambayo kuna miradi ya Maji inaendelea.
 
Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
18,559
2,000
Hili life bro ila POA nicheke furahia Sana ila omba yasikukute.btw soon as possible tutakula shavu naamini Magufuli alishatengeneza mifumo ya kazi nyingi kuwepo
Magufuli katengeneza ajira kedekede na alikuwa anaajiri sana ila nashangaa wewe mpaka leo hukupata ajira enzi zake😅😅
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,954
2,000
Week 2.

Yaani ukiitwa kazini, unaenda kuriport hafu unaomba likizo ya week 2.

RUWASA intern wameshaanza kuita, wanaitwa kwa direct communication sio kwa kutoa majina. Ila wameanza ile mikoa ambayo kuna miradi ya Maji inaendelea.
Shukrani Sana mkuu kwa hiyo nihakikishe kuanzia week ijayo a kuendelea simu ipatikane 24 hours...

Ila pia kwa zile nafasi za veta niliombaga plumbing ili niongeze ujuzi kdg jana kanipigia simu Akauliza tu ninafanya shughuli gani kwa Sasa nikamjibu biashara ndogo ndogo za kutembeza akaniuliza je huko mtaani una vijana wenzako ambao Ni mafundi nikamjibu ndio akasema je Kama wakija Huku mtaani nitaweza kuwaoshesha hao mafundi

Hakunambia kingine akakata Sasa sijui ndo maswali yenyewe ya usaili wameamua kwa njia hiyo
 
Alitumia namba ya mkononi au ya landline?

Maana kwa zile nafasi lazima kuna watu watapigwa sana hela wataambiwa watume hela.

Kuhusu kuwaonesha, si unatafuta vijana kadhaa tu mbona wamejazana.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,954
2,000
Magufuli katengeneza ajira kedekede na alikuwa anaajiri sana ila nashangaa wewe mpaka leo hukupata ajira enzi zake
Embu kaa kwa password kaa kwa kutulia watu tulishaharibikiwa maisha kitaa af na wewe unakuja kunichanganya hapa..wewe hapo ulipo una nafasi gani Una kazi gani
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,954
2,000
Alitumia namba ya mkononi au ya landline?

Maana kwa zile nafasi lazima kuna watu watapigwa sana hela wataambiwa watume hela.

Kuhusu kuwaonesha, si unatafuta vijana kadhaa tu mbona wamejazana.
Alitumia ya mkononi ya Voda kabisa.sidhani Kama wanaweza kuwafuatilia watu wote hao Zaidi ya 2000 tuliomba kwenye mkoa wangu Labda Kama wanatupigia ambao tume qualify pekee
 
Honorable GPA

Senior Member
Mar 31, 2019
143
250
Week 2.

Yaani ukiitwa kazini, unaenda kuriport hafu unaomba likizo ya week 2.

RUWASA intern wameshaanza kuita, wanaitwa kwa direct communication sio kwa kutoa majina. Ila wameanza ile mikoa ambayo kuna miradi ya Maji inaendelea.
Hivi hiyo likizo inaombwa kwa mwajiri au mkuu wako wa kituo cha kazi.!?
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,237
2,000
Ok. Labda nikudokeze kidogo niliomba nafasi za kujitolea chini ya ruwasa tokea March na ilikuwa za kuchagua mikoa mitatu kwa miezi sita na waziri aweso kila Mara anakumbusha kwamba miradi tupewe tuijenge hela zipo ila mpk Sasa kimya hawajatupigia simu ndo maana nikajisemea labda mpk tarehe moja July Sasa ndo nauliza je kwa mtumishi kikawaida anatakiwa apewe week ngapi kabla
Sasa wewe unaenda kujitolea au kuajiriwa? Umesema tena ni miezi 6 tu sasa haya ya utumishi yanaingia vipi hapo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom