ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Milvik Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuongeza Ufanisi wa Wafanyakazi Wako: B2B Bima za Afya, Maisha na Ajali (Pamoja na Familia Zao!)

    Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu. Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
  2. mambo45

    JamiiForums Tanzania Ajali haina hodi.. siamini kilichotokea leo asubuhi

    Mi huwa naendesha gari ya shule frani iv iko maeneo ya kinyerezi leo katika mizunguko yangu ya kila siku bhna nikakutana na mwalimu mkuu nilivyo nishamaliza kuwafikisha wanafunzi nataka kupark gari. Akanambia toa gari kunasehmu nataka twende unisindikize tukaenda njiani akawa anani shawishi...
  3. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Malaika wanatulinda bila sisi kuwaona, binafsi nimeona malaika wakinilinda mara kadhaa na kuniepusha na mauti ya ajali barabarani

    Yani ile ajali ya barabarani ya pikipiki ilinirusha juu baada ya kufunga breki ya pikipiki ghafla ili kukwepa kugonga gari za mbele na ya pembeni baada ya gari ya mbele yangu kufunga breki gafla tukiwa kwenye mwendo.Gari iliyokuwa nyuma yangu ikanipushi pikipiki yangu kushoto ilipelekea kukosa...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wanakwaya Jimbo Katoliki Bagamoyo wapata ajali mbaya Singida

    Kwaya ya Damu Takatifu ya Yesu, Parokia ya Yohana Mtume na Mwinjili, Tegeta Jimbo Katoliki Bagamoyo wamepata Ajali Mbaya katika Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida walipokuwa wakielekea Jimbo Katoliki Singida kwa ajili ya Ziara ya Uinjilishaji. Hakuna kifo chochote kilichoripotiwa kufuatia ajali...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi ingekuwaje kama binadamu wote tungekufa kwa aina moja tu ya kifo ajali?

    Hebu tufikirie kwa mfano tu dunia ambayo hakuna kuugua wala kufa kwa magonjwa wala uzee. Kila mtu siku moja atakufa kwa ajali tu, ila hajui ni lini na wapi na kwa ajali gani ajali ya ndege ,gari au meli..natamani kujua maisha yangekuwaje tofauti na yalivyo sasa? Watu wangekuwa waoga zaidi na...
  6. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Sikugonga Kitu Chochote, Lakini Nilipata Ajali: Simulizi ya Tukio la Kushangaza Lililonibadilishia Eneo la Kazi

    AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE Utangulizi Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro. Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Lucky Vincent: Ajali Iliyoligusa Taifa

    👉 Ajali iliyowahusisha wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent mwaka 2017 ni moja ya matukio yaliyoligusa taifa kwa huzuni kubwa. Tukio hilo lilitokea katika Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, na kuacha simanzi isiyoelezeka kwa Watanzania wengi. 👉 Wanafunzi hao walikuwa wakisafiri kuelekea...
  8. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hapa kwetu habari za kila siku ni ajali labda na teuzi. Wenzetu ni ubunifu na tafiti za kusaidia dunia

    Je hili mamlaka inaliona au ndio utamaduni wetu.
  9. Wakufoji

    JamiiForums Tanzania Kama uta pata ajali ya kujiunguza au mtu wako wa karibu akiungua mtibu hivi ata pona papo hapo

    Hii ndiyo tiba na huduma ya kwanzaya kuungua iwe na moto au maji au chochote. Ni baada yakupata hiyo ajali hakikisha haugusi kitu chochote cha baridi. Yaani epuka kutumia maji au kitu chochote cha baridi. Baada ya hapo tafuta nguo nzito au shuka zito au hata koti zito ni sawa kishachukua hiyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Gari lililokuwa limebeba Waandishi wa Habari lapata ajali

    Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa...
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mabasi mengi yanayopata ajali 'VTC' zimechezewa hazifanyi kazi

    Hivi karibuni tumeona baadhi ya viongozi nanwatendaji wakikemea kuhusu mwendokasi wa madereva lakini ajali bado ni nyingi, tulijaribu kufanya research ndogo kwa nini hasa hii hali. Na dereva mmoja alithibitsha kua vile vidhibiti mwendo katika basi nyingi vimechezewa na Ratra baadhi ya watendaji...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chemba zilizo wazi Posta (Dar) zifunikwe, zinasababisha ajali

    Maeneo ya Posta – Dar es Salaam chemba nyingi hazina mifuniko, juzi nimeshuhudia Bodaboda kaingia kwenye chemba wote na abiria waliumia. Tukio lingine imekuwa zamu yangu, nimepigisha kichwa kwenye kioo🥲, ni hapa Samora karibu na Kituo cha Mafuta.
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua wawili Mpanda, Wananchi wachoma gari

    Watu wawili wanadaiwa kufariki dunia baada ya kugongwa na gari walipokuwa wakisafiri kwa pikipiki, kufuatia gari hilo kupoteza mwelekeo, kuacha njia na kutumbukia mtaroni. Wakizungumzia tukio hilo, mashuhuda wamesema lilitokea katika mtaa wa Mpanda Hotel, ambapo waliogongwa ni dereva wa...
  14. Difo

    JamiiForums Tanzania Call to Action (kuna ongezeko la Ajali kwa siku za karibuni)

    Habari wana jukwaa. Wengi kwa sasa tumekutana na either post or habari kuhusiana na ajari. Kwenye mitandao ya kijamii (insta,facebook n.k just to mention few) tunapoteza wapendwa na nduzu zetu kila kukicha na nyingi zinatokea usiku magaro yanagongana ama kupinduka na katoka mazingota kama...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Basi la Happy nation 452 EDW limepata ajali Dakawa Mizani

    Dakawa mzani Basi la happy nation namba T 452 EDW limelala. Sababu ni mvua. Kama ulikuwa unamsubiri ndugu yako pole sana. Mtandao haushiki na mazingira ni mabaya.. Waruguru wametoa macho kama wanataka kuchomoa beteri🤣🤣 Tusubiri Polisi kwa habari zaidi.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume mwenye stress kama aliepata ajali ya kondomu kupasuka 😂

    Afu demu awe mcharuko asee unaweza kupungua kilo 2 kwa kila saa. 28 huna mke hujaoa unasubiri nini? Malaya wengi wameongua na hao hao wa mtaani ndio wanaojipanga ikifika usiku. Kwanini usiende zako kagera ukachukua zako mtoto wa kitutsi ukaenjoy bila stress Mwisho, wito kwa serikali wazuie...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Motorcade ya CS Aden Duale Yatajwa Katika Ajali ya Kisumu–Busia Highway: Witnesses Wanasema Ilihusika, Office Yakanusha

    Utata umeibuka baada ya ajali mbaya katika barabara ya Kisumu–Busia iliyosababisha vifo vya watu watatu. Mashahidi wa eneo la tukio wanadai kuwa motorcade ya Health CS Aden Duale iligonga tuktuk na kusababisha ajali hiyo mbaya. Hata hivyo, idara ya mawasiliano ya waziri huyo imekanusha madai...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni ajali tatu zilizoniachia kumbukumbu mbaya zenye simanzi kwenye akili yangu

    Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno. 1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana Shauritanga sec, Rombo Hii ajali ilitokea usiku wa tarehe 18 June 1994. Bweni lilishika moto na...
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
Back
Top Bottom