ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania RECORD: Majengo ya huduma kwa wagonjwa wa dharula kama ajali, kujifungua yameongezeka kutoka majengo7 mpaka majengo 125 ndani ya miaka minne

    === Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025. Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Watatu wafariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili kwa ajali, Morogoro

    Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili wa kidato cha nne, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha pikipiki yenye namba za usajili MC 534 DYX iliyokuwa ikiendeshwa na Baraka Sajio(22) iliyokuwa ikitoka Kihonda kuelekea Morogoro mjini, kugongana na lori lenye namba za usajili T...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  4. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Ripoti inaeleza kuwa njia ya mafuta ilikatwa kabla ya ajali iliyohusisha Air India

    Usitishwaji wa usambaji wa mafuta katika injini ya ngede kabla ya kuanza safari imetajwa kama sababu ya iliyosababisha ajali ya ndege ambayo imeua watu takriban 260 hii ni kwa mjibu wa ripoti ya uchanguzi ambayo imetoka kulingana na ripoti ya ofisi ya upelelezi wa ajali ya ndege ya india...
  5. Chibike

    JamiiForums Tanzania Utata mkubwa wazunguka KIFO Cha Mtoto wa JB MPIANA Oceane aliefariki kwa ajali

    Mwanamuziki nguli na mkongwe wa DRC wale wapenzi wa muziki ya Congo , rhumba , soukouss, n k watakua sio jina geni kwao, JB MPIANA , akiwa mapumzikoni South Africa, alitaarifiwa juu ya kifo cha Binti yake Océane kutokana na ajali ya gari. Océane alikua na mazoea yakwenda mara kwa mara...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na ajali za barabarani mifumo lazima isomane

    Moyo unauma kushuhudia idadi kubwa ya watu wanaumia na hata kukatisha uhai wao kwaajili ya ajali za barabarani. Inaonekana kama vile tumeshindwa kupambana nazo. Wadau wakubwa wa ajali hizi ni madereva, wenye magari, traffic Police, watengeneza barabara, wasimamizi wa usafiri, shule za udereva...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba vimefika 42

    Idadi ya vifo vya waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba barabara kuu ya Moshi-Tanga wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kugongana uso kwa uso na kuungua moto imeongezeka na kufikia vifo 42 huku Serikali ikitarajia kesho kukabidhi miili ya wa marehemu hao katika Hospitali...
  8. mfuaji

    JamiiForums Tanzania Wakuu hili taarifa ya ajali iliyotokea mpakani mwa wilaya ya kiteto na kongwa ina ukweli gani?

    Good morning! Jana usiki nilipewa taarifa ya ajali iliyotokea kwenye maeneo ya mpakani mwa wilaya ya kiteto (manyara na )na wilaya ya Kongwa. Inasemekana gari lile lilikuwa linaelekea mkoani Dar es salaam ambapo lilipinduka na kuwaua watu watano palepale na baadhi yao kujeruhiwa. Sasa kwa...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

    Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

    Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
  11. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alifanyaje kumaliza ajali?

    Wasalaam Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani? Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji? Pole wote wanaojeruhiwq lakini wapumzike kwa amani wote waliotangulia kwa ajali hizi
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Watu 38 Wafariki dunia katika ajali mbaya ya mabasi Kilimanjaro

    Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika wilaya ya Same baada ya tairi...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ajali zaua watu 43 na kujeruhi 44 Wilayani Same na Sumbawanga

    Watu 43 wamefariki dunia na wengine 44 kujeruhiwa katika ajali mbali za magari zilizotokea Wilayani Same mkoani Kilimanjaro na Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa. Tukio la kwanza ni la basi la Channel One kugongana uso kwa uso na Toyota Costa iliyokuwa imebeba watu waliokuwa wanakwenda kwenye...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali haitachutama kukaa kimya kuhusu Utekaji kwa moyo wa dhati hizi ajali ni Gharika ya Mungu kwa Taifa za wanasiasa zinafuata

    Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye kuumiza mioyo yetu
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Basi la SSB lapata ajali

    Basi hadi trafiki wanaliogopa. Hata taarifa ya Vifo hawatoi. Nimeambulia picha kwa mbali
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

    Basi la Channel one na Costa Mwami yamegongana na kuwaka moto. Cheki Point wilayani Same, umbali wa kilomita tatu kutoka Same Mjini. Ajali hiyo ambayo imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ua Same,Kaslida Mgeni,imetokea saa 12 jioni. Aidha,inadaiwa watu kadhaa wamefariki dunia kwa kuungua na moto...
  17. mrangi

    JamiiForums Tanzania Hii ajali si mchezo

    Hii sijuwi ilitokea wapi? Naona vyuma vimeumana Ova Mshana Jr
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ajali ya puto la hewa (Hot Air Balloon) yaua watu wanane Nchini Brazil

    Watu trakibani wanane wamefariki dunia kutokana na ajali ya tufe la hewa (hot air balloon) katika eneo la kusini mwa Brazil, kwa mujibu wa Gavana wa jimbo la Santa Catarina, Jorginho Mello. Kupitia ukurasa wake wa X, Mello alisema kuwa kulikuwa na watu 21 ndani ya tufe hilo wakati lilipoanguka...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

    Hesabu hazidanganyi. Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani. •Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele. •Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
Back
Top Bottom