ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Basi kampuni ya Mallesa lagongana uso kwa uso na lori, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Mallesa walilokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Geita kugongana na lori la mizigo katika Kijiji cha Rumasa, Wilaya ya Chato mkoani Geita. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Geita, Safia Jongo, amezungumza na TBC Digital kwa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajali Kemondo - Bukoba lawaingiza Mtaani Bwanku na Jeshi la Polisi kutoa elimu

    Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku, Ijumaa Oktoba 3, 2025 ameongozana na Polisi Kata wa Kemondo Afande Huruma...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia barabara ya Kilwa kuingia Dar kuna foleni kali iliyosababishwa na ajali

    wale watumiaji wa barabara ya Kilwa ikiwemo wanaoingia jijini Dar es Salaam na wale wanaosafiri mikoa ya Kusini chukua tahadhari mapema, wengine huko wamelazimika kusubiri kwa zaidi ya saa sita baada ya ajali mbaya iliyohusisha magari matatu, bajaj na pikipiki kutokea katika eneo lenye kilima...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Rubani apata ajali ya ndege akiwa na cocaine ya thamani ya $57,000 huko Brazil

    Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil. Polisi walipochunguza eneo la ajali, walikuta ndege hiyo ikiwa imebeba takriban kilo 200 za kokeini zilizokuwa zimefungwa katika...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi na Fuso yaua watu tisa na wengine kujeruhiwa

    Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa ajali wilayani Chemba, Dodoma. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyohusisha basi la abiria na lori la mizigo aina ya Fuso. Miili ya...
  6. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Familia yateketea kwa ajali Msata

    Ni familia ya Mr. Kaggi ya Masaki DSM walienda kwenye mazishi ya mama mzazi wa Mr. Kaggi huko Raskazone Tanga. Wakati wanarudi walipata ajali, alipona mke wa Mr. Kaggi na msichana wa kazi. RIP --------------- Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kisutu Dar es Salaam, Sophia Makange akisaidiwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ajali Rufiji: Mwenyekiti wa CCM Kilwa na Wengine Watatu Wafariki, 28 Wajeruhiwa

    Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya: Gari lililopata ajali kwenye msafara si langu

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo. Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

    Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni. Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa. Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu. Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
  10. hamis77

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takwimu na hatua dhidi ya ajali za barabarani

    Je, wahusika wa usalama barabarani wamejiwekea malengo gani kwenye kupunguza ajali za barabarani? Kwasababu, wanachi hatupewi takwimu zinazonesha kupungua kwa ajali za barabarani, hatua zinazochukuliwa dhidi ya wahusika wanaosababisha ajali ambazo zimekuwa zikitokea au mpango mkakati wa kupungua...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watanzania hasira zimekuwa kubwa sana jamaa kapata ajali ya pikipiki ambayo ni ya CCM imemlalia wanampita wakimwambia mitano tena.

    Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo. Sasa kuna tukio limetokea jamaa kada mtiifu kapata ajali pikipiki anayotumia ikamlalia hakuna hata...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  14. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kigwangala My Brother Njoo tuwaze wote Nje ya Box; maana kwa sasa na wewe slogan yako kubwa ni No Reforms No Election,Usiende kule ili mtu apate ajali

    Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena. Niende kwenye Mada kwa ufupi, Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;- Baba Levo- Kigoma Mjini JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki Kuna...
  15. excel

    JamiiForums Tanzania Ajali kazini: Shetani mwekundu amezidiwa nguvu na kudondoka

    Chombo cha mkuu wa anga Kamanda ni shabiki kindakindaki wa mashetani wekundu "Manchester United" toka mwaka 1940😅😅😅 Kwa ambao hamuujui "UNGO" hebu tazameni hapa Hili dege wanaweza kupanda hadi watu 50😅😅😅
  16. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini waombea eneo la ajali iliyoua watu 42 Same, Washauri kujengwa Mnara

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini wamekutana wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro kufanya ibada maalumu eneo kulikotokea ajali iliyoua watu 42 na wameiomba Serikali kuweka mnara wa kumbukumbu wenye majina ya waliofariki katika eneo hilo kama moja ya njia ya kuhifadhi historia Wamesema...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza ajali za barabarani?

    Wakuu ===== Ajali zimekuwa nyingi Kila siku tunaamka na ajali tunakwama wapy? Je, ajali za barabarani nchini Tanzania zinaendelea kutokea kwa sababu hatujui nini cha kufanya, au kwa sababu tunachukulia usalama barabarani kama jambo la kawaida? Kwa nini madereva wanaorudia makosa hatari...
  18. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Dark Day: Ajali ya Mbeya na Mtwara

    Ajali ya Juzi Mbeya iliyohusisha bus kuwagonga wanafunzi waliokuwa wanakimbia barabarani imeondoa vijana wetu 6 na wengine majeruhi. Ajali hii imetokea alfajiri tarehe 26.07.2025 Ajali kama hii ilitokea Mtwara ilihusisha school Bus kuingia mtaroni na kusababisha wanafunzi 8 kufariki na mwalimu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watoto 5 huko Mbeya imenisikitisha sana; Lakini hebu tujadili mambo haya machache kiufundi kwa usalama wetu

    Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo; Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi kama fundi samico naweza kuwapa kama fundi. Kwanza kabisa swali la kujiuliza kila mmoja, wale watoto...
  20. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hili eneo la Nyamikoma, Busega bila TANROAD kuweka matuta watoto wetu watakwisha. Jana mtoto mmoja kagongwa na basi la Zakaria.

    Jamani, naandika kwa majonzi makubwa. Jana nilishuhudia ajali mbaya ya mtoto mwenye umri wa miaka sita akigongwa na gari na kufariki papo hapo. Hii si mara ya kwanza kutokea katika eneo la Nyamikoma, Busega, mkoani Simiyu, katika barabara ya Mwanza–Musoma. Kama mnakumbuka, mapema mwaka huu pia...
Back
Top Bottom