ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata ajali mbaya ukiwa ndani ya bus?

    Umewahi kupata ajali ndani ya bus au gari ya abiria ukashuhudia abiria wenzako wakifa na kujeruhiwa au wewe mwenyewe kupata majeraha mabaya ya viungo au ukilema? Uliwezaje kuhimili mkasa kama huo na kuendelea na maisha kawaida?
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ili kukabiliana na ongezeko la ajali barabarani nashauri serikali iwe inafungia kampuni zinazomiliki magari yanayosababisha ajali kwa miezi 6 tu.

    Juzi kulitokea ajali ya bus mbeya, watanzania wenzetu wakafariki na wengine kuumizwa vibaya. Jana napo imetokea ajali ya bus mbeya na kuua watanzania kadhaa. Leo napo morogoro kuna ajali ya bus na lori imetokea na kuua tena watanzania. Serikali kama imeshindwa kuweka utaratibu wa kuwadhibiti...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mikese: Wanne wafariki ajali ya basi la Kibisa, 15 wajeruhiwa

    Watu wanne wamefariki dunia na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Kibisa lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na gari la kubebea mizigo…ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika kata ya Mikese Manispaa ya Morogoro. Kaimu Afisa Habari wa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Ajali Mbeya kilisababishwa na Uzembe wa dereva kushindwa kumudu gari kwenye Mteremko

    Jeshi la Polisi limesema ajali iliyotokea Mbeya Septemba 6, 2024 ilisababishwa na uzembe wa Dereva, Hamduni Nassoro Salum (37) kushindwa kulimudu Gari lake kwenye eneo lenye mteremko na kona kali kutokana na Uchunguzi wa awali uliofanyika Kulingana na ripoti ya polisi iliyotolewa Septemba 6...
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ripoti ya Ajali za Barabarani katika Mkoa wa Mbeya, RPC aondolewe haraka

    Katika mkoa wa Mbeya, kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na ajali za barabarani. Hali hii imekuwa ya kusikitisha na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa maisha ya wananchi. Katika ripoti hii, tunachambua sababu za ajali, athari zake, na mapendekezo ya jinsi ya kuboresha usalama...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Moro - Dodoma yafunguliwa Baada ya kufungwa kwa saa mbili na Wananchi wa mkundi akipinga ajali za mara kwa mara

    Barabara Kuu ya Morogoro-Dodoma ambayo mapema leo Septemba 5, 2024 ilifungwa na wananchi wa Mtaa wa Mkundi Sheli, Kata ya Mkundi, Manispaa ya Morogoro, kwa takriban saa mbili wakipinga ajali za mara kwa mara zinazotokea katika eneo hilo imefunguliwa. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Basi la Kampuni ya Shari lapata ajali Mbarali, Watu 9 wapoteza maisha, Polisi wamshikilia Dereva

    My Take Kila siku hapa Tanzania Kuna ajari inatokea inayoua watu na chanzo mara zote ni uzembe wa madereva. Swali,Je Serikali mumeshibdwa kuja na Sheria Kali za kuwadhibiti Hawa Madereva wanasababisha ajali Kwa uzembe? --- Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva Alfredy Baharia...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ajali imetokea baada ya kuvuka Njiapanda ya Tabata kwenda Buguruni kwenye daraja, daladala yagonga roli, baadhi wadaiwa kufariki

    Kuna ajali mbaya sana imetokea baada ya kuvuka Njiapanda ya Tabata kwenda Buguruni kwenye daraja Dereva wa daladala kagonga lori, yadaiwa dereva kafariki na watu waliokuwa wamekaa mbele pia wadaiwa kufariki. ---- Taarifa zaidi zitafuata
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manyara: Basi la Shule lagongana na Lori la mizigo, Wanafunzi Watatu, dereva wafariki, watano mahututi

    Mkuu wa Mkoa, Queen Sendinga amesema ajali iliyotokea jana Agosti 31, 2024 ikihusisha Costa iliyobeba Wanafunzi wa Shule ya Endasak Sekondari na Lori la mizigo lililokuwa linatokea Burundi, imepoteza Wanafunzi Watatu na dereva wa Costa huku majeruhi wakiwa 31 Amesema “Ajali imetokea eneo la...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manyara: Watu wanne, wafariki dunia, wakiwemo wanafunzi watatu na dereva katika ajali iliyohusisha Coaster na Scania

    Watu wanne wamefariki dunia wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo Coaster na gari la mizigo aina ya Scania. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo August 31,2024 katika eneo la Gajal Babati Mkoani Manyara ambapo Coaster ilikuwa imebeba Wanafunzi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Treni ya Abiria ya TRC yaanguka Kigoma, Watu kadhaa wajeruhiwa

    Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria, behewa moja la vifurushi (parcel) na behewa moja la breki imepata ajali kati ya Stesheni ya Kazuramimba na Uvinza mkoani Kigoma majira ya Saa 7.30 usiku...
  12. nyachina

    JamiiForums Tanzania RAMBIRAMBI YA RAIS SAMIA TSH.5,000,000 KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA NDUGU ZAO KWA SABABU YA AJALI, JE ZITADUMJ?

    Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa kwa kila familia kiasicha Tsh.5,000,000. Hii ni nia nzuri na yenye kuoneaha upendo na kuwajali...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya ndege ya Brazili muda mchache kabla ya kupata ajali

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii video ikidai ni tukio la kweli kuhusu ajali ya ndege nchini Brazil. Kuna ukweli?
  14. Jagwanana

    JamiiForums Tanzania Tumeanza kuishi kama wanyama, wakati wa ajali badala ya kusaidia watu waliopata ajali wanawaibia!

    Nilipata ajali ya gari Morocco bodaboda walikimbia kuja waliivamia wakaniibia kila kitu, pamoja jeki, tairi la gari, hela na kila kitu. Juzi tu kuna mtu amepata ajali akagongwa na alikuwa na mshahara akiupeleka nyumbani kwa mkewe. Watu walimkuta na boxer tu hela wamebeba. Kila mahali kwenye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni ajali tu au Kuna cha ziada

    Sijafanya utafiti rasmi, sina takwimu sahihi lakini , Tangu mwaka huu uanze Kuna ajali nyingi sana ila ndodo ndogo, kiasi Cha kuleta hofu kwa upande wangu. Kwa experience yangu barabarani ya kufanya biashara ya gari na kutumia barabara ,huu mwaka Pana kama ajali sana , na sielewi shida ni...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Brazil: Ndege yanye abiria 62 yapata ajali mjini Sao Paulo, hakuna aliyenusurika

    Mabaki ya Ndege ya Voepass baada ya ajali Ndege ya Voepass kabla ya ajali Video iliorushwa na TV GloboNews umeonyesha eneo kubwa likiwa kwenye moto na moshi ukionekana kupanda kutoka kwenye kitu kinachoonekana kuwa fuselaji ya ndege. Video kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha ndege...
  17. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ila wabongo, hasa watu wa DariSalama mna nn lakini, cheki mwendokasi na huyu mwamba

    Sasa jamani ndio kila kitu tubeti jamani?😆
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nikiona ajali hii, mengi najifunza

    Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri. Katika ajali hio ambayo tunaambiwa alikuwepo mtoto mdogo lakini amechubuka kidogo sana . MASWALI YA KUJIULIZA...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi wanamaji Watoa Elimu ya ukatili na mbinu za Uokozi kipindi cha Ajali za kwenye maji

    Katika kuhakikisha ulinzi na Elimu vinatolewa Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali yawatumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo kimetoa elimu ya ukatili wa kijinsia na mbinu za namna bora za kujiokoa pindi inapotokea ajali katika vyombo...
  20. Edson Eagle

    JamiiForums Tanzania Ajali ya nguzo ya umeme Mugumu Mjini

    Pichani ni tukio lililotokea Mugumu mjini baada ya nguzo ya umeme kudondoka nakuangukia pikipiki na pia imenoa kudondokea watu waliokuwa karibu yake.
Back
Top Bottom