ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ajali ya bus la Wabunge: 98% ya wananchi waliotoa maoni yao mitandaoni waliombea wafe wote...!

    Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote... Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka.... Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii...
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanne ajali ya basi waruhusiwa, wengine wakiendelea na Matibabu Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH)

    Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu. Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo la Mbande wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakienda Mombasa, Kenya kwenye mashindano ya 14 ya Mabunge...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wabunge akina nani walipata ajali Dodoma

    Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa? Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

    Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii. Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atoa maagizo, vizuizi barabarani vinasababisha ajali

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea utaratibu wa uwekaji wa Vizuizi na vituo vya ukaguzi barabarani bila kuzingazia tahadhari ya usalama kwa watumiaji wengine wa barabara. Waziri Mkuu amekemea utaratibu unaofanywa na baadhi ya Halmashauri kuweka vizuizi na vituo vya ukaguzi kwa kuziba...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ajali ya kudondoka gorofa Kariakoo imetupa funzo lolote?

    Hii ajali imetupa majonzi makubwa Ajali hii imetupa funzo kuanzia kwenye chanzo, Kwa maana ujenzi na mamlaka zake Uwajibikaji, hapa nazungumzia vibali vya kujenga majengo marefu, Ya nazingatia vigezo Wakati wa ajali, Watu kujaa kwenye majengo Uzembe wakati wa uokoaji Uokoaji ulitumia siku 8...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Wilayani Karagwe

    Kumetokea ajali mbaya Wilayani Karagwe iliyohusisha Semi iliyogonga Hiace na Coaster.Ajali hiyo imetokea majira ya saa sita leo maeneo ya Kihanga Berrier.. Inasemekana zaidi ya watu 15 wamefariki hapo hapo.
  8. JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya Gari 3 Karagwe Mkoani Kagera, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha

    Mkuu wa wilaya ya Karagwe Kalanga Lisser,amedhibitisha kutokea ajali ,katika eneo la Kiyanga wilayani humo. Dc Kalanga,ameongea na kasibante radio Bukoba,ambapo amesema kuwa kwa sasa hawezi dhibitisha vifo ni vingapi na majeruhi ila ajali ni mbaya. Amesema kuwa roli likiwa limebeba...
  9. JamiiForums Tanzania Wale washamba mnaoweka miguu hapo, ajali ikitokea na airbag ikifunguka hiyo miguu utaikuta shingoni

    Wale washamba mnaowekaga miguu hapo, ajali ikitokea na airbag ikifunguka hiyo miguu utaikuta shingoni😂😂😂 Miguu ikienda shingoni unakamalisha ule msemo wa kifo cha mende chali..🤣🤣🤣
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu watatu Wafariki na wengine tisa wajeruhiwa katika ajali ya gari na bajaji

    Watu kadhaa ambao idadi na majina yao hayajajulikana wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali iliyohusisha magari matano, bajaji nne na pikipiki moja eneo la Mbembela jijini Mbeya. Ajali hiyo imetokea leo Novemba 27, 2024 ambapo mpaka sasa vyombo vya ulinzi na usalama na uokozi tayari vimefika...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzia: Afisa Maendeleo ya Jamiii Ilala Bi Rhoda Mwanyangala apata ajali na Kufariki

    Jioni ya Tarehe 25/11/2024 imetuletea simanzi mara baada ya Mtumishi huyu Mwema atisa Maendeleo ya Jamiii Segerea Rhoda Mwanyangala kuaga dunia. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Luguruni akiwa kwenye bodaboda kurejea Nyumbani kwake mara baada ya Gari lililobeba wanafunzi kufeli break muda ambao...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Gambo asaidia malazi kwa manusura wa ajali ya moto

    Wakuu, Unatoa msaada ukiwa umevaa shati ya mama mitano tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ===== Zaidi ya wananchi 15 katika Kata ya Unga Limited mkoani Arusha, wamelazimika kulala nje kwa zaidi ya siku 10 baada ya moto uliotajwa kusababishwa na shoti ya umeme kuteketeza...
  13. JamiiForums Tanzania Mwili wa binti Brigette Mbembela (Pude) aliyefariki ajali ya ghorofa Kariakoo waagwa katika Kanisa la KKKT Songwe

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Novemba, 2024 ameshiriki ibada ya mazishi ya Brigette Mbembela (Pude), iliyofanyika katika Kanisa la KKKT dayosisi ya Konde, Usharika wa Tunduma Mkoani Songwe. Soma Pia...
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti za Ajali za Barabarani kila siku

    Kwa muda mrefu sana nimekua nikishuhudia ajali za barabarani na kutokua na juhudi zozote za kielimu kutoka kwa vyombo na taasisi husika kuweka mpango mkakati wa kuzipunguza Nitakua nikiweka matukio ya ajali yanayitokea kila kukicha Tanzania kusudi tuweze kujua jinsi gani hizi ajali zinamaliza...
  15. JamiiForums Tanzania Ex wangu kaniepusha na ajali ya kuangukiwa na ghorofa Kariakoo

    Nilitakiwa kuweka bandiko hili siku ya tukio. Ni vile tu nilipatwa na kihoma cha mfadhaiko na mshangao wa hali ya juu kilichopelekea kumtafakari zaidi Israel na kujisahau kuingia JF kwa Baba yetu mpendwa, Mh. Maxence Melo Wiki moja kabla ya tukio niliachana na Deborah, hii ni baada ya kichapo...
  16. JamiiForums Tanzania Basi la Shabiby lilipata ajali jana Novemba 18, 2024 Tunduma

    Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma. Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe. Nitaupxate kadri taarifa zitakavyopatikana Wakuu.
  17. JamiiForums Tanzania Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

    Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida. So much suffering in this world.
  18. JamiiForums Tanzania Dar: Waziri mkuu aongoza Wananchi kuaga miili ya waliofariki kwa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya Agrey Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam lililoanguka tarehe 16 Novemba, 2023. Tukio la ibada...
  19. JamiiForums Tanzania Dada alia kwa uchungu: Bado namtafuta Mama yangu, hajulikani alipo tangu ajali ya jengo Kariakoo'

    Irene Mallya anamtafuta Mama yake Happiness Mallya, mfanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam, ambaye hajulikani alipo tangu ilipotokea ajali ya kuporomoka kwa jengo Jumamosi Novemba 16, 2024. Irene amezungumza na TBC Digital katika eneo hilo la ajali Kariakoo ambapo shughuli za uokoaji...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je wahanga wa ajali ya kuangukiwa na ghorofa la kariakoo watalipwa fidia?

    Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…