wakuu mmeamkaje, mimi niko salama.
Mods naomba mnisaidie kurekebisha kichwa cha habari kama mada haitaendana na nitakachoandika.
Majuzi mishale ya saa sita usiku ilitokea ajali mbaya sana ambapo treni iligongwa na gari, maeneo ya kipunguni relini, barabara ya kuelekea moshi bar, kwa wale watu...