ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Soko la Mbuyumi: Mabadiliko ya Ajabu ya DC Moshi, kutokukemea Rushwa kwenye miradi ya maendeleo

    Katika mwaka wa 2024, tulishuhudia mtu mmoja akifanya kazi kubwa kama mkimbiza mwenge wa uhuru, akitafakari na kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini. Huyu si mwingine bali ni DC wa Moshi, ambaye alionekana kuwa na dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii...
  2. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Ona baadhi ya mambo yetu tunavyofanya ki vyetu vyetu

    1.Ukifanya harusi bila kuchangisha mtu kosa rafiki zako watakasirika na wengine hawatakuja hata kama umeamua kugharamia mwenyewe kila kitu. 2.Watu wanachanga harusi budget kubwa inakuwa kwenye pombe kuliko chakula wengine wanasema kama ni chakula atanipikia mke wangu mimi nataka pombe ambapo...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu hawa watu wana PhDs lakini ni Wapumbavu kabisa

    Kuna watu wana elimu ya juu kabisa, wana PhD, lakini ni wapumbavu wa kutupwa. Hebu leo tuangalie baadhi yao: Richard Dawkins (PhD in Biology). Huyu ameshinda tuzo nyingi kwa kazi zake za sayansi, lakini anatumia muda mwingi kuhubiri kuwa Mungu hayupo. Anasema maisha yalitokea kwa bahati tu...
  4. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuila akiwa siku zake?

    Kuna uzi nimesoma leo nikakumbuka kisa kimoja. Kwenye huo uzi mtoa mada anasema kwamba kutokana na biblia kufanya mapenzi na mwanamke alie kwenye siku zake ni dhambi Hio ikanikumbusha zamani, niliwahi kudate na mdada mmoja tokea Tabora ila alikulia dar, maeneo ya uswahilini mbagala huko. Huyu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ajabu wanaosomea madini Tanzania hadi wanamaliza vyuo wanakuwa hawajawahi kuiona dhahabu wala almasi laivu

    Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania! Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc) Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu...
  6. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box. Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua. Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimeamini upendo wa baba una nguvu ya ajabu, nimekuwa nikionyeshwa chuki ya ajabu sana kwa sababu nina wapenda watoto wangu

    Kwa sababu nawaonyesha upendo. I take care of them etc, wa Swahili wamekuwa wakinionyesha chuki ya ajabu sana. Plus kuwachukia wanangu pia. Kuna muda niliwahi kuiacha nyumba niliyo Jenga ( uswahilini nje ya jiji) nikarudi kupanga town ili nikae mbali na wa Swahili. Kwa sababu ambacho kilikuwa...
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Kutisha na Habari za Ajabu na za Kushangaza Kuhusu Biblia

    Biblia Imenusurika Mara Nyingi Kuangamizwa – Wakati wa utawala wa Diocletian watu walikatazwa kutumia Biblia. Nakala zake zilichomwa, na waliomiliki waliuawa. Licha ya mateso hayo, Biblia ilizidi kuenea. Biblia Imekuwa Kitabu Kinachouzwa Sana Duniani – Licha ya kupingwa sana, Biblia inashikilia...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ni baadhi ya vitu vijana wa daslamu wale wa "born here here" wanavionaga ni vya ajabu sana na unbelievable kwao.

    1: Kukutana kimwili na mdada ambae ni bikra OG pale utakapo mmoa. Hadi wanaandika nyuzi humu namna ya kumtambua mdada alie bikra kitandani😂 2: Kula Kuku na mayai ya kienyeji 3: Kwamba kuna vijana ambao hajawahi kula chips maisha yao yote. 4: Kusalimiwa na binti huku akipiga goti 5: Kwamba...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa wengi wape ni mfumo wa ajabu sana

    Mfumo wa wengi wape kupitia sanduku la kura ni mfumo wa hovyo samahani kwa kusema hivi. Mfano wa Tanzania wananchi wengi wa Tanzania ni wajinga wajinga huwezi tegemea kundi kubwa la watu wajinga wajinga wakachagua kilicho bora kwao. Watu wasiojua uelekeo wa dunia, watu waliozalishwa na mfumo...
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wimbo huu una "nguvu" ya ajabu sana!

    Wimbo ufuatao una nguvu. Una nguvu inayoweza kubadili hali yako sasa hivi. Ni wimbo unaopaswa kuimbwa, kusikilizwa au kusomwa na kila mtu. Wimbo huu unakufaa wewe uliye na huzuni kwa sababu zifuatazo: Pesa zimeisha mfukoni mwako. Umeachwa na mke wako au mme wako. Unaumwa, umetibiwa, lakini...
  12. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori

    Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori. Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila dereva na si madereva tu mpaka mafundi,yaani kama gari yake ina shida mafundi wanastop kutengeneza...
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

    Huwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti . Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble. Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi yanatiki Sana na Kwa haraka. Nilivyogundua hili jambo nimekuwa nahakikisha namsaidia sana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu: Njia ya private cars ni nyembanba sana

    Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani. Leo barabara za zamani...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

    Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa. 1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Methali ya ajabu niliyopewa na mama mkwe wakati anakazia hoja yake, "aliyejamba hayaachi kunuka".

    Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake, "ee baba, anayejamba...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo ya ajabu ya taasisi zetu - NIDA

    Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi, wapi sikufanikiwa kukipata, Dar ni kubwa mihangaiko ni mingi, nawashauri nida pale ambapo mtu alipeleka...
  18. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Faida 6 za Ajabu za Asali kwa Ngozi Yako

    Asali imekuwa ikitumika kwa karne nyingi kama tiba asilia ya magonjwa mbalimbali, lakini je, unajua kuwa ina faida za ajabu kwa ngozi yako? Kutoka kwa unyevu hadi sifa za kupambana na chunusi, asali ni kiungo ambacho kinaweza kujumuishwa katika utaratibu wako wa kutunza ngozi. 1. Moisturizer ya...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Vijiwe vya mafundi bodaboda vimejaa watoto ambao unaona kabisa ni umri wa kuwa shule; inakuwaje jiji letu linaridhika na mambo ya ajabu kama haya?

    Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kijana ahukumiwa miezi 6 jela kwa kuva sare za JWTZ ili kumshawishi mchumba wake kuwa yeye ni Askari

    Wakuu, Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake ================================================= Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
Back
Top Bottom