ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mlango wa ajabu

    "Mlango wa Ajabu" Katika kijiji cha Mwembeni, kulikuwepo na nyumba moja ya zamani iliyokuwa imejengwa kwa mawe meusi, katikati ya shamba la miembe. Hakuna aliyekaribia nyumba hiyo, hata watoto wa shule walikuwa wakikimbia wakifika karibu na ua wake. Walikuwa wakisema, “Pale pana mlango wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Ajabu na Kweli: Mauzo ya Biblia Yaongezeka Duniani

    Kama hujui, basi habari ya mjini ndio hii: mauzo ya Biblia yanaendelea kupanda kwa kiwango cha kushangaza duniani kote. Kwa mujibu wa ripoti ya Global Bible Society (2024), zaidi ya nakala milioni 38 za Biblia nzima zilisambazwa mwaka huo pekee. Mbali na nakala hizo za Biblia nzima, zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanawake Ni Viumbe vya Ajabu? Na wanabadilika Ghafla?

    Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu? na kwa nn ni emotional creatures? Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia Na namna gan ya kuishi nao?
  4. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

    Wakuu wasalam Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake...
  5. JamiiForums Tanzania Nguvu ya ajabu ya maji yaliochanganywa na ndimu ya Unga kidogo

    Ukitaka mtu aropoke yote aliyofanya kwa siku hiyo wakati yuko usingizini basi akisha lala, chukua glass yoyote,itie maji ujazo kiasi kwamba kidole cha shahada kikiingizwa kitaenea ndani yamaji. Weka ndimu ya Unga nusu kijiko. Kisha akiwa amelala usingizi mzito chukua kidole chake kisha weka...
  6. JamiiForums Tanzania “Chura wa Ajabu Aliyebeba Macho Koo: Kielelezo cha Maajabu ya Mageuzi”

    Mnamo mwaka wa 1992, mpiga picha wa Kanada aitwaye Scott Gardner alipiga picha ya chura wa kipekee kutoka Ontario ambaye hakuwa na macho usoni mwake; badala yake, macho yake yalikuwa ndani ya mdomo, yakipofya kutoka kwenye koo. Mabadiliko haya ya kipekee ya kinasaba, ingawa ni ya kushangaza, si...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukatili wa ajabu wa kwenye Uongozi wa Rais Samia umetoka wapi?

    Wakati wa Magu tulikuwa tunajua ni mtu anayeamini njia yake pekee sio mtu ambaye alikuwa mrahisi kumshauri. Kwa ufupi Magufuli alikuwa mtu wa msimamo mkali. Hivyo haikushangaza sana kwa yake yaliyokuwa yanatokea. Lakini Magufuli alikasirikia kila kitu hadi rushwa na uzembe. Raisi Samia mwanzoni...
  8. JamiiForums Tanzania Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

    Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake...
  9. JamiiForums Tanzania Kipyenga cha mwisho huwa kinaongozwa na wachambuzi wa ajabu sana

    Yani Ile faulo ya mpanzu mchambuzi anaona ni ya kawaida na anaitetea!? Huyu kazi na mwenzake ni Bora wamestafu maana nje ya hapo wangeleta shida sana ya maamuzi kuliko hata Tatu Malogo
  10. D

    JamiiForums Tanzania Vuvuzela ma simba wa ajabu

    Mzee Vuvuzela alikuwa maarufu sana kwa tabiri zake. Alikuwa kama kenge aliyebarikiwa uwezo wa kunusa hatari kabla haijamfikia. Aliwahi kutabiri kwa usahihi kuhusu uvamizi wa nzige, na akatoa mbinu madhubuti za kuwadhibiti. Watu walifuata ushauri wake, wakapuliza unga wa majivu, wakapanda mazao...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda waongee Kiingereza ila cha ajabu inawapiga chenga

    Habari zenu? Tafadhali nawaomba Ndugu zangu, kama uñajua lugha haipandi usilazimishe. Kiswahili ni lugha pia. Asanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Maneno matano ya ajabu: TAFADHARI, SANAHANI, AHSANTE, NIWIE RADHI, KARIBU

    Naandika Nikiwa nalenga nyanja ya malezi, Mapenzi, siasa, uchumi na kila nyanja inayohitaji character yako asilia ili kudeliver kile kitu kinapaswa... matharan unapolea watoto heb kuwa vile ulivyo acha kutaka kuwa kama jirani yako. ktk nyanja zote za maisha Watu wengi hugeuka makatiri...
  13. JamiiForums Tanzania Ni Usonji au madawa ndio humpelekea Elon Musk kufanya vitendo vya ajabu akiwa mbele ya watu?

    Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa shule ya msingi tulikuwa na monitor wa ajabu sana(kwa sasa ni marehemu)

    Ninakumbuka nilikuwa nikifika darasani nalala juu ya dawati maana ilikiwa ni lazima kulala kama mwalimu hayupo na usipolala unaandikwa jina na kuna adhabu. Mimi pamoja na kulala nilikuwa naandikwa na ninachapwa fimbo na nilibaki na uchungu mno. Basi yule monitor aliniambia kama nataka asiwe...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Thea Ntara: Wasanii wanaovaa vibaya na Wanawake wanaocheza vigodoro wakiwa wamelowesha nguo wakamatwe

    Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
  16. JamiiForums Tanzania Maumbo ya ajabu mwituni

    Hizi ni picha halisi na sio zile za kutengeneza na akili mnemba Mwitu umebeba siri kubwa juu ya uumbaji
  17. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  18. JamiiForums Tanzania Majumba ya ajabu ya ulimwengu wa wanyama

    Ni majumba bora yaliyojengwa na wakandarasi wabobevu lakini wasiojivuna Ni wakandasi wa viwango wasiotumia hata msumari mmoja wala sementi lakini wanajenga vitu imara sana Na zaidi hawana fundi maiko wa kuharibu kazi wala kuiba material😀
  19. M

    JamiiForums Tanzania MASHINE YA AJABU INAYOVUNJA RECORD YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA WENGI ZAIDI.

    (full Automatic egg incubator). ■INAUWEZO WA KUBEBA MAYAI 120. ● Mashine hii inatumia solar/umeme pamoja na betri ●Ukiwa na solar ya watts 60 hadi 80 unaweza tumia pasipo kuwa na invetor ●Ukiwa na betri la gari pia N70 unaweza kuunganisha. ●Inatumia umeme kidogo sana wastani wa 5000 hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya ajabu yanafanywa na viongozi wa Chadema chakavu

    Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…