ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Askari wanaotuhumiwa kwa mauaji Mtwara wanaomba upelelezi uharakishwe

    Nchi hii tumezoea kuona watu wanasoteshwa lumande kwa kisingizio cha upelelezi haujakamilika. Na kwa kesi za muaji ndo kabisaa unaweza kaa hata miaka mitano mtu hajui hatima yake. Leo hii eti nao wanalalamika upelelezi kuchelewa. Malipo ni hapa hapa duniani.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

    Kwema jamani? Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu? Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima. Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wanakijiji Arumeru walazimika kuvaa Ndoo na Helmets vichwani kujikinga na Mawe ya ajabu yanayorushwa hewani

    Wanakijiji wa kijiji cha kiwawa kilichopo Arumeru wamelazimika kuvaa ndoo na kofia ngumu vichwani kufuatia mawe yanayorushwa usiku na mchana pasipo kujua mawe hayo Yanatokea wap. Aidha wanakijiji hao wameshindwa kufanya shughuli zao za Kila siku zikiwemo za kujiingiza kipato kutokana na hofu...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Wanaonekana wa ajabu lakini watarejea Kigoma matajiri sana

    Unaweza kuwaita chawa,wanaa,wambeya na jina lolote fanani nalo. Picha hapo juu ni Mwijaku na Baba Levo vijana maarufu kwa sasa hapa Tanzania hasa kwenye tasnia ya sanaa. Kinachonivutia kwao ni namna wanavyoisaka shilingi pasi na kujali kuitwa majina tajwa hapo juu bali wao wanajali...
  5. aise

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo ya huyu kiumbe wa ajabu

    Kwa mara ya kwanza nimeona kiumbe wa ajabu, anaitwa "AXOLOTL" Naombeni maelezo ya kiswahili kumuhusu. Kwa haraka haraka nimesikia ukimkata kiungo fulani cha mwili (mguu etc), eti kinaweza kuota kingine baada ya muda fulani. Kama hilo ni kweli kwanini wana sayansi wasifanye sayansi zao...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Leo nimemsikia mtu wa ajabu redioni

    Jamaa amefanya mahojiano na Clouds FM, yeye ni Mwenyekiti wa Wanaume wanaopigwa majumbani na wake zao. Amedai wamepata eneo Tarime wanaenda kufungua ofisi ndogo. Ndio maana Panya Road wawili wanaweza kufunga mtaa mzima huko Dar ea Salaam
  8. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Ndoto gani ya ajabu ambayo hutakuja kuisahau katika maisha yako yote?

    Wadau Eid Mubarak Takribani karibia watu wote tukilala huwa tunaota ndoto.... Kuna zile za uongo na fix za kutosha kama vile kuota umeokota gunia la hela, yaani unyama mwingi mwaisa 😂😂😂 (kila mtanzania kaota hii ndoto) na zile za matukio ya kweli ambazo ukiota inatokea kweli..... Sasa basi ni...
  9. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

    Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nikija kuwa millionaire, nitafanya mambo ya ajabu sana

    Kabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi. Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

    Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!! Tazama na...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha

    UJINGA ULIOWAGHARIMU WENGI KWENYE MAISHA! Anaandika, Robert Heriel. Kila binadamu anakiwango chake cha ujinga, hata Yule unayemuona anaakili Sana ujue anakaujinga kake. Sasa unaweza ukawa mjinga lakini kamwe Epuka kuwa MPUUZI, mpuuziaji ambaye baadaye itakufanywa uitwe mjuaji wakati hukuwa...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Helkopta ya ajabu yaonekana Tanzania.

    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Helkopta ya kisasa katika nchi yangu. Hii ni hatua kubwa sana.
  14. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Zoezi la anuani lishawahi kufanywa, wapigaji wanafikiri tumesahau

    Ubinafsi uroho na ulaku wa kupiga hela ya umma unapelekea miradi nchini Tanzania kutolewa hela mara mbili au hata tatu. Kwa mfano hili zoezi la anuani za makazi linalopigiwa kelele na hii inayojiita awamu ya sita kwa wenye kumbukumbu ni project ilishatolewa fungu tangu awamu ya 4 mwanzoni. Wala...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania VIDEO:- Waafrika tuna mila za ajabu sana, huu ni uchawi au ni nini?

    Video nimeiba kwenye mikoba ya Mshana Jr
  16. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Die Glockie: Je, ni kweli chombo hiki chenye nguvu ya ajabu, Hitler alikitumia kuunda silaha za ajabu na kufanya time traveling?

    Wasaalam Naam, Miaka fulani hadithi kuhusu ndege zenye umbo la sahani Almaarufu kama UFO (unidentified Flying Object ) zilishamili sana kuliko hata neno lenyewe, na usichokijua ni kwamba hata jina lenyewe lilipatikana kwasababu ya kutokufahamu vyombo hivi vilikuwa vinatoka wapi! Na viko chini...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

    Steve Nyerere anazungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 22, 2022 “Nawashukuru wasanii wenzangu na Watanzania wote kwa mchakato ambao ulikuwa unaendelea na bado utaendelea. “Muungano na ushirikiano wetu ndiyo utatutoa na kutufikisha mbali, kama tukishikamana tukatoa mioyo yetu chuki...
  18. nyboma

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya ajabu sana leo mimechezwa nyimbo ya fireboy “Vibration”

    DeepPond leo nimesalimu amri hawa watoto wa chuo wana vibe lao bwana
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Waafrika Weusi tunachukiwa na kubaguliwa Ukraine na Urusi lakini ajabu ni kwamba tunajikomba kwenye hii vita yao

    Inasikitisha sana na inaumiza. Waafrika weusi katika hizo nchi yani hata uwe chotara wao watakuweka kundi hilo hilo, nchi za Ulaya mashariki zikiwemo Ukraine na Russia ni wabaguzi sana wa rangi hakuna mfano. Huwa nashangaa sana kwa sasa mtu yupo kushabikia Ukraine au Urusi maana sisi...
  20. Buenos Aires

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpira ni mchezo wa ajabu sana🤣 ona hapa kilichotokea

    Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama 🤣 Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana...
Back
Top Bottom