The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.
Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
Habari JF
Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung.
Modeli no A06, A07,A16 na A17.
Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako.
Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura.
Dar...
Habari wakuu?
Karibuni kwa mahitaji ya furniture aina zote zenye ubora wa hali ya juu na za kisasa.
Tunapokea order na pia tuna furniture ambazo ziko tayari
Ofisi zetu zinapatikana tabata mwananchi na keko chang’ombe kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa no 0616941241
Wakuu kama mjuavyo nikienda mahali huwa napenda kuwajulisheni namna kulivyo. Bila shaka mnajua wazi mimi ni mdau wa kilimo na ufugaji (mdau haswa sio mbabaishaji)
Huko kwingine tupo tu kwa sababu tunaishi dunia ya watu wa aina zote but kila nikifungua jf muhimu niingie jukwaa la kilimo na...
🚗🏍️✨ BLIND SPOT MIRROR – Ulinzi wa Ziada Barabarani! ✨🏍️🚗
Epuka ajali kwa kuongeza uoni mpana zaidi wakati wa kuendesha!
✅ Inafaa kwenye Pikipiki 🏍️
✅ Inafaa kwenye Bajaj 🚕
✅ Inafaa kwenye Magari aina zote 🚗
✅ Rahisi kufunga – bandika tu kwenye kioo
✅ Inaongeza usalama wakati wa kubadilisha lane...
Habari wanajf
Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza...
Karibuni #Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU. Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ.
BEI ZETU;
Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/=
TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA PIA KUANZIA KGS 10.
Pia kampuni yetu cha CHILUMBA CASHEWS SUPPLIER inasimama kama...
Uchumi wa kidijitali unachangia kwa kasi ukuaji wa ajira na kipato duniani, huku matumizi ya mtandao yakiongeza fursa za biashara mtandaoni (World Bank Digital Economy Report, 2021).
Swali la kujiuliza si tena:
“Ni mali gani ninamiliki leo?”
Bali:
“Ni digital asset gani ninajenga leo ambayo...
Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii?
Rais wa Zanzibari chukua hatua
Kwanza kabisa ubaguzi unauona wazi kabisa kwa majina wanaowaita wasio waislam, MAkafiri, kwa lafudhi ya neno linavyotamkwa unaweza kudhani ni jambazi sugu au muaaji mkubwa sana.
Zaidi ya hapo kuna adhabu ya kuua wanaobadili dini, mtu hana nguvu ya kuamua abadili imani yake akithubutu adhabu...
CC: Mshana Jr
TUFUNDISHE ZAIDI
Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia.
1. Mtego wa Kiroho...
Aina za Samaki
Sangara. Kg 1 Tsh 10,000
Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000
Sato. Kg 1. Tsh. 9,000
Migebuka Kg 1. Tsh 8,000
Nungi. Kg 1. Tsh 8,000
Kungura. Kg 1. Tsh 8,000
Singa. Kg 1. Tsh 7,000
Napatikana Sumbawanga.
(Usafr Juu yako Mteja)
Name: Silvester...
✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano)
KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA WAKO YUPO KUNDI GANI
1️⃣AINA YA KWANZA ya Mwanamke ni Yule ambaye yeye ana hamu Muda wote ( Yaani...
Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi?
Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka!
Kiluwa anayefanya udalali wa...
IDF Katikati kusimamisha Usalama wake Leo Ndege Tatu za Kivita za “Adir” (F-35i) zimetua Katika Kambi ya Jeshi la anga la Israel huko Nevatim
Msemaji wa IDF alitangaza kwamba ndege tatu mpya za kivita za “Adir” (F-35i) zimetua katika Kambi ya Anga ya Nevatim kusini mwa Israeli. Ndege hizo...
Wanaseme
Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari.
Nisan extrail wanasema zinanock engine.
Nisan dualis wanasema zinaungua
Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box
Yaani kila nisan inashida.
Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.