Huyu bwana alianza kwa mbwembwe kubwa akiwa analazimisha watumishi wote wa serikali kuu nchi nzima wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya kila wiki mwishowe ikaishia kwa yeye kutakiwa na bodi ya wakurugenzi arudi kazini kwake Tesla na kufanya majukumu yake aliyotekeleza.
Naada ya...
Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo...
GTs,
Naona mambo yanaenda kuwa mabaya. Yezebeli alitumia vyombo vyake vyote kuhakikisha anaangamiza waliotumwa na Mungu kumletea ujumbe, ila mwisho wa siku yeye alivyofariki mwili wake ulikuwa chakula cha mbwa na jamaa zake wote waliliwa kama mizoga. 1 Wafalme 21:23-24. Ukiwa na madaraka ni...
Yaani katika mazingira haya Heche anaelimisha Watanzania. Raisi anachamba watu huko kwenye uchawa. Tuombee Mungu taifa hili
https://youtu.be/wCKdLPq3-kU?si=y54SPPvcUkVuMbYd
Wandugu
Katika pitapita zangu, nimekutana na list ya wabunge wa Kenya, ambayo pia inaonyesha taarifa zao kama elimu nk, aisee nimeona aibu kenge
Nahisi ni sawa kabisa Tulia kuondoa page ya list ya tunaowaita wabunge wa Tanzania, wale wanaotuita Kenge kwa website ya Bunge maana ni aibu sana...
Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda.
Tanzania.
1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda
2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi
3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France
4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam
Kenya
1. Safaricom - Peter Ndegwa...
Kichwa cha mada chajitosheleza. Hii inaleta picha kuwa hatuna cha kujadili juu ya nchi...vikao vya chama kwa sehemu zake ziko kujadili haya.
Ifike kipindi hata km tutakuwa wote ni Ccm ndani ya Bunge ni marufuku kuleta mada za chama. Hii inatujengea picha mbaya. Hatuwezi maliza mambo yetu ndani...
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha...
Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana
Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
Tuue wanaotukosoa bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba inayofaa!
Tudhamini vyama mbadala ili kuonesha dunia kuna upinzani, bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi,
Tuwaweke wapinzani wetu ndani na kuwafungulia kesi nzito nzito za uhaini, na ikibidi tuwanyonge...
Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia
https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
NIANZE kushukuru Mungu
Allah swbaahannah watalla
Mjaza Neema
Ndogondogo na KUBWA
Ndefu na fupi
Nene na nyembambaaaaa
NIMEONA mda huu viongozi WA TFF na BODI mtakuwa mmeshaongia OFISIN kama hamna emergency yoyote kama magonjwa wagonjwa ama misiba ya karibu
NDUGU ZANGU mgutthooo na karia na...
Aibu Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP). Tumegeuka kuwa nchi ya kikatili!! kwenye wizara hii tuliwahi kuwa na Mkapa, Kikwete, Membe, Migiro, Malecella na Salim. Sasa tuna waziri ambaye hajulikani kwasababu nchi imefunikwa na matukio ya ajabu ajabu na kiki za kiusalama
Mahakamani ni mahala pa heshima sana na nidhamu ya hali ya juu. Kuna mabango ya kuzuia kelele na watuhumiwa pia hukaa kwa nidhamu.
Nimeshangaa leo mtuhumiwa anapiga kelele yeye na wenzake kama yuko gulioni. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mahakama kuona mwenendo wa shauri unakuwa influenced...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote..
Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu
Acheni, ni mbaya
Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana.
Songa nami.
Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40.
Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana.
Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
Kutekwa kwa Mdude: Kwa Nini Watanzania Tumesahau?
Wanajamii, ni aibu kubwa kwa taifa letu kuona jinsi suala la kutekwa kwa Kijana Mdude linavyofifia katika mioyo na akili za Watanzania! Hili si suala la mtu mmoja, wala la chama kimoja, bali ni pigo la moja kwa moja kwa haki, demokrasia, na utu...
MOJA YA WATU UNAOTAKIWA KUWAEPUKA NI WALE WANAOPENDA KUKUTAJIA MAKOSA NA AIBU ULIZOZIFANYA WAKATI ULIOPITA. WENYE CHUKI NA WEWE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ni kweli unahitaji watu katika maisha lakini watu hao wasiwe toxic wenye Negativity.
Watu wanaojifanya marafiki kumbe ni Adui...
Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi, na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu, mambo ya haramu kwao wao wanayafanya kuwa halali na wengine huvuka mipaka na kuzichanganya dini kati tabia zao za ufuska.
Mambo yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.