agizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hutaki_unaacha

    Agizo la Rais Samia kuondoa Mwenge kwenye daraja la Tanzanite limepuuzwa?

    Wakati anazindua daraja la Tanzanite alisema kuwa ule Mwenge utolewe iwekwe Tanzanite ili kusadifu maana ya daraja ila mpaka sasa kimya. Je, TANROADS wamepuuza? Ama ni dharau kwa mamlaka?
  2. M

    Menejimenti ya AUWSA yakaidi agizo la Waziri Mkuu, Wametumia Milioni 216 kwenda kutalii Mwanza

    Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii kwenye Mbuga ya Wanyama Serengeti kinyume na maagizo ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa...
  3. The unpaid Seller

    Wanakumbuka VIZURI agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho ila wanapinga na hawataki agizo kua mwanamke atakua chini ya mwanaume.

    Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu. Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila...
  4. beth

    Rais Samia aagiza kuandaliwe Kanuni za Mikutano ya Vyama vya Siasa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa. Rais Samia ameelekeza hayo baada va kupokea...
  5. msovero

    Spika Ndugai apinga agizo la Serikali kuzuia wanafunzi kusoma wakati wa likizo, aahidi kulifikisha Bungeni

    Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo. Spika Ndugai amesema wananchi...
  6. K

    Waziri Ummy, zipo shule zimepania kukaidi agizo lako la shule zote kufungwa

    Kwa kushirikiana na waziri wa elimu waziri Ummy Mwalimu aliagiza shule zote zifungwe na wanafunzi wote warudi nyumbani, wapumzike. Lakini kumekuwa na ubishi wa kimyakimya na baadhi ya shuke tayari zimeshatoa agizo kwa wanafunzi hao warudi baada ya wiki moja tu. Hii ni dharau kana kwamba shule...
  7. Erythrocyte

    Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  8. W

    Agizo la Serikali la kushusha riba za mikopo limeshaanza kutekelezwa?

    Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
  9. chiembe

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ludigija kwanini uliendesha bomoabomoa Vingunguti akikiuka agizo la Rais?

    Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale Chato ndio kwao na nduguye Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro. Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo. Je, huyu ni...
  10. G

    Vodacom Mnakiuka Agizo na makubaliano mliyofanya na Serikali

    Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!
  11. S

    Kassim Majaliwa aziagiza taasisi za Serikali kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja

    MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika vituo hivyo ndani ya mwaka...
  12. Behaviourist

    IGP kupinga agizo la Rais, kumfokea na kumkejeli Rais -- hii ni sawa?

    Kwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP. Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP ni pamoja na IGP kuhakikisha kuwa anazuia vifo vya mahabusu, kuzuia matumizi ya nguvu kupindukia kwa...
  13. K

    Tozo za Miamala: Dkt. Mwigulu, una hakika Watanzania wanakusoma?

    Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa Homework Juu ya Tozo la Miamala Wewe na Timu yako Mnaohusika mliangalie Upya Suala hili, sio Kufuta bali kupunguza Makali Ya Tozo. Badala yake Kwa Kudemka Kabisa unakuja na mahesabu ya Mabilioni Yaliyokusanywa, Kwamba Yamepelekwa kusaidia hiki na Kile...
  14. Behaviourist

    Mahakama yafuta agizo la Rais kupiga marufuku mikutano ya umma na kisiasa kudhibiti maambukizi ya COVID-19

    Jaji wa Mahakama kuu ya Kenya Anthony Mrima amefuta maagizo yaliyotolewa na Kamati ya Ushauri ya Usalama wa Kitaifa(NSAC) iliyopiga marufuku mikutano ya umma na ya kisiasa nchini humo katika kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya UVIKO 19. Jaji Mrima amesema agizo hilo lilikuwa kinyume cha katiba...
  15. Khadija Mtalame

    IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

    IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake. Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
  16. T

    Agizo la RC Makala kuhusu ujazo wa daladala na uvaaji barakoa limedharauliwa au halikueleweka?

    Leo nimeamka asubuhi nikitazamia daladala zote zinazofanya kazi hapa mkoani Dar es Salaam zitakuwa zinapakia level seat na abiria wote wakivaa barakoa, sawasawa na agizo la mkuu wetu wa mkoa. Ukweli ni kwamba hakuna kilichobadilika mtaani, tofauti sana na ilivyokua kwenye wimbi la mwaka jana...
  17. B

    Agizo la mikusanyio la RC Mwanza lakwama mechi ya Pamba fc vs coastal Union au lilikuwa la kibaguzi

    Alizuia mikusanyiko ili kuwalinda wananchi na covid na amefanikiwa kuzuia mkutano wa Chadema ambao usingezidi watu 200 lakini kaachia mechi la Pamba vs coastal watu walijaa hatari.
  18. Shujaa Mwendazake

    Mwananchi: Agizo la Makalla stendi ya Magufuli Lazua mjadala

    Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuagiza wenye mabasi kuyaingiza ndani ya kituo cha mabasi cha Magufuli wakati wa kupakia na kushusha abiria, baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na uamuzi huo. Makalla alitoa agizo hilo jana Ijumaa...
  19. kipoma

    Naomba kujuzwa Riba mpya za mabenki kwa wakopaji

    Habari wadau? Mwenye kujua kwa sasa RIBA mpya za mabenki baada ya tamko la serikali kuiagiza BOT ishushe riba kwa mabenki ili nazo zishushe kwa wakopaji wao, atujuze!
  20. Analogia Malenga

    Benki zapewa siku tatu kurejesha vitakasa mikono katika ATMs

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza miongozo yote iliyotolewa kwa umma kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya CORONA (COVID - 19), izingatiwe. Mkurugenzi wa Idara ya Kinga wa Wizara hiyo, Dkt. Leonard Subi amesema Tanzania ni salama hata...
Back
Top Bottom