afya

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacque

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacqueline Dunkley-Bent, wakati wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  4. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanasimba tujiandae kisaikolojia leo goli 3 mpaka 5..Tupunguze msingi wa mawazo tusipate afya ya akili

    Shalom shalom wana simba Hii mechi yetu itakuwa ngumu sana kuliko wenzetu wa jana Hivyo ombi langu kwa mungu tujiandae kisaikolojia na msingi wa mawazo tusipate afya ya akili ghafla.. Wakati naangalia jana mpira sehemu kubwa imejaa wenzetu wengi walijipanga na kuamini hawatoboi Na hata...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Bima ya Afya kwa wote ni Tsh. 150, 000 kwa kaya, wasio na uwezo kugharamiwa na serikali

    Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza. Katika awamu hiyo, kitita cha huduma muhimu za afya kitatolewa na skimu za Bima ya Afya kwa gharama ya shilingi 150,000 kwa kaya yenye watu wasiozidi sita. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  7. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Halmashauri nchini zimejipanga kumchafua Rais Samia kwenye ahadi yake ya siku 100 kada ualimu na afya

    Habari za asubuhi Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza. Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kupiga deki hakikisha hili kwa usalama wa afya yako

    Haya wale wazee wa kutafuta ujiko kwa kufyonza bakteria na chembechembe za nnyaa.... Jambo la kuzingatia huyo mwanamke msafi au papa yake anajua kuitunza au ndio harufu ya samaki kama tupo ferry. Inakata stimu unapukua faragha upo na pisi inaita kwa nje kwa ndani harufu ya papa kama kaficha...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaomba radhi baada ya huduma kusimama kwa saa kadhaa Januari 13, 2026

    UFAFANUZI KUHUSU HITILAFU YA MTANDAO ILIYOATHIRI UTOAJI WA HUDUMA. Dar es Salaam: Tarehe 13. 01. 2026 Leo tarehe 13. 01. 2026 ilitokea hitilafu ya kifaa cha mawasiliano cha mtoa huduma za mtandao (ISP) kiitwacho Fiber Optic Media Converter. Hitilafu ya kifaa hiki ilisababisha kukatika kwa...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Ubungo fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni ni hatarishi kwa afya, havifai kabisa kutumika

    Mungu tusaidie jamani Serikali na Manispaa ya Ubungo tunaomba fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni. Vile vyoo ni hatarishi kwa afya ya binadamu kwa kweli, nimeenda mchana nikafika kuona vyoo 3 vinaelea kinyesi kizito juu, yaani unafungua hiki kimejaa maji na kinyesi juu nenda kile nenda kingine...
  11. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Hekima ni kula kabla ya jua kuzama kwa afya njema

    Hii ni kweli kwa kiwango kikubwa, na siyo tu “hekima ya kale.” Kuna sababu za kibiolojia na kiafya zinazoiunga mkono. Ifuatayo ni misingi ya kisaikolojia na kiafya inayoeleza hilo: 1. Umeng’enyo wa chakula (Digestion) Mwili wa binadamu unaendeshwa na mfumo wa saa za kibaolojia (mzunguko wa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jinsi Porojo za wanasiasa zinavyoharibu Sekta ya Afya nchini

    Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha. Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa miundo ya kimshahara katika sekta ya afya,, jambo hili kila Waziri anaepewa dhamana kuongoza wizara ya...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nafurahia magumu anayoyapitia Fella kuhusu afya yake na aliowasaidia kumtenga haswa chama kile

    Kwa anayoyapitia Fella binafsi nimefurahi sana. Natamani yamkumbe zaidi ya hapo mpaka akili imkae sawa. Jamaa kalia weeee kaona isiwe kesi mkewe kaja kutoa povu eti kwa nini aliwasaidia wanamkataa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Jamaa acha apitie magumu tu maana ni kada wa chama kileeeeeee hivyo msaada au huruma ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nina kilo 86 lakini kila ninayekutana naye anasema nimekonda sana! Nifanyeje ili ninenepe kwa haraka?

    Jamani nahitaji msaada wenu. Hivi karibuni nimepima kilo zangu nikawa nina kilo 86, nikasafiri kwenda mkoani kwaajili ya sikukuu kila ninayekutana naye ananiambia kuwa nimekonda! Jamani nifanyaje je? Ni ugonjwa au ni shida gani, maana mimi najiona niko kawaida ila watu wanasema nimekonda...
  15. Amicable Group

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ukikaribia mwisho wa maisha, utagundua vitu vyote ulivokuwa unapigania havina maana. Familia na afya ndo vyenye maaana zaidi

    Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi: https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/ ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
  18. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Tupia ushauri wa afya na salamu za sikuu ya Christmas

    Habari wapendwa wanaJF wenzangu nawatakia heri ya sikuu kuu na mwaka mpya kwenu nyote kwa upendo na mshikamano baina yetu, kila la kweri nyote. Tusisahau kutunza afya zetu kwani ndio utajiri namba moja WEALTH = HEALTH
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyemteua Mwigulu alichunguza changamoto,Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa

    Huwa simuelewi mwigulu. Nikimuelewa huwa sijui kama anajielewa au kuelewa asemacho. Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa. Anaongea kana kwamba mdomo na ubongo havina mawasiliano. Wakati mwingine inakuwa vigumu kumtofautisha na hamnazoo aongeapo. Anaongea sana kuliko bosi wake. Anaongea kama...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iingilie kati! Wauguzi na Wahudumu wa Afya wa Muhimbili, uongozi haututendei haki, hali yetu ni tete

    Tunaleta kilio chetu kwa Serikali na Mamlaka husika kwa kuwa watendaji wa huko wameshindwa kutusikiliza. Wakuu wa Idara kutoka Kurugenzi ya Uuguzi, wamekuwa na tabia ya kujiweka kwenye posho za NHIF na IPPM. Mgao wanaopata wao ni mkubwa kuliko watoa huduma waliohudumia wagonjwa. Ili hali kwa...
Back
Top Bottom