#D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi.
Ili ushenzi wote uishe lazima tukakinukishe kwenye ofisi zao hatuwezi kukubali unyama huu uachwe kwenye nchi yetu.
Kuna watu mpaka hivi sasa hawajapata...
Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali au iliyohaririwa au kutengenezwa na AI.
Halafu kufunga "comment" siyo njia ya kufanya watu waamini...
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
Wakuu BBC wamezungumza na watu kutoka kada ya afya ikiwemo Madaktari kutoka hospitali binafsi na za serikali ambao awameeleza kuwa kumekuwa na magari yanayoenda kuchukua miili na kuipeleka kusikojulikana.
===
Toka kutokea kwa vurugu za maandamano wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, baadhi...
Nilipotoa wazo hili watu walijibu kwa kejeli sana sasa leo mmeandamana kwaajili ya NRNE na mmekosa matibabu kwa haraka na kwa kiwategemea walewale waliowapiga risasi kuwatibu ambapo mngekuwa na bima labda mngeweza kutibiwa kwa haraka hata hospitali binafsi kwani watu wengi wamekufa kwa kukosa...
Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu.
Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
Kuna tetesi za kuwawekea sumu wananchi kupitia mabomba ya maji kuanzia kesho,
Nimepokea hii taarifa kutoka kwa ndugu zangu walio Magomeni.
Na watu wengine wanne tofauti, kwakuwa ni jambo linalohusiana na afya ya watu Tunaomba liangaliwe kwa upana zaidi
Kila baada ya miaka kama 8 kuwe kuna swap, idara iliyoongozwa na Mzanzibar awekwe wa Bara na vice versa.
Mfano
UPANDE A
Jeshi la wananchi wa Tanzania
Jeshi la Magereza
Idara ya Uhamiaji
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
UPANDE B
Jeshi la Polisi Tanzania
Usalama wa Taifa...
Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu....
Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana.
Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!!
Tujitafakari!
Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana.
Tujitafakari!
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada ya uchunguzi wa kitabibu kugundua Padre huyo ana changamoto ya afya ya akili.
Akitoa taarifa hiyo...
Kifo ni kitu kisichokwepeka, lakini baadhi ya tabia ukiendekeza zinaweza kuzidisha hatari ya kupata matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukutesa ukiwa bado hai, hasa kuanzia miaka 45.
Kunywa pombe kupitiliza - hata uje kubadilika risk ya matatizo ya ini, figo na kibofu ni kubwa
Kuvuta sigara...
Sitazitaja majina hizi taasisi zetu., nyingi sana nimeshawahi kuzipelekea proposal za project wengi walikuwa wanashangaa proposal nilizokuwa nawapelekea, wengine unaambiwa appointment ndo imetoka hiyo ni full ubabishaji naandika haya nikiwa ni mtu ambaye nina-uzoefu wa kukataliwa na hizi taasisi...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuongoza katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Serikali yake itatoa ajira mpya 12,000 katika sekta za afya na elimu.
Akihutubia maelfu ya...
Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe
Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya
Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao.
2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba wa dawa katika Hospitali ya Mji Korogwe.
3. Kudai 10% pindi Mtumishi anapohamishwa kutoka kituo...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
hatua
haya
korogwe
madudu
mji
serikali
tanga
vigogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.