afya

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo vya Private vya Diploma za Afya hawana uwezo ndo maana kila kukicha wanalalamikia kufeli mitihani ya leseni

    Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa na competition kwenye kozi za Afya sikupata chuo katika kozi nilizokuwa nataka kama Pharmacy, MD kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iongeze Watumishi wa Afya, Wilaya ya Mlele, Kitengo cha Mionzi, kuna mtumishi mmoja tu

    Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati. Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Afya za Wananchi Kata Nyaishozi-Karagwe zipo hatarini, wanatumia maji ya madimbwi

    Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye madimbwi kwa matumizi ya nyumbani, kufuatia kuharibika kwa kisima walichokuwa wakikitumia takribani...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Afya itusaidie tulipwe fedha tunaofadhiliwa sekta ya Afya katika Vyuo Vikuu nje

    Tunaomba Serikali kuwalipa hela za matumizi na ada wafadhiliwa wa kada za ubingwa na ubobezi katika sekta ya afya wanaosomeshwa katika Vyuo Vikuu nje ya nchi. Mwaka umepita tangu tumepatiwa hela za kujikimu. Tunaishi maisha magumu nje ya nchi kwa kucheleweshewa hela za matumizi. Tunaomba...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

    Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dkt. Dugange (Miaka 3 bila Uhamisho), Kilio cha Watumishi, Afya ya Akili na Ndoa zilizo Hatarini. Nini Kifanyike?

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wenye maabara za binadamu wanauza na dawa wakati leseni yao haiwaruhusu. Ni hatari kwa afya za watu

    Ndio mtindo ambao wameuànzisha. Anampima mtu anampa na dawa wakati hana kibali cha kutibu ie ku prescribe dawa. Ni hatari kwa maisha ya watu? Upuuzi huu unashika kasi Tanga!
  8. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania KERO Bima za afya za watumishi wanyonge NHIF standard hazilipii gharama nyingi za matibabu zaidi ya matibabu madogo madogo tu

    BIMA ya standard ni ya kizushi gharama za huduma nyingi unaambiwa hii haipo kwenye bima ya NHIF. Yani mtoto alimeza coin nikampeleka hospitali imatolewe RIGID BRONCHISCOPY.. nikalazimika kulipia laki tatu na nusu 350,000/= huku mimi baba wa mtoto na mama wa mtoto wote ni watumishi wa serikali...
  9. Jayvpapa

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wakiwa na hela wanakua na obesity wakati ndio wakati mzuri wa kununua vyakula ambavyo ni vizuri kwa afya

    Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo. Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida kwao na kuona vyakula hivi vya asili vimepitwa na wakati
  10. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya

    Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika. Swali la kwanza: Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena? Yaan wanasema kwamba mgonjwa akitibiwa leo kisha akaugua tena kabla ya Wiki 2 kupita au Mwezi kupita na...
  11. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya

    Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika. Swali la kwanza: Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena? Yaan wanasema kwamba mgonjwa akitibiwa leo kisha akaugua tena kabla ya Wiki 2 kupita au Mwezi kupita na...
  12. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yazindua mafunzo ya mradi wa Kimataifa wa AI kuboresha huduma za Ultrasound kwa Wajawazito

    Mafunzo ya ukusanyaji wa takwimu kwa ajili ya mradi wa “AI-Assisted Ultrasound Feasibility and Assessment of Resources and Integration (SAFARI)” yameanza rasmi Jumatatu, tarehe 30 Machi 2026, na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Aprili 2026. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ipime afya ya akili yako hapa

    Mtu akipelekwa hospitali ya Milembe kwa mara ya kwanza, hasa akiwa na dalili za kuchanganyikiwa, hupelekwa kwenye chumba maalum. Ndani ya hicho chumba hakuna vitu vingi Ni ukimya tu na ukuta mmoja wenye picha hii. 👇 Picha yenyewe inaonekana ya ajabu kidogo… kama kitu kilichochorwa kwa namna...
  14. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Usingizi ni afya

    Habari za wakati huu, Usingizi sio anasa — ni tiba ya mwili na akili. Watu wengi wanapuuza kulala vizuri wakidhani ni kupoteza muda. Ukweli ni huu: ukikosa usingizi wa kutosha, unajinyima nguvu, afya, na hata mafanikio yako. Faida za kulala kiafya: Huimarisha kinga ya mwili Hurekebisha seli na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hivi unatumia AI kwenye kutafuta ushahuri wa haraka na dharula wa kitaalamu kwenye masuala mbalimbali ya kijamii kama afya, familia, biashara nk?

    Matumizi ya Artificial Intelligence (AI) yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika kutoa ushauri wa haraka na taarifa za awali kwenye maeneo kama afya, familia, biashara n.k. AI inaweza kusaidia kutoa mwongozo wa kitaalamu wa msingi, kuelimisha, na kusaidia kufanya maamuzi sahihi na ya haraka...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwenye Uislam, Bima ni Haram kama ilivyo kamari

    Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K Bima ni gambling tu, yaani pata potea, Kwa tafsiri ya kiislam ni kamari maana unaweza pata usichostahiri Mfano unaweza kuweka Bima laki 5...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa Wilayani Chunya ni hatarishi kwa afya

    Mimi ni mchimbaji mdogo katika moja ya Vijiji katika Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, kero yangu ni kuwa kumekuwepo na tabia ya mazoea ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa katika hizi buying center nyingi za huku Chunya, jambo ambalo ni hatarishi kwa afya za wachimbaji. Mvuke wa zebaki...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku atoa fedha kuweka mfumo wa maji Kituo cha Afya Itete

    Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo. Hatua hiyo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari, msiwaache wanafunzi kuona wagonjwa wakiwa peke yao, afya ya mtu haijaribiwi wakikosea inaweza gharimu uhai

    Kuna jambo ambalo halizungumzwi sana ila linatendeka sana, hili la wanafunzi madaktari wanapokuwa wapo kwenye mazoezi ni muhimu sana wakawa wanaambatana na madaktari wazoefu au walimu wao ili kuepusha hatari ya wao kufanya makosa kwenye mwili wa mtu. Nakumbuka kuna siku nilipeleka mtoto wangu...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.📍Songambele (Nsimbo)-Katavi🗓️Machi 15, 2026

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songambele (Nsimbo)-Katavi 🗓️Machi 15, 2026 ———————————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
Back
Top Bottom