afya

  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mtindo wa Maisha unavyoathiri Afya ya Uzazi kwa Mwanaume

    Nini maana ya tatizo la nguvu za kiume? Hili ni tatizo linalohusisha hali tofauti kwa wanaume ambalo linaweza kuathiri njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume. - wanaume wengi wamekuwa wakipata hofu na aibu kwa sababu tatizo hili linahusisha sehemu za siri. Je ni Nini chanzo cha tatizo la...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China inavyoshikana mkono na wenzake wa Afrika katika kuinua huduma za afya

    Ikiwa dunia bado ipo kwenye taharuki ya ugonjwa thakili la COVID-19, nchi mbalimbali zinaendelea kufanya juhudi ya kupambana na ugonjwa huu ili kuhakikisha unatokomezwa kabisa. Mbali na hatua mbalimbali zinazochukuliwa za kuzuia janga hili, nchi za Afrika bado zinaendelea kusuasua na kuonekena...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Rais Biden kutojibu maswali ama kukataa kutoa hotuba kwasababu ya afya mbovu?

    Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua. Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
  4. vnn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeshindwa kuajiri watumishi wa Afya, imekuja na mbinu za kilaghai

    mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula anafunga kituo. sasa vituo vingi vimejengwa na vinaenda kukamilika Rasilimali watu hakuna...
  5. Edychristian

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya yako ndiyo itakufanya utimize malengo yako

    Kwanza kabisa niseme asante kwa kuchukua muda wako kusoma thread hii ukimaliza unaweza weka maoni yako na ku vote ili niweze kushinda. Afya yako ya leo hii ndio chanzo kikubwa cha wewe kufikia malengo yako ,Sayansi mara nyingi haidanganyi kivipi? kipindi kizuri na kipindi kibaya sana kwa...
  6. Salumsas

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ugonjwa wa Kisukari: Matajiri wengi wanaangalia pesa zaidi kuliko Afya yako

    Salute Wakuu Utangulizi Wengi mmesikia kuhusu ugonjwa wa Kisukari wengine wakilalamika kuwa na huu ugonjwa hatari au wamekatazwa (hospitali) kutumia baadhi ya vyakula ili kuepuka madhara zaidi ya huu ugonjwa. Trust me I guarantee this is the perfect thread tutaelewa kila kitu hapa na hakuna...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya. Nina Shahada ya Biotechnology and Laboratory Science

    Habari zenu ndugu, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa. Ndugu zangu ninatafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya na taasisi zinazohusu utafiti. Nina bachelor degree ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika kufanya kazi maabara especially kwenye...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ni bustani ya maendeleo; Serikali izizingatie Taasisi binafsi zinazosaidia watu suala la Afya

    Habari wakuu namshukuru Mwenyezi Mungu na natumaini mko salama. Napenda kujumuika nanyi katika ukurasa huu kwa kugusia suala zima la afya hasa nikilenga kwa zile taasisi binafsi au mtu mmoja mmoja kuna changamoto nyingi katika jamii zetu unakuta mtu anaumwa hata pesa ya kula au mahali pa kuishi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

    Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa. 3...
  10. Gelion Kayombo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya: Unataka uanze kufanya mazoezi? Fuata hatua hizi...

    Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi binadamu anatakiwa kuvifanya karibia kila siku au mara moja moja ili kuimarisha afya yake. Kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Walimwengu, mwiba wa malimwengu na Afya ya Akili

    Hivi tumewahi kuchukua sekunde zetu chache kutafakari namna watu wanayaishi maisha ya hatari na ya kutisha siku hizi? Namna watu wanavyouana kinyama kwa sababu ya mapenzi, mali za urithi, kutapeliana na ahadi za hapa na pale? Tumewahi kufikiri namna malimwengu tunavyoyapa nafasi kubwa kutawala...
  12. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maabara ni uti wa mgongo wa Huduma bora za Afya Tanzania

    MAABARA NI NINI Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya alipohimiza wanaume kuwafikisha kileleni wanawake

  14. M

    JamiiForums Tanzania Covid-19 itatumaliza, Wizara ya Afya imekaa kimya kama vile haipo

    Ugonjwa wa covid 19 au uviko unaenea kwa kasi nchini.wizara ya afya utadhani haipo.hakuna jitihada zozote zinazofanywa na wizara hii kuhamasisha wananchi kujikinga na huu ugonjwa wa corona covid-19. Tayari leo Simba Sports club ishapoteza mmoja wa viongozi mashuhuri ambaye siku chache alihojiwa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mipaka

    Unaweza kuwa mtu mwema na anayejali anayeheshimu mahitaji ya watu na bado ukaweka mipaka yenye afya kwa ustawi wako mwenyewe. Jifunze wakati wa kuondoka na wakati wa kufanya kazi. Huwezi kudhibiti jinsi watu wanavyokutendea lakini unaweza kudhibiti kile unachostahimili.
  16. Ngaliba Dume

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushuhuda wa jinsi UKIMWI ulivyotesa familia, kuongeza umasikini na mateso. Tushukuru ARV na wadau wa afya

    Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia,kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja.Misiba mingi ilikuwa ni kwa ndugu na jamaa tu wa karibu.Msiba huu wa dada yetu aliyekuwa "kichwa" na msaada mkubwa kwa familia ulitokea mwezi March 1993 wakati huo mimi nikiwa nimemaliza kidato...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Nani anayesimamia mfumo wa afya unaogeuka kuwa biashara?

    Maono yangu yanaonesha kuwa Huduma za afya zinaelekea kuwa biashara na sio huduma. Nani anayesimamia mabadiliko haya ili yasituathiri miaka michache ijayo? Sijasema tuwazuie wafanyabiashara kufanya biashara hii lakini ni nani anayehakikisha hatuingii kwenye majanga biashara hii ya tiba kama...
  18. zero to hero 199

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya akili mtaji kwa vijana

    Afya ya akili ndio msingi wa maendeleo kwa kijana yeyote mwenye chachu yakuweza kufanikiwa au kufikia malengo fulani ambayo amejiwekea. Katika kipindi cha ujana vipo vingi ambavyo kama vijana tumekua tukivifanya wenda tukifahamu madhara ya tukifanyacho au pengine hatukuwa na ufahamu juu ya...
  19. Dr Adinan

    JamiiForums Tanzania Unajiunga na chuo cha afya? Fahamu mambo 5 ya kuzingatia wakati unanunua vifaa-tiba kwa ajili ya mafunzo yako!

    Mimi ni Dr. Adinan Juma, daktari na mkufunzi wa vyuo vya Afya mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Nimekuwa akifundisha wanafunzi wa level za Diploma mpaka PhD. Leo nataka nikupe dondoo 5 muhimu zitakazo kuwezesha kununua vifaatiba bora kwa mafunzo yako. Ushuarui huu ni kutokana na uzoefu...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
Back
Top Bottom