afya

  1. beth

    World Hearing Day: Watu Bilioni 1.5 Duniani wanaishi na tatizo la usikivu

    Machi 03, 2022 ni Siku ya Usikivu Duniani ambapo inaelezwa takriban Watu Bilioni 1.5 Duniani kote wanaishi na tatizo la usikivu. Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanasema idadi hii inaweza kuongezeka hadi Bilioni 2.5 kufikia Mwaka 2030 Inaelezwa, Mamilioni ya Vijana wapo hatarini...
  2. Optimists

    Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
  3. Mpingamkoloni

    Wizara ya Afya msimwangushe Rais Samia

    Baada ya Rais Mhe. Samia Suluhu na Waziri wa Fedha Mwigulu kutoa pesa za IMF kwa manunuzi ya vifaa mbalimbali hospitali za mikoa kwa nia ya kuboresha Afya, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya alikasimu mamlaka ya kununua vifaa hivyo kwa baadhi ya taasisi zilizopo chini yake. Lilikuwa wazo jema kabisa...
  4. D

    Serikali na Wizara ya Afya fanyeni haya kudhibiti maambukizi ya UKIMWI nchini

    Niliwasikia kamati ya bunge ya mambo ya ukimwi ikishauri kwamba Dawa za kuzuia Mimba (P2) Ziuzwe pamoja na condom kama kifurushi! Lakini utafiti wangu unaonyesha kwamba wanaotumia P2 hununua hizo dawa baada ya kufanya ngono, SIYO KABLA YA NGONO! Yaani namaanisha ukiona amekuja pharmacy kununua...
  5. John Haramba

    Mtoto aliyeibwa wodini baada ya kuzaliwa apatikana, akutwa amelala kwa anayetuhumiwa kumuiba

    Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga amelipongeza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kipolisi Msalala Mkoani Shinyanga na wananchi kwa kazi kubwa waliyoifanya kufanikiwa kupatikana kwa mtoto mchanga aliyeibiwa wodini katika Kituo cha Afya Lunguya Halmashauri ya...
  6. beth

    WHO yapata idhini ya kusambaza vifaa vya matibabu Tigray

    Shirika la afya ulimwenguni WHO limepata kibali cha kusambaza vifaa vya matibabu katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya miezi sita, lakini uhaba wa mafuta bado unakwamisha zoezi hilo. Mkurugenzi wa shirika hilo, Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza kwamba...
  7. John Haramba

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu atoa tahadhari jina lake kutumika kwenye kutapeli

    Tamko la Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu utapeli kwa kutumia jina lake.
  8. John Haramba

    Profesa Jay: Afya yake imefikia huku…aliendesha kutoka Bukoba, Aliandaa wimbo afanye na Zuchu, kuna Wahuni…

    Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili. Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, alikuwa yuko sawa, alienda Bukoba akafanya shoo fresh tu na kudrive kurudi Dar na kuendelea na mishe...
  9. beth

    Afya: Je, Unapata Usingizi wa kutosha?

    Mara nyingi watu hupunguza muda wa kulala kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kazi, majukumu na kifamilia au hata kuangalia kipindi kizuri Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) mtu anaweza kupata madhara kiafya ikiwa kukosa usingizi wa kutosha ni sehemu ya maisha yake ya...
  10. D

    Maoni yangu Wizara ya Afya; Haya mambo yatungiwe sheria na nchi nzima kila hospitali zote zizingatie

    Ni kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe! Serikali ikiwapendeza yawekeni kwenye utaratibu! Kama hujawahi kuuguliwa au kuuguza huwezi kunielewa kirahisi! Iko hivi mwaka Jana wakati nikiuguza mzee wangu kabla hajatwaliwa! Yapo mambo yaliniumiza sana! Ni vigumu kuyaelezea yote hapa...
  11. The Dictator

    Utafiti: Inaripotiwa kuwa vifo zaidi ya 7,000 hutokana na miandiko mibaya ya Madaktari

    Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia, waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari. Muda mwingine hata...
  12. JanguKamaJangu

    Tafakuri Jadidi ya Maggid Mjengwa kuhusu afya ya Profesa Jay ambaye amelazwa Muhimbili

    Ni Profesa Jay, Ni Rafiki Wa Wengi... Ndugu zangu, Zimenisikitisha sana, taarifa za maradhi yenye kumsibu ndugu yetu Joseph Haule, maarufu kama Profesa Jay. Profesa Jay ni rafiki wa wengi. Ni rafiki kwangu pia. Mwingine atauliza; Wapi mlikutana kwa mara ya kwanza? Jibu: Ilikuwa ni Jumatatu...
  13. funaku

    Ushauri wangu kwa Wizara ya Afya: Ni muhimu kuja na sera ya mafunzo mahususi kwa viongozi wa vituo vya huduma

    Sina uhakika kama kuna chuo kinachotoa mafunzo mahususi ya uingozi wa sekta ya afya kwa madaktari/wauguzi wanaosimamia vituo vya kutolea huduma. Tunashuhudia kila uchao wafawidhi wa vituo wakishitumiwa kushindwa kusimamia ingawa sijawahi kusikia kama kuna mfumo maalumu wa kuwaandaa wafawidhi...
  14. John Haramba

    Maendeleo ya afya ya Profesa Jay

    Baada ya ukimya wa siku kadhaaa, taarifa kutoka kwa watu wa karibu na msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ni kuwa anaendelea vizuri kiafya tofauti na ilivyokuwa wiki iliyopita. Hakuna mwanafamilia ambaye amejitokeza kuweka hadharani zaidi ya taarifa za awali ambazo zilieza Jay...
  15. beth

    Wizara ya Afya: Watu 2,117,387 sawa na 3.67% wamepata dozi kamili ya chanjo dhidi ya Corona

    Kuanzia Januari 29 hadi Februari 6, 2022 visa vipya 252 vya COVID19 vilibainika kati ya watu 8,529 waliopimwa huku Dar es Salaam ikiongoza kwa kuwa na maambukizi 184. Tangu Mlipuko kuripotiwa Machi 2020 hadi kufikia tarehe Februari 6, 2022 jumla ya watu 33,482 (7.6%) kati ya 442,566 waliopima...
  16. John Haramba

    TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa katika Vituo vya Afya, Zahanati nchini Tanzania

    TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa zinazotumika katika vituo vya afya
  17. beth

    WHO: Corona imeathiri huduma za msingi za afya kwa kiasi kikubwa

    Huduma za Msingi za Afya zikiwemo programu za Chanjo na matibabu ya magonjwa kama UKIMWI ziliripotiwa kuathiriwa kwa 92% katika Nchi 129. Utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu athari za janga la COVID-19 uliofanywa kati ya Novemba - Desemba 2021 umeonesha huduma ziliathiriwa kwa kiasi...
  18. beth

    Teknolojia na Afya ya Akili: Kwanini matumizi yaliyopitiliza huweza kuwa na athari mbaya

    Kwasababu ya muda ambao watu hutumia mtandaoni, ni muhimu kuelewa uhusiano kati ya Afya ya Akili na Teknolojia, kwani mbalimbali Tafiti zinaonesha matumizi ya Intaneti kupita kiasi yana madhara. Mitandao ya Kijamii ni mojawapo ya njia kuu ambazo Intaneti huathiri Afya ya Akili. Hii hutokea...
  19. Analogia Malenga

    Februari 4: Siku ya Saratani Duniani (World Cancer Day)

    Siku ya Saratani huadhimishwa kila Februari 4. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mwaka 2021, takriban watu Milioni 20 walibainika kuwa na Saratani na wapatao Milioni 10 walipoteza maisha Wataalamu wa WHO wanasema idadi hiyo itaendelea kuongezeka miaka inavyozidi kwenda, japokuwa...
  20. cokusoma

    Malalamiko ya wanafunzi kozi za Afya; Barua ya wazi kwa Waziri Afya na Elimu

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA AFYA. NAKALA: OFISI YA WAZIRI MKUU...
Back
Top Bottom