afya

  1. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Ili watoto wawe na Afya Njema ni muhimu kuwapa chakula kipi Specific?

    Unakuta watoto hawana afya ya kuridhisha hata ukiwaangalia kwa macho tu. Lakini Kuna Watoto wa familia nyingine ukiwatazama Wana Afya nzuri. Naomba kuuliza ni nini kitamfanya mtoto aonekane kuwa na Afya Njema hata Kwa kumtazama tu?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa ameziagiza halmashauri kushirikiana na taasisi za dini zinatotoa huduma za afya nchini

    WAZIRI BASHUNGWA AMEZIAGIZA HALMASHAURI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI ZINATOTOA HUDUMA ZA AFYA NCHINI. OR TAMISEMI - Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amewaagiza Wakurugenzi na Waganga Wakuu wa Halmashauri zote nchini...
  3. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya unayajua haya ya Ludewa?

    Kwanza pokea pongezi za dhati nimepita wilayani ludewa mwezi uliyopita nimeona eneo la hospitali ya wilaya ni kubwa na majengo ya watumishi. Ujenzi wa jengo la mochwari unaendelea hongera. Lakini pamoja na pongezi sasa nataka kukusoa utendaji wa baadhi ya wahudumu pale yani wagonjwa unakuta...
  4. zink

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosoma Diploma za Afya njooni tujadiliane hapa siri ya kwenda degree vyuo vya serikali tu

    Natumai muwazima wa afya wana JF. Asikudanganye mtu yoyote siri kubwa ya kwenda degree ya afya ukitokea diploma ni kupata G.P.A KUBWA (KUANZIA 4.5 MPAKA 5.O) Ukipata hiyo G.P.A Hakuna chuo chochote kwa hapa Tanzania utachokosa mkuu haijalishi Umeipatia wapi hiyo GPA yako kubwa maana hawaangalii...
  5. Ghalib01

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya katika imani potofu

    Nakala yangu hii nitazungumzia AFYA katika IMANI POTOFU, Imani yangu kupitia Nakala hii itasaidia kuleta MABADILIKO KWENYE JAMII, Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika hili, lakini kabla ya kwenda kwenye Mada husika, kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri elimu na afya ziingizwe kwenye Wizara za Muungano

    Katibu inaweza kubadilishwa kwa manufaa ya taifa. Ushauri wangu, Zanzibar hainufaiki kwa elimu na afya kwasababu ya udogo wake. Tanzania bara tuna nufaika na kutumia mbinu zinazofanana kuanzia kujenga shule, maabara, hospitali na vyuo vya afya. Wenzetu wa Zanzibar wanapata shida maana hizi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu ushindani wafanyakazi wajiunge na bima ya afya wanayoitaka

    Hadi sasa kuna kampuni nyingi za bima ya afya nchini ikiwemo NHIF. Cha ajabu, katika mazingira sawa ya kibiashara licha ya NHIF kuwa na upendeleo wa kuwa na wanachama wengi kuliko kampuni zote za bima nchini kwa kujaziwa wanachama lukuki kutoka serikalini na taasisi za serikali, ni NHIF pekee...
  8. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya

    AFYA Afya ni Hali ya kuhisi vizuri kimwili na kiakili, afya ni chachu ya maendeleo katika Kila sekta. Tukianzia na madawa, ningependq kuona serikali inatoa kipaumbele Cha kwanza kwenye uagizaji wa dawa kutoka inje, iweke mipango madhubiti ya kukagua ubora wa madawa hayo, kabla hayajaingia...
  9. zephania5

    JamiiForums Tanzania SoC02 Heri kubaki na afya njema kuliko kutafuta matibabu bora

    Awali ya yote, nipende kumshukuru Mungu mwenyezi atupae uhai na uzima bure, pamoja na afya kwa wana jamii forum wote. Afya njema iko juu ya mali na utajiri. Afya bora ni zaidi ya umaridadi au umashuhuri, na tena afya ni zaidi ya kutokuwa na ugonjwa. Zipo tafsiri mbalimbali juu ya afya ikiwemo...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

    Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuboresha huduma ya afya ya awali (primary health care)

    UTANGULIZI HUDUMA YA AFYA YA AWALI; Ni mtazamo wa jamii nzima ambao unalenga katika kuhakikisha huduma za afya zilizo bora zinatolewa na kwa jamii nzima kwa usawa na kujali mahitaji ya wanajamii nzima. Hii inajikita katika utoaji wa huduma za kafya za kibinafsi zinazotolewa kwa mara ya kwanza...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bashungwa hayati JPM alijenga vituo vya afya 1000 bila tozo. Acha kuzebeza wananchi

    Wewe mwenyewe ulishuhudia na uliona namna alivyotekeleza 👇 === Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Polepole alikuwa sahihi, Unaijua V-8 wewe? Ni sawa na kituo kituo kimoja cha afya

    Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula...
  14. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa Jamii kuzingatia Afya

    Afya ni Hali ya kuhisi vizuri kimwili na kiakili, afya ni chachu ya maendeleo katika Kila sekta. Tukianzia na madawa, ningependa kuona serikali inatoa kipaumbele Cha kwanza kwenye uagizaji wa dawa kutoka nje, iweke mipango madhubiti ya kukagua ubora wa madawa hayo, kabla hayajaingia nchini na...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Magonjwa yasiyoambukiza yanauelemea Mfuko wa Bima ya Afya

    Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5, ongezeko ambalo haliendani na idadi ya wanachama wa NHIF. Ameongeza kuwa huduma za matibabu ya figo...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuelekea bima ya afya kwa wote, serikali iweke tozo maalum kwenye sigara, pombe, soda ili mama na mtoto watibiwe bure

    Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Bima ya Afya (NHIF) inakaribia kufa

    Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya matibabu ya wanachama wake. Akifungua mkutano wa siku tano wa kikanda wa kuwajengea uwezo kuhusu...
  20. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki ninachokiona kwenye pdf za utumishi, kozi za afya na zenyewe ni kama zimeanza kujaa

    Nafasi moja au mbili ya medical doctor kugombaniwa na watu 600+ ni ishara kwamba tuna medical doctors wengi tu mtaani wako jobless.
Back
Top Bottom