Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 327
- 232
Wakuu habari
Nina Rafiki yangu ambae mkewe alikua mjamzito, lakini sasa ameshajifungua. Sasa wakuu changamoto baada ya kujifungua ameambiwa bima yake inacover 1.5M tu ya gharama za kujifungua. Gharama iliobaki ya 280,000 anatakiwa alipie cash ili akamilishe gharama zote za kujifungua. Nina ma'swali.
1. MJamzito mwenye bima anatakiwa kuongezea cash kwenye gharama zote?
2. Ilitakiwa rafiki yangu ajulishwe kua bima ya mkewe haitoshelezi kujifungua ili aandae cash?
3. Kama hakujulishwa mapema hizi gharama na hana hela asipolipa kuna tatizo? Au hospitali wanamzunguka tu atoe hela zaidi?
Kwa mwenye uelewa natanguliza shukrani
NB: Bima anayotumia ni Jubilee