afya

  1. Mbinu ya kutumia akili na utashi binafsi kuiendesha afya na mwili wako - A biological appeal to free-will

    Utashi ni kipawa cha binadamu kinachomfanya aweze kutaka mwenyewe chochote. Kitu hicho kinaweza kuwa chema na hata kibaya, ingawaakili yake mwenyewe inaona zaidi wema fulani uliomo na ambao unamvuta. [Wikipedia] Je unafahamu vitu kama afya njema, umbo la mwili wako na hata sura yako kwa kiasi...
  2. Uwezekano wa kuchaguliwa kozi za afya

    Mdogo wangu kapata matokeo ya DIVISION THREE ya pointi 22.Katika masomo yake amefeli somo la fizikia na hesabu (Physics and Mathematics) ana daraja "F",Kemia na baiologia(Chemistry and Biology) ana daraja "C" ,Masomo mengine ya Sanaa(Kiswahili, History, English Language, Geography) kafaulu pia...
  3. Dkt Nasra: Asilimia 85 ya Watanzania Hawana Bima ya Afya

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA. HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA AFYA DR. NASRA OMAR – ACT WAZALENDO KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23. Utangulizi: Leo tarehe 16 Mei 2022, Waziri wa Afya Mh Ummy Ali Mwalimu (Mb.), amewasilisha Bungeni...
  4. Wizara ya Afya: Tatizo la Magonjwa yasiyoambukiza linaongezeka

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema katika kipindi cha Julai 2021 - Machi 2022, kumekuwa na ongezeko la watu wanaolazwa kutokana na Magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo Kisukari, Shinikizo la Damu na Saratani Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka 2022/23 Bungeni, ametoa Wito kwa...
  5. K

    Pata Mafuta ya Best choice kwa afya yako kwa bei nafuu kabisa.

    Ni mafuta safi kabisa yanayozaliswa na kiwanda cha QSTEK FARMING LTD kilichoko mjini manyoni mkoani singida. Mafuta ya best choice yametengenezwa kwa kutumia mbegu halisi za alizeti zinazozalishwa hapa hapa Tanzania. Mafuta ya best choice hayajaongezwa kemikali yoyote hivyo ni salama kwa afya...
  6. Dodoma: Marie Stopes yatoa Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Wanahabari na Wadau

    Shirika la Marie Stopes Tanzania (MST), limewakutanisha waandishi wa habari zaidi ya 33 pamoja na wadau wengine jijini Dodoma na kuwapa elimu ya afya ya uzazi na kuwaeleza shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini. Waandishi hao pia walipata fursa ya kufahamu shughuli nyingine za...
  7. Mei: Mwezi wa Uelewa wa Afya ya Akili (Mental Health Awareness Month). Matatizo yanatibika!

    Mei ni Mwezi wa Ufahamu wa Afya ya Akili. Mental Health ni muhimu katika kila hatua ya maisha, yaani kuanzia Utoto, Ujana hadi Utu uzima. Afya ya Akili sehemu muhimu za Afya kwa ujumla kama ilivyo Afya ya Mwili Matatizo ya Afya Ya Akili yanaweza kuwa na athari kubwa katika nyanja zote za maisha...
  8. Dar es Salaam: Hali ya mazingira Soko la Kawe siyo nzuri kwa afya za watumiaji na wakazi

    Kutokana na mvua kuendelea kunyesha mara kwa mara Jijini Dar es Salaam hali ya usafi katika Soko la Kawe imekuwa siyo nzuri, mazingira haya yanatajwa kuwa sio salama kwa watumiaji sokoni hapo na wakazi wa maeneo ya Kawe. Soko hilo lipo katika Jimbo la Kawe ambalo Mbunge wake ni Joseph Gwajima...
  9. Dar: Hali ya Soko la 'Magunia' yahatarisha Afya za Wananchi

    Hali ya Soko la 'Magunia' Msasani bonde la Mpunga linavyoonekana pichani, ambapo soko hilo hutumiwa na Wakazi wa maeneo mbalimbali ikiwemo Masaki na Oysterbay kujipatia Mahitaji yao ya kila siku Pamoja na umuhimu wa Soko hilo kwa maeneo hayo, suala la usafi wa Mazingira na Miundombinu yake...
  10. N

    Waombaji wa kada ya Afya naombeni mje mnishauri

    Mdogu wa kike ana diploma ya nursing and midwifely, but katika kuomba ameniuliza kama anaweza kuomba nafasi ya muuguzi daraja II yaani wa certificate. Anauliza kufanya hvyo kwasababu upepo kwa upande wao ni mbaya yaani unakuta wilaya nzima wanataka RN mmoja tu wakati EN zaidi ya 20 mfano...
  11. Msaada: Namna ya kuambatanisha Cheti cha Kiapo kwenye uombaji wa ajira za Afya na Ualimu

    Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please
  12. Wizara ya Afya: Watanzania 800 wamefariki kutokana na COVID19 nchini

    Naendelea kula bata Dodoma jamani. Katika kongamano la kufanya tathimini na udhibiti linalofanyika mjini Dodoma, muwakilishi wa Wizara ya Afya amesema Watanzania 800 wamefariki kutokana na COVID19 hadi sasa. Amesema Tanzania imepitia mawimbi manne ya COVID19. Ugonjwa bado upo lakini umeendelea...
  13. Wizara ya Afya: 94% ya Watanzania wapo katika hatari ya kupata maambukizi ya Malaria katika kipindi cha mwaka mzima

    Kwa mujibu wa Takwimu za Wizara ya Afya, 94% ya Watanzania wapo katika hatari ya kupata maambukizi ya Ugonjwa wa #Malaria katika kipindi cha mwaka mzima. Hayo yameelezwa na Waziri Ummy Mwalimu katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani Amesema kwa Mujibu wa takwimu za Mwaka 2021...
  14. N

    Waombaji wa kazi za Kada ya Afya TAMISEMI, kuna tatizo kwenye mfumo wa maombi ya ajira

    Hili tatizo tangu mfumo ufunguliwe! Ni nani ameshafaulu hapa? Kwenye kuchagua mahala pa kufanyia kazi hapafunguki kabisa.
  15. Hivi ni kwanini Serikali inaposema inatangaza ajira huzungumzia zaidi za afya na ualimu?

    Hivi ni kwanini serikali inaposema inatangaza ajira huzungumzia zaidi ajira za afya na ualimu. Inamaana huwa haiwazi kuwa kuna graduates wa fani zingine pia? Hivi ni kwanini isifuatilie upungufu na kwenye taasisi zingine kisha itangaze ajira kwa pamoja? Kwanini ajira za graduates wa fani...
  16. Umuhimu wa kujenga utaratibu wa kupima Afya mara kwa mara

    - Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake - Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
  17. Mnaoomba kazi za Elimu na Afya kuweni serious

    Aisee jana katika pitapita zangu nikaona wadau wanaoomba ajira nikaona hiki ni kisanga. Yaani mtu kaandika barua kwa mkono kaipiga picha kwa simu anataka ku-upload aombe kazi. Hivi ulimwengu wa sasa mtu aanze kuhangaika na liandiko lako libaya, tena umelipiga picha kwa simu, serious? Wengine...
  18. Naomba ufafanuzi juu ya hili la ajira za afya Tamisemi

    Nilipata changamoto ya kukataliwa Registration namba yangu tangu juzi lakini nimejaribu leo ikanletea neno kua Registration number verification failed nilipo bonyeza option ya ok nikarugusiwa kuapload transcript pamoja na cheti na wakanijazia 100. Wasiwasi wangu ni neno Registration number...
  19. P

    Kufanya siasa yahitaji afya ya akili kubwa, Uongozi wa ACT Wazalendo chini ya Zitto, akili hiyo hawana, ila kutumia frusa wanaweza!

    Wasalaam Mimi si mwandishi mzuri, lakini twende hivi! Mbali na kwamba Chadema siipendi hasa kwa tukio la 2015, lakini hawa jamaa wanauongozi wenye watu waliojaliwa kuwa na akili kubwa sana, Hawa watu, wamepitia mambo magumu mno mbali na kuwa na ushawishi Mkubwa kwa jamii, lakini hakuna...
  20. Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni lazima ufungue akaunti mpya hivyo...utaingiza email yako kisha itafuata utambuzi wa namba ya UTAIFA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…