afya

  1. JamiiForums Tanzania NHIF na Toto Afya kadi mashuleni hakuna msukomo wa usajili

    Salaam, Mh. Ummy Mwalimu mwaka 2017 pale mnazi mmoja alizindua Toto Afya kadi kwa lengo la kusajili watoto 10m kati ya 25m walio kuwepo wakati huo ili kunusuru afya za watoto wetu kabla ya maradhi. Kampeni hii ili ishia kushindwa kwa kusajili watoto +240k ambao michango yao ilikuwa si zaidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Chuo gani cha afya ni kizuri kusoma Diploma ya Clinical Officer?

    Tafadhali rejea kichwa Cha habari tajwa hapo juu. Nina mdogo wangu amemaliza form four anataka aende kusoma diploma ya C.O, je chuo gani ni kizuri nimsaidie kuapply? Namaanisha uzuri wa mazingira ya ufundishaji na pia ufaulishaji. Nasikia vyuo vya government ndio hufaulisha kuliko private je...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hospitali nyingi hawapendi Bima za Afya

    Habari wanaJF. Hospitali nyingi hawapendi kutumia Bima ya afya kwa madai ya kuwa wanachelewesha kulipwa hela zao na hivyo kushindwa kuendesha ofisi. Ukienda na bima wahudumu wengi wanakuwa wakali na hata wakitoa huduma inakuwa mbaya sana. Serikali ni kwanini kuna tatizo hili na mpaka sasa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji: Suluhisho la Changamoto za Sekta ya Afya na Ubora wa Huduma za Afya

    UWAJIBIKAJI: SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA Imeandikwa na: MwlRCT I. Utangulizi Je, unajua kuwa uwajibikaji unaweza kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania? Uwajibikaji una faida nyingi, kama vile kuongeza uwazi, ufanisi, usalama, uaminifu, ushirikiano...
  5. JamiiForums Tanzania Pendekezo la Mitihani ya Usaili kwa Waajiriwa katika Sekta ya Afya

    Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini. Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa waajiriwa wote wa Ajira za afya kabla ya kuajiriwa. Hatua hii itakuwa na lengo la kuboresha viwango vya...
  6. JamiiForums Tanzania Je, katika kuboresha huduma ya afya kuna haja ya Watumishi wa Mungu na matabibu wa tiba asili kupewa elimu ya awali ya afya?

    Habari JF, Kwanza naomba nitambue mchango mkubwa wa watumishi wa Mungu na hawa matabibu wetu wa tiba asili katika kuhudumia wananchi kwa ujumla hasa katika suala la afya ya mwili . Pili kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa afya mahospitalini wakilalamikia hasa ucheleweshwaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema na ulinzi wake wa daima

    Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu. Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
  8. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika sekta ya afya Tanzania

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya nchini Tanzania. Changamoto hii inajitokeza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti, upungufu wa wataalamu wa afya, ukosefu wa vifaa tiba, vitendea kazi na miundombinu duni. Hivyo, utekelezaji wa sera...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya

    Andiko la Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya. Utangulizi: Sekta ya afya ni muhimu sana katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ili kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa ufanisi na kwa manufaa ya umma, utawala bora na uwajibikaji ni muhimu. Andiko hili linalenga...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ni wazi utafiti unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao hata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu, sijui kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija kama vijana wanawaza mambo yasiyo na maana na hawawezi kujitegemea. Kundi la watu angalau wapo timamu ni over 35.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ni wazi utafiki unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao ata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu ,sijui Kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija Kama vijana wanawaza: Ushoga Ukahaba Hawawezi kujitegemea,wanalishwa na wamama Tena wazee Kamari Kula bange Ulevi na shisha Kulelewa na majimana Trisome Unga...
  13. JamiiForums Tanzania Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Habari ya majukumu wana JamiiForums, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali. Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu. karibuni kwa nyongeza ya maoni...
  14. JamiiForums Tanzania Vyakula vya kukaanga sio vizuri kwa Afya

    Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanapenda kula kula vyakula vya njiani, vyakula vya kukaanga kama kachori kuku supu na chips. Hivi vyakula ni hatari kwa afya yako ifike mahali watanzania tujionee huruma tubadilike tuwe na ukili vyakula tunavyo vingi sana vya asili haiwezekani unafurahia kula...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Afya ya mtanzania mikononi mwa baba na mama ntilie

    Kwa mujibu wa Wikipedia, Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa. Hivyo basi, ili binadamu awe na afya iliyo bora yaani asisumbuliwe na magonjwa, yapaswa azingatie kula vyakula vyenye virutubisho vyote kama protini, wanga, mafuta. Anatakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

    Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani. Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
  17. JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuripoti waajiriwa wapya kada ya Ualimu na afya ni lini?

    Amina anuliza Tarehe ya kureport lini kwa waajiriwa wapya,UALIMU na afya? Pia anaulizia ,Afisa lishe na ustawi wa JAMII wanalipwa tshs ngapi? Je Kuna marupurupu?
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Je, wajua afya bora katika jamii inaanza na mimi na wewe?

      Mara nyingi, tunapozungumzia afya, tunawaza tu juu ya upatikanaji wa huduma za matibabu na jinsi ya kudumisha afya yetu binafsi. Hata hivyo, afya ni zaidi ya hilo, Ni muhimu kutambua kwamba uwajibikaji wa kiafya hauhusiani tu na kujali afya yetu binafsi, bali pia kwa kugusa sehemu kubwa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Upo wapo afisa afya wa manispaa na afisa afya wa kata?

    Habari.nilihabarisha hapa juzi na leo nakumbushia.kata ya mshangano mtaa wa mshangano manispaa ya SONGEA watu wengi wanajisaidia porini kuelekea uwanja wa mpira ukipita pale pananuka Sana na hilo linafanyika si kwamba choo ya kulipa hakuna ipo.si hilo tu pale uwanjani watu wanacheza...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…