afya

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua ama kuelewa kuhusu sponsorship za kusoma vyuo vya afya

    Samahani wakuu anaejua ama kuelewa kuhusu sponsorship za kusoma vyou vya afya atusaidie ambao hatuwezi kujiendeleza. asanteni
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa machinjio rasmi ya mifugo Rufiji, Pwani ni kero na hatari kwa afya

    Kwa sisi wakazi wa Wilaya ya Rufiji iliyopo Mkoa wa Pwani tangu nchi ipate uhuru hapajawahi kujengwa machinjio rasmi ya kuchinjia nyama kama zilivyo wilaya nyingine. Pamoja na kuwa wafanyabiashara wanalipa ushuru wa ng’ombe minadani, vizuizi vya njiani (mageti ya ushuru) na kodi kwa Mamlaka ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Hili la Bima ya Afya Kwa watoto-Hapana

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/= NHIF Yasajili Wanafunzi 342,933 Bima ya Afya Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400 Uzi huu ambao JF waliufuta amba niliandika...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Hivi mishahara ya madaktari na watumishi wengine wa afya katika hospitali za umma inalipwa na nini?

    Swali hili linaniumiza sana kichwa. Je watumishi hawa wa sekta ya afya mishahara yao inalipwa na bima ya afya au ni kutokana na bajeti kuu ya serikali inayotokana na kodi mbalimbali? Kama mishahara yao inatokana na bima ya afya basi serikali haina budi kurekebisha, mishahara ilipwe kutokana na...
  5. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga kutangaza ajira mpya zaidi ya 47,000 ili kupunguza uhaba wa watumishi. Waziri Simbachawene ametoa taarita hiyo wakati akizungumuza na watumishi wa umma wilayani Chato...
  6. JamiiForums Tanzania Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

    MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania. Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

    nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva. Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia...
  8. JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Mundindi Tarafa ya Liganga Kinachokwenda Kuhudumia Wakazi Zaidi ya 40,000 Wilaya ya Ludewa

    TIZAMA PICHA ZA KITUO CHA AFYA MUNDINDI AMBACHO KINAENDA KUHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 40,000 TARAFA YA LIGANGA- KATA YA MUNDINDI, WILAYA YA LUDEWA Wakazi zaidi ya 40,000 wa Tarafa ya Liganga wilayani Ludewa mkoani Njombe wameondokana na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya Km. 50 kufuata huduma ya...
  9. JamiiForums Tanzania DC Ludewa azindua Kituo cha Afya na Zahanati

    DC LUDEWA AZINDUA KITUO CHA AFYA NA ZAHANATI Na. Damian Kunambi, Njombe. Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amezindua kituo cha afya Mundindi kilichogharimu kiasi cha zaidi ya sh. Mil. 500 ambapo uzinduzi wa kituo hicho uliambatana na mapokezi ya vifaa tiba vvyenye thamani ya sh. Mil...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Bima ya Afya (NHIF): Wekeni uwiano mzuri kwa wanufaika wa wachangiaji wa mfuko huo

    Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika. Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

    NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele. Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za...
  13. JamiiForums Tanzania Uguma wa maisha chanzo cha wanawake kulilia shida siku ya kwanza ya mahusiano

    Vijana wengi hasa wakiume wamekuwa wakilalamika hasa suala ya kumtongoza mwanamke na siku hiyohiyo kijana anaanza kuliliwa matatizo. Mimi mwenyewe nimekuwa ni muhanga, yaani ile tu kumuambia mwanamke unahitaji kuwa katika mahusiano basi kitakachofuata ni kuliliwa shida na matatizo. Moja ya...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Taasisi zipi naweza kupata udhamini wa masomo ya chuo kada za afya

    samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

    Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Hamis Luoga anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe, Naomi Marijani umeiomba Mahakama mshtakiwa huyo akapimwe afya ya akili. Wakili wa utetezi, Mohamed Majaliwa ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mshtakiwa apelekwe Hospitali ya Isanga...
  16. JamiiForums Tanzania Ofisa wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe afukuzwa kazi kwa madai kughushi cheti

    BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe lililojigeuza kamati ya Uamuzi, limemfukuza kazi aliyekuwa Ofisa wa Afya wa Wilaya, Winston Nongwa, kutokana na kughushi cheti cha kidato cha nne kinyume cha sheria na kanuni za nchi. Sambamba na azimio hilo, baraza hilo limetoa onyo kali...
  17. JamiiForums Tanzania Uhaba Kifaa Cha Kuchunguza VVU Kwenye Vituo Vya Afya Zanzibar Unaathiri Vijana Kutambua Afya Zao

    KUMEKUWA na uhaba wa wa kifaa cha uchunguzi wa Virusi Vya UKIMWI ( HIV Kits) katika vituo vya afya vya serikali Zanzibar jambo ambalo limepelekea huduma ya upimaji wa Virusi Vya UKIMWI kusita. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika ziara iliyofanywa na Chama cha waandishi wa Habari Wanawake...
  18. JamiiForums Tanzania FAHAMU Faida za unywaji BIA kwenye mwili wa Binadam

    Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi. Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Fomu za kupimia afya watumishi wa mahotelini.

    Naomba kwa aliye na sample ya fomu ya kupimia afya watumishi wa mahotelini na kwenye migahawa aniwekee hapa. Ukiniwekea pdf yake nitashukuru sana. Ninafungua mgahawa, sasa kupata hizo fomu wahusika wanadengua, wanataka sh 15,000/= kwa kila fomu!! sasa kwa watumishi watano nadaiwa 75,000/=(mbali...
  20. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Atembelea Kituo cha Afya cha Kagongwa, Kahama

    MAKAMU MWENYEKITI UWT MNEC. ZAINAB SHOMARI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KAGONGWA-KAHAMA Makamu mwenyekiti wa UWT MNEC. Zainab Shomari mapema leo Agosti 28.2023 akiwa wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga ametembelea na kukagua kituo cha Afya cha Kagongwa Kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kahama,ikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…