Wakati jua lilipochomoza kwenye eneo la Bonde la Ufa katika wilaya ya mbali ya Magharibi ya Kikuube, Jennifer Nyangoma mwenye umri wa miaka 45 alienda kwenye kambi ya matibabu ya bure iliyokuwa ikisubiriwa na watu wengi.
Kwa wiki kadhaa, wanakijiji katika eneo hili linalopakana na mashariki mwa...
China na Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano uliodumu kwa miongo mingi, huku pande hizo mbili zikiendeleza urafiki wa jadi. China, ambayo ni nchi kubwa inayoendelea, imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea zikiwemo za Afrika kujipatia maendeleo kwa njia na mifumo...
Chini ya Rais Samia Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi Mkoani Arusha wafikia asilimia 93.
Rekodi za Kitaifa zinaonesha kuwa Tanzania imeongeza MRI kutoka 7 hadi 13, CT scan kutoka 13 hadi 45, Digital X-Ray kutoka 147 hadi 491 na Ultrasound kutoka 476 hadi 970. Hata hivyo Mkoa wa...
Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili?
Katika kipindi hiki ambapo msongo wa mawazo umeongezeka, ni muhimu sana kupata maarifa sahihi.
🎓 Kozi hii kutoka ChuoSmart inaeleza kwa lugha rahisi:
Dalili za matatizo ya afya ya akili
Namna ya kujisaidia au kusaidia wengine
Njia za...
Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba na kupunguza vifo vya watoto vitokanavyo na uzazi na kuimarisha huduma za bima ya afya kwa wote...
Desturi hii imetuokoa sana sana sana.
Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha.
Sasaivi tupo na maza, ameshikilia kijiti toka alipoingia 2015, as cheo chake ndani ya chama...
==
Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia.
Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92.
2. Zahanati zimeongezeka kutoka 287 hadi 361 sawa na ongezeko la zahanati 74.
3. Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 31 hadi 46...
Serikali mkoani Kagera imeanza operesheni maalumu ya kukagua na kuchunguza shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi ili kubaini walimu wakuu na wamiliki wa shule wanaokiuka kanuni za afya na usalama wa wanafunzi.
Operesheni hiyo inalenga kubaini shule zenye dosari katika miundombinu...
WATOTO WA KISASA
Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu
Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni
Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza.
Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji?
mifugo plus tumekuletea PROMASS EXTRA
PROMASS EXTRA ni protein asilia iliyo Bora zaidi inayo tokana na mazao ya wanyama hasa wa...
Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia hakuna, wazee wanatozwa hela, lakini tunashangaa wenzetu wa Chama Cha Mapinduzi wanajisifia eti nchi...
Cairo. Mpango wa Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba umezinduliwa nchini Misri kwa udhamini wa Muungano wa Kimataifa wa Wanafunzi wa Tiba wa nchi hiyo na tawi lake katika Chuo Kikuu cha MTI.
Mpango huo unaolenga kuwawezesha madaktari chipukizi na wanafunzi wa tiba kutoka Misri na wa Sudan...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa Chama Cha Mapinduzi hakijali matatizo ya wananchi hivyo dawa pekee ya kuboresha huduma zote za kijamii...
Sijui kama watanielewa, nahisi watachukia. Ila kama posho zao zimeongezwa, labda watacheka tu. Lakini ukweli ndio huu, na nimeamua kuusema wazi hapa JF -where we dare to talk openly! Kila nikikumbuka niliyofanya, najua kabisa madaktari wana kila sababu ya kunikazia macho. Lakini kabla wewe...
Afya
Katika rika la miaka 20 hadi 35, wengi hujisahau kwa sababu mwili bado una nguvu, lakini hapa ndipo msingi wa afya ya baadaye hujengwa. Kula hovyo, kukosa mazoezi, usingizi mbovu, matumizi ya pombe, sigara, au dawa za kulevya huanza kuharibu mwili kimyakimya. Magonjwa kama kisukari...
Habari za wakati huu wana JF tumeleta product mpya na ya asili kwa 100% mafuta halisi ya alizeti kutoka dodoma kwa lita 5 utapata kwa 30k kwa lita 20 utapata kwa 115k usipange kukosa tunauza jumla na reja reja
0762441818
Tupo Dar es Salaam na Dodoma delivery tunafanya karibu sana
HABARI YAKO.
Najua utakua umewahi pitia changamoto kwenye simu yako (Android phones) na kujiuliza sana kua "Mbona simu yangu inawahi kuisha chaji haraka sana?" bila kujua shida ni nini.
Kwa upande wa iOS devices ninamaanisha iPhones hua wanakuonesha hali ya afya ya battery yako kwa mfumo wa...
Habari!.
Fikisha kwa jamii.
Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:-
Degree 170k *7
Diploma 150k*7
Certificate 100k*7...
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
habari
halmashauri
kagera
kujikimu
mkoa
mkoa wa kagera
mpya
muleba
mwezi
ndugu
pamoja
pesa
pesa za kujikimu
wenzake
wilaya
yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.