afya

  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za afya zichukue hatua za haraka sana kuzuia aina hii ya kuandaa chapati kwa kutumia sponji

    Habari wakuu, Nlishawai kuleta huu uzi kipindi cha nyuma kidogo, lakini naona hili swala ndo limeshika kasi sana, swala lenyewe ni huu uandaaji wa chapati kwa kutumia sponji, ukienda migahawa mingi, watu wanatumia sponji kwenye uchomaji wa chapati kwakua inasaidia sana kuweza kurahisisha...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ukweli Usiosemwa: 'Mboga zenye Viwatilifu vyenye viambata vya sumu' zinavyohatarisha afya za maelfu ya wananchi wa mijini

    Katika hali ya kawaida, mbogamboga huonekana kuwa chakula salama na chenye faida nyingi kiafya. Hata hivyo, katika muktadha wa miji au Majiji makubwa kama makubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza, mboga hizo zinaweza kugeuka kuwa chanzo cha hatari ya kiafya kwa wananchi wengi maelfu...
  3. Prayallthetime

    JamiiForums Tanzania Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Poleni na majukumu ndugu zanguni . Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga . Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 , mpaka sasa nina watoto 02 kila mtoto na mama yake , mtoto kwanza ilikuwa enzi za ujana wangu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha ada ya magari yanayoagizwa nje ili kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa...
  5. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim yafanya Kampeni ya uchangiaji Damu nchi nzima kuimarisha sekta ya Afya

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imefanikisha kampeni ya nchi nzima ya uchangiaji damu. Zoezi hili muhimu...
  6. Investaa

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa AFYA & SHERIA.

    Habari wataalamu. Kama title inavyojieleza above, nina swali kuhusu campaign ya mambo ya afya kama yanaruhusiwa kisheria kufanywa kwenye app au social media. Mfano clinic ya meno, inatoa discount ya 50% ya wagonjwa 10 wa kwanza wanaosumbuliwa na meno, watakao wahi kulipia watapata discount ya...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania MSD yaidai Serikali TSh 434.2 bilioni kwa huduma za bidhaa za afya vituoni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kukamilisha mchakato wa kuandaa sheria itakayosimamia huduma ya uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa chembechembe na viungo vya binadamu ili kuweka msingi madhubuti wa utoaji wa huduma hiyo kwa wananchi. Akizungumza...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Prof. Sospeter Muhongo, Leo bungeni Dodoma (Bajeti ya Wizara ya Afya)

    Prof. Sospeter Muhongo, LEO BUNGENI DODOMA (Bajeti ya Wizara ya Afya) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake Bungeni akielezea mengi yakiwemo: Musoma Vijijini wameamua kujenga zahanati moja kila kijiji. Jumla ya vijiji ni 68 Taifa lisomeshe vijana...
  9. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira kwa Wataalam wa Afya katika Eli Hospital Arusha

  10. A

    JamiiForums Tanzania SOLVED KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya malengelenge eneo la kiunoni mpaka kitovuni

    Habari wakuu. Nini tiba ya malengelenge ama vipele design kama vinaeka maji hivi kwandani maeneo ya kiunoni mpaka sehemu ya kitovu na maumivu yake kwa ndani ni makali sana kiasi kwamba hakuna ushirikiano seheme ya juu kichwani na miguu?
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  13. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo 1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi 2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
  14. Soul21

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya afanye ziara Hospitali ya KCMC

    Viongozi wamekuwa wakitoa kauli zisizo na vitendo au uhalisia unaowakba wagonjwa. Nimeshuhudia hospitality ya KCMC hata mgonjwa wa ambulance anasubirishwa mapokezi mpaka kujaza taarifa na malipo ya awali Hili jambo si utani, unaweza kuona mtu wako anafia mapokezi basi wakati mwingine Mungu...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hali ya mazingira katika baadhi ya mitaa ARUSHA... Je? Jamii inazingatia usalama na afya

  16. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Busara inatumika, Mgonjwa mwenye uwezo analipa Hospitali za Serikali

    Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati busara inatumika licha ya uwepo wa Sheria...
  18. Munamuge

    JamiiForums Tanzania Kliniki za Matibabu ya kibingwa wilayani kutokujumisha Wafamasia Bingwa na Wateknolojia Bingwa wa Maabara za Afya kwenye jopo, Haijakaa sawa

    Salaam, mimi nilie mdogo kati yenu nawasalimu. Kwanza kabisa napenda kutambua mchango mkubwa na matokeo chanya yatokanayo na kampeni ya huduma za kibingwa katika Hospitali za wilaya na baadhi ya Vituo vya Afya zinazoendelea nchini kote. Mwezi May mwaka huu, kampeni hizo nadhani zimeanza awamu...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

    Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Ubovu wa Miundombinu ya Chuo cha Marian University College (MARUCO) unahatarisha afya za Watu wakati wa mvua

    Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo kupelekea Wanachuo kukanyaga maji machafu. Jambo baya zaidi kiafya maji hayo mengi yanakuwa...
Back
Top Bottom