Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji wa binadamu. Serikali iangalie ubora wa mablanketi yanayoingia nchini na kupitia materials...
Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo).
Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile.
Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
Anonymous
Thread
abiria
afya
babati
chakula
chipsi
hatarini
huduma
mabasi
stendi
stendi ya mabasi
usafi
Siku ya kwanza na ya pili condom huwa inazingatiwa sana
Siku ya tatu na kuendelea mpira hauna thamani tena, mnaaminiana sana,
Baada ya mwezi watu wanaanza kuchokana, wanahama kwa wapya, na huko cycle inajirudia,
Habari za jioni ndugu wana JFs
Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kabisa kaa Serikali ya CCM ya awamu ya tano na hii ya sita kwa kazi nzuri waliyofanya kwenye sekta ya afya.
Mambo ni mazuri tunakoelekea na kiukweli kwenye miundo mbinu kwa sasa ni bora kwa viwango vinavyokubalika( healthcare...
Jionee mwenyewe kwenye picha... Hapa ni Manispaa ya Mtwara Mikindani.
Bwana Afya na Bibi Afya wapo tu, wanasubiri milipuko ya magonjwa ili waandike madosari ya kuomba fedha. Hakuna jitihada za kweli za kuzuia, bali kusubiri matatizo yatokee ndipo wachukue hatua – tena kwa maslahi yao binafsi.
Habari wakuu,
Nlishawai kuleta huu uzi kipindi cha nyuma kidogo, lakini naona hili swala ndo limeshika kasi sana, swala lenyewe ni huu uandaaji wa chapati kwa kutumia sponji, ukienda migahawa mingi, watu wanatumia sponji kwenye uchomaji wa chapati kwakua inasaidia sana kuweza kurahisisha...
Katika hali ya kawaida, mbogamboga huonekana kuwa chakula salama na chenye faida nyingi kiafya. Hata hivyo, katika muktadha wa miji au Majiji makubwa kama makubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza, mboga hizo zinaweza kugeuka kuwa chanzo cha hatari ya kiafya kwa wananchi wengi maelfu...
Poleni na majukumu ndugu zanguni .
Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga .
Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 , mpaka sasa nina watoto 02 kila mtoto na mama yake , mtoto kwanza ilikuwa enzi za ujana wangu...
Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote
Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imefanikisha kampeni ya nchi nzima ya uchangiaji damu. Zoezi hili muhimu...
Habari wataalamu.
Kama title inavyojieleza above, nina swali kuhusu campaign ya mambo ya afya kama yanaruhusiwa kisheria kufanywa kwenye app au social media. Mfano clinic ya meno, inatoa discount ya 50% ya wagonjwa 10 wa kwanza wanaosumbuliwa na meno, watakao wahi kulipia watapata discount ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kukamilisha mchakato wa kuandaa sheria itakayosimamia huduma ya uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa chembechembe na viungo vya binadamu ili kuweka msingi madhubuti wa utoaji wa huduma hiyo kwa wananchi.
Akizungumza...
Prof. Sospeter Muhongo, LEO BUNGENI DODOMA (Bajeti ya Wizara ya Afya)
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake Bungeni akielezea mengi yakiwemo:
Musoma Vijijini wameamua kujenga zahanati moja kila kijiji. Jumla ya vijiji ni 68
Taifa lisomeshe vijana...
Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi.
Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
Anonymous
Thread
afyaafya za wanafunzi
hatari
manispaa
msingi
ruvuma
shule
shule ya msingi
songea
vyoo
wanafunzi
Habari wakuu.
Nini tiba ya malengelenge ama vipele design kama vinaeka maji hivi kwandani maeneo ya kiunoni mpaka sehemu ya kitovu na maumivu yake kwa ndani ni makali sana kiasi kwamba hakuna ushirikiano seheme ya juu kichwani na miguu?
Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
afrika
afya
duniani
jamhuri
jamhuri ya muungano
janabi
kanda
kutoka
mgombea
mkurugenzi
mkurugenzi mkuu
mkuu
mohammed
mohammed janabi
muungano
shirika
shirika la afya
shirika la afya duniani
tanzania
uchaguzi
Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini
Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo
1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi
2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.