afya

  1. Dr Luu

    Usingizi ni afya

    Habari za wakati huu, Usingizi sio anasa — ni tiba ya mwili na akili. Watu wengi wanapuuza kulala vizuri wakidhani ni kupoteza muda. Ukweli ni huu: ukikosa usingizi wa kutosha, unajinyima nguvu, afya, na hata mafanikio yako. Faida za kulala kiafya: Huimarisha kinga ya mwili Hurekebisha seli na...
  2. N

    Hivi unatumia AI kwenye kutafuta ushahuri wa haraka na dharula wa kitaalamu kwenye masuala mbalimbali ya kijamii kama afya, familia, biashara nk?

    Matumizi ya Artificial Intelligence (AI) yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika kutoa ushauri wa haraka na taarifa za awali kwenye maeneo kama afya, familia, biashara n.k. AI inaweza kusaidia kutoa mwongozo wa kitaalamu wa msingi, kuelimisha, na kusaidia kufanya maamuzi sahihi na ya haraka...
  3. ngara23

    Kwenye Uislam, Bima ni Haram kama ilivyo kamari

    Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K Bima ni gambling tu, yaani pata potea, Kwa tafsiri ya kiislam ni kamari maana unaweza pata usichostahiri Mfano unaweza kuweka Bima laki 5...
  4. A

    KERO Tabia ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa Wilayani Chunya ni hatarishi kwa afya

    Mimi ni mchimbaji mdogo katika moja ya Vijiji katika Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, kero yangu ni kuwa kumekuwepo na tabia ya mazoea ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa katika hizi buying center nyingi za huku Chunya, jambo ambalo ni hatarishi kwa afya za wachimbaji. Mvuke wa zebaki...
  5. Roving Journalist

    Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku atoa fedha kuweka mfumo wa maji Kituo cha Afya Itete

    Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo. Hatua hiyo...
  6. M

    Madaktari, msiwaache wanafunzi kuona wagonjwa wakiwa peke yao, afya ya mtu haijaribiwi wakikosea inaweza gharimu uhai

    Kuna jambo ambalo halizungumzwi sana ila linatendeka sana, hili la wanafunzi madaktari wanapokuwa wapo kwenye mazoezi ni muhimu sana wakawa wanaambatana na madaktari wazoefu au walimu wao ili kuepusha hatari ya wao kufanya makosa kwenye mwili wa mtu. Nakumbuka kuna siku nilipeleka mtoto wangu...
  7. H

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.📍Songambele (Nsimbo)-Katavi🗓️Machi 15, 2026

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songambele (Nsimbo)-Katavi 🗓️Machi 15, 2026 ———————————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
  8. KEKO JUU

    Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

    Habari za uzima wana JF! Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni. Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia. Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
  9. figganigga

    Boti iliyozama Kigoma na Watumishi wa afya, Kwanini haikuwa na life jackets?

    Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini? Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma...
  10. Driz de Mafwele

    Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

    Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia. Anasema asingeenda India angepooza milele. Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India. Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video. Soma...
  11. Mstahiki Mea

    Wanawake Lindeni Afya Zenu

    Mara nyingi ukisikia Takwimu za waathirika wa UkIMWI wanawake wanakuwa kwa idadi kubwa kuliko sisi wanaume, hata magonjwa ya zinaa mengine ni hivyo hivyo hii kwa asilimia kubwa hutokana na Uzembe kwa upande wa wanawake na wengi hawafahamu kuchukua tahadhari hasa linapokuja suala la ngono...
  12. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  13. Chakaza

    Hatua Gani Zinachukuliwa Igundulikapo Tatizo la Afya ya Akili kwa Kiongozi?

    Hebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo? Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
  14. A

    KERO Kuzorota kwa huduma za Tiba na Matunzo kwa WAVIU mkoa kwa Kagera kuanzia January 2026

    Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
  15. VN Warehouse Limited

    Wataalamu wa afya husisitiza mlo kamili, lakini wanasahau kusisitiza maandalizi sahihi

    Hi Everyone Tunasikia mara kwa mara wataalamu wa afya wakituelekeza kula mlo kamili: Mboga za majani, matunda, protini, nafaka zisizokobolewa na maji ya kutosha. Lakini kuna eneo moja ambalo halizungumzwi sana - namna chakula hicho kinavyoandaliwa. Unaweza kula mlo kamili, lakini kama...
  16. Roving Journalist

    Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la Mafua makali ya influenza na UVIKO 19 nchini Tanzania

    Pia soma Visa vya UVIKO-19 vyaongezeka nchini, Dar es Salaam ikiwa kinara
  17. Dalton elijah

    POTOSHI Ni kweli kuwa Wanaume wanatakiwa kutofanya mazoezi ili kulinda afya

    Kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, kumekuwepo na ukurasa uliochapisha video inayowahamasisha wanaume kutofanya mazoezi, ikidai kuwa kufanya mazoezi husababisha watu kutokuwa na afya njema. Katika video hiyo, mhusika anarejelea zamani akisema kuwa watu wa kale hawakufanya mazoezi, na...
  18. M

    Kuna mwanaume wa aina hii mwenye afya na uhuru ?

    Hanywi pombe Havuti sigara / bangi Hahongi wala kununua wanawake Hachezi kamali
  19. A

    KERO Ahadi hewa ya Utekelezaji wa Muundo wa Utumishi kwa Sekta ya Afya (Kada ya Uuguzi na Ukunga) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025? Habari, Kwa masikitiko makubwa napenda...
  20. H

    Nauza korosho jumla na rejareja. Utamu na ubora ni wa hali ya juu

    NAUZA KOROSHO JUMLA NA REJA REJA, BILA KUZUNGUSHANA WATEJA WANGU.. Wasiliana nasi; 0615326654 KGS 1 REJA NI TSHS 25,000. UTAMU NA UBORA WA HALI YA JUU KWA FAIDA YA AFYA YAKO. Derivery kwa gharama Nafuu, Dar na mahala Popote Tanzania. Jumla Kuanzia Kgs 10 tunaelewana Bei inapungua kwa Kadri...
Back
Top Bottom