afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania China yaziongoza nchi zenye nguvu duniani kufuatilia maendeleo ya amani ya Pembe ya Afrika

    Hivi karibuni mkutano wa kwanza wa amani wa China na Pembe ya Afrika ulifanyika Addis Ababa, Ethiopia, na kufuatiliwa na vyombo vya habari mbalimbali kote duniani, ikiwa ni pamoja na Reuters na VOA. Wakati China inaanza kutekeleza kivitendo "Dhana ya Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika"...
  2. JamiiForums Tanzania Tulienda kupiga ramli kwa mganga hatari kuliko wote Afrika kujua who was behind our problems

    Mganga alitu peleka kwenye chumba maalumu na kwenye chumba hicho kulikuwa na kinyago mfano wa mtu limefunikwa kitambaa chekundu kama jezi ya Simba kisha akatuambia kila mmoja afunue kitambaa hicho na atamuona mtu anae mroga na kumrudisha nyuma kimaendeleo... Mimi nilicho kiona ndio hicho hapo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zatiwa wasiwasi na hasira na kuongezeka kwa ushawishi wa China barani Afrika

    Likiita Afrika "bara lisilo na matumaini" na kushangilia uvamizi wa Marekani nchini Iraq, jarida la The Economist la nchini Uingereza limekuwa halifichi mantiki yake ya "Eurocentrism" na "ukuu wa wazungu". Hivi karibuni, mfululizo wa ripoti zilizotolewa na jarida hilo "China barani Afrika" kwa...
  4. JamiiForums Tanzania WHO yaonya ongezeko la Magonjwa ya Binadamu kutoka kwa wanyama barani Afrika

    Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita Kesi nyingi zimehusisha Virusi vya Ebola, Magonjwa mengine ya Virusi ya Kuvuja...
  5. JamiiForums Tanzania Pre- Season: Singida Big Stars tunaenda kuweka kambi Geneva ya Afrika

    Watu wa Soka, Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season). Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya Hewa nzuri, pia mazingira yake yanavutia, hivyo itasaidia wachezaji wetu kuwa focused. Timu itaweka...
  6. JamiiForums Tanzania Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
  7. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, leo Julai 12, 2022

    ====== Maxence Melo: PESA ZA UVIKO SIO BWERERE, TAKUKURU IPO MACHO Tanzania imeelezwa kuwa ni miongoni mwa Nchi zinazofanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa licha ya changamoto kadhaa, ambapo ushauri umetolewa pesa za UVIKO-19 zinazotolewa na Serikali zikitakiwa kutumiwa vizuri kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  9. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu wenye silaha wafyatua risasi baa, 14 wauawa

    Watu wenye silaha wameshambulia na kuua watu 14 mapema leo, ikielezwa 12 walifariki papo hapo na wawili walipoteza maisha baada ya kufikishwa Hospitalini kwa matibabu. Vilevile, watu wengine 10 wamejeruhiwa Kamishna wa Polisi Gauteng, Elias Mawela amethibitisha kutokea tukio hilo akisema...
  10. JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika wazindua Pasi ya Kielektroniki ya Chanjo ya Covid-19

    Umoja wa Africa umezindua pasi ya kielektroniki ya chanjo ya #COVID19 , itakayoonesha uthibitisho wa mhusika kupatiwa aina fulani ya Chanjo, ambayo inanuiwa kuwezesha usafiri rahisi ndani na nje ya Afrika. Inaelezwa kuwa pasi hiyo itakuwa katika muundo wa kidijitali, ambapo “QR Code” itaskaniwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Afrika hakika inakaribisha ahadi ya G7 ya kuchangisha dola bilioni 600 katika miundombinu – iwapo itatimizwa

    Kundi la nchi saba tajiri zaidi duniani G7 hivi karibuni lilitangaza mpango wa kuchangisha dola za kimarekani bilioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu katika nchi zinazoendelea, ikiwa ni jaribio la kushindana na pendekezo la China la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mpango mkubwa wa miundombinu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Afrika waipa somo Marekani

    Inawezekana kuwa wengi wanakumbuka kuwa Oktoba mwaka jana, vyombo vya habari vya Zimbabwe vilifichua kwamba ubalozi wa Marekani nchini humo uliwalipa waandishi wa habari wa nchi hiyo kuchapisha ripoti za kuchafua sura ya China kwa bei ya dola za Marekani 1,000 kwa kila makala, jambo ambalo...
  13. JamiiForums Tanzania Ujerumani kurejesha kazi za sanaa na vito vilivoporwa Barani Afrika enzi za Ukoloni wao

    Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20. Taasisi ya Prussian Cultural Heritage...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyenusurika kifo katika Klabu Afrika Kusini asema walikosa hewa kwa muda mrefu

    Binti mwenye umri wa miaka 17, mwanafunzi wa darasa la 12 katika shule ya Sekondari eneo hilo (jina limehifadhiwa) amesema kwamba walihudhuria sherehe katika klabu ya East London kwa sababu waliarifiwa kwamba iliandaliwa waigizaji mashuhuri Anasema kwamba watu walipozidi kuongezeka, baadhi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Misitu inazidi kupungua Afrika, kuna hatari miaka 100 ijayo wajukuu zetu wakaishi katika jangwa

    https://images.app.goo.gl/KTXFpN7sMk73dyxT8 Eneo la misitu mikubwa iliyobaki ni misitu ya Congo. Afrika tunatumia miti kwa kiwango kikubwa kuanzia kujengea, kupikia na hata dawa mitishamba. Wenzetu ambao hawatumii miti kama sisi lakini wanafahamu umuhimu wa kupanda miti. Sehemu yenye miti...
  16. JamiiForums Tanzania EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

    Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea. Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja...
  17. JamiiForums Tanzania Kisa cha kwanza cha Monkeypox chagundulika Afrika Kusini

    Afrika Kusini imeripoti kuwa na kisa cha kwanza cha Virusi vya Monkeypox, ikiungana na nchi nyingine 40 ambazo zimeripoti kuwa na virusi hivyo. "Mgonjwa ana umri wa miaka 30, ni mwanaume kutoka Jiji la Johannesburg, hana historia ya kusafiri. Mchakato wa kumfuatilia unaendelea,” anasema Waziri...
  18. JamiiForums Tanzania Rally Bwalya atambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini

    “Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL," kauli ya Rally Bwalya wakati akitambulishwa kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini. Timu hiyo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinachochea dai la “mtego wa madeni” huku kihalisia fedha zikifika nchi hizo kutoka Afrika

    “Madeni mengi yanayozikabili nchi za Afrika yanasababishwa na mashirika binafsi ya nchi za Magharibi, na hawa wakopeshaji kutoka New York, London, Frankfurt n.k wanataka madeni hayo yalipwe ili mali za nchi za Afrika ziendelee kumiminika Amerika Kaskazini na Ulaya, na wala sio China.” Hivi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa BRICS waleta fursa mpya kwa Afrika

    Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama mpya ya maendeleo ya kimataifa”. Likiwa jukwaa la ushirikiano kati ya nchi zinazoendelea, BRICS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…