Afrika Kusini: Watu wenye silaha wafyatua risasi baa, 14 wauawa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Watu wenye silaha wameshambulia na kuua watu 14 mapema leo, ikielezwa 12 walifariki papo hapo na wawili walipoteza maisha baada ya kufikishwa Hospitalini kwa matibabu. Vilevile, watu wengine 10 wamejeruhiwa

Kamishna wa Polisi Gauteng, Elias Mawela amethibitisha kutokea tukio hilo akisema watuhumiwa walianza kufyatua risasi ovyo walipowasili. Mauaji hayo yanakuja siku chache baada ya vifo vya watu 22 huko East London
===

Fourteen people have been shot dead at a tavern in Soweto.

It’s understood nine others have been wounded in the mass shooting which took place in the early hours of Sunday morning near the Nomzamo informal settlement.

Confirming the incident - Gauteng Police Commissioner, Elias Mawela says the unknown gunmen randomly opened fire at the patrons.

"It happened around 12:30 this morning, unfortunately, 12 died on the scene and another one died on arrival at Chris Hani Baragwanath hospital and the 14th one also died after admission," said Mawela.

The shooting comes exactly two weeks after the tragic deaths of 22 people at a tavern in East London.
 
Takribani watu 15 wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine kujeruhiwa vibaya walipokuwa katika baa huko Soweto, Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa Polisi watu wenye silaha waliivamia baa hiyo majira ya Jumapili alfajiri na kuanza kurusha risasi wakikilenga kikundi cha vijana.
IMG_1175.jpg

Kitenge
 
Hivi huko watu wanapumua kweli mana kila siku habari za mauaji
 
Watu wenye silaha wameshambulia na kuua watu 14 mapema leo, ikielezwa 12 walifariki papo hapo na wawili walipoteza maisha baada ya kufikishwa Hospitalini kwa matibabu. Vilevile, watu wengine 10 wamejeruhiwa

Kamishna wa Polisi Gauteng, Elias Mawela amethibitisha kutokea tukio hilo akisema watuhumiwa walianza kufyatua risasi ovyo walipowasili. Mauaji hayo yanakuja siku chache baada ya vifo vya watu 22 huko East London
===

Fourteen people have been shot dead at a tavern in Soweto.

It’s understood nine others have been wounded in the mass shooting which took place in the early hours of Sunday morning near the Nomzamo informal settlement.

Confirming the incident - Gauteng Police Commissioner, Elias Mawela says the unknown gunmen randomly opened fire at the patrons.

"It happened around 12:30 this morning, unfortunately, 12 died on the scene and another one died on arrival at Chris Hani Baragwanath hospital and the 14th one also died after admission," said Mawela.

The shooting comes exactly two weeks after the tragic deaths of 22 people at a tavern in East London.
Bora mzungu ama mwarabu kukutesa na kukubagua utaelewa. Kuliko mwafrika mwenzako kufanya hivyo. Yani sisi wamatumbi.

South African are hopeless human beings. Walichojaliwa na kubarikiwa ni kimoja tu wanawake wao Ndo wazuri kuliko wote duniani kwasababu ya shepu za kibantu na kujaziajazia.
 
umemaliza mkuu. Just imaging maua hayo yangetokea ulaya au marekani ungesikia kelele kutoka kila pande za dunia .
 
Back
Top Bottom