Papa Francis aomba radhi kwa kusitisha ziara ya Afrika

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,268
5,368
Pope Francis.jpg

Papa Francis ameomba radhi kwa watu wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo na Sudan Kusini kwa kusitisha safari yake ya kufanya ziara katika nchi hizo kutokana na matatizo ya kushindwa kutembea.

Kiongozi huyo wa Vatican alitangaza kusitisha ziara yake hiyo ya Julai 2-7, 2022 kutokana na tatizo la kiafya katika goti, ambapo amelazimika kutumia kiti cha matairi kwa zaidi ya mwezi sasa.

"Tusali kwa pamoja ili niendelee na matibabu," alisema Papa ambaye ana umri wa miaka 85.

Source: Reuters

-------------------

Pope apologises for having to cancel Africa trip

Pope Francis apologised to the people of Democratic Republic of Congo and South Sudan on Sunday for having to cancel his visit because of walking problems, and said he was hopeful his condition would improve.

The Vatican announced on Thursday that the July 2-7 trip had been postponed indefinitely because of the 85-year-old pontiff's knee ailment, which has forced him to use a wheelchair for more than a month.

"I feel great regret that I had to postpone this trip, which I am still very keen to make," he said at his Sunday address before thousands of people in St. Peter's Square.

"I ask you to pardon me for this. Let us pray together that with the help of God and with medical treatment, I can come to you as soon as possible. We are hopeful," he said, directly addressing the people and authorities of both countries.

The Vatican said on Thursday that the trip was postponed "in order not to jeopardize the results of the therapy that he is undergoing for his knee".

On Sunday, he referred to his ailment, which is believed to be a torn ligament, as "problems with my leg". Francis also suffers from sciatica, which caused him to limp even before the flare-up of the knee problem.

Vatican sources have said the pope has been receiving several injections a week for the ailment, as well as physical therapy, and that he had hoped to be able to regain at least a partial ability to walk before the trip was due to start.
 
Asije kabisa na mwaka huu papa amejidhalilisha sana ameonekana ana double standard ndio maana hata Putin amemkaushia ,USA na NATO wanafanya mauaji kila siku haongei anapigwa Ukraine anajifanya inamuuma sn
duh kwan Urusi kuivamia Ukraine ni sahihi kisa papa hakukemea vamiz zilizopita ?
 
Namuombea Papa Francis kiongozi wa dunia apone haraka na kurejea kwenye majukumu yake ili dunia izidi kupata amani
 
Asije kabisa na mwaka huu papa amejidhalilisha sana ameonekana ana double standard ndio maana hata Putin amemkaushia ,USA na NATO wanafanya mauaji kila siku haongei anapigwa Ukraine anajifanya inamuuma sn
Kwani bakwata ya dunia.. Imetoa kauli Gani?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom