Utafiti: Bara la Afrika kugawanyika, Tanzania kuhusika

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Shirika la Anga la Marekani (Nasa) kupitia utafiti wake mpya uliochapishwa Juni 2023 umeonyesha dalili za kugawanyika mara mbili Bara la Afrika miaka milioni tano ijayo baada ya bonde la ufa lililopo Kenya na Ethiopia kuzidi kuongezeka.

Taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa ‘Daily Mail’ wa Uingereza inaonyesha mgawanyiko huo unasababishwa na kusukumwa kwa safu kubwa ya mawe yenye joto kali katika kiini cha dunia.

Pia, utafiti huo unaonyesha baada ya Afrika kugawanyika mara mbili nchi za Tanzania, Kenya, Somalia na sehemu ya Ethiopia itaunda bara jipya litakaloongeza idadi ya mabara kutoka saba hadi nane.

“Wanasayansi wametabiri kwa muda mrefu kwamba Afrika inatazamiwa kugawanyika mara mbili, na kuunda bara jipya ambalo litakuwa na nchi za; Somalia, nusu ya Ethiopia, Kenya na Tanzania,”imeripoti Daily Maily

Kinachotajwa kuligawa Bara la Afrika ni Bonde la Ufa ambalo lilikuwapo tangu miaka 22 iliyopita, lakini ilianza kuonekana zaidi mwaka 2005 katika eneo la jangwa Ethiopia kabla ya kuongezeka zaidi mwaka 2018 nchini Kenya katika eneo la Maai Mahiu-Narok.

Profesa Ken Macdonald wa Chuo Kikuu cha California amesema baada ya Bara la Afrika kugawanyika pia kutaundwa bahari nyingine ambayo itaongeza idadi ya bahari duniani kutoka nne zilizopo hadi tano.

"Tunachojua ni kama mpasuko huu utaendelea kwa kasi yake ya sasa na hatimaye kufungua bonde la bahari (Bahari Nyekundu) na baadaye itaunda toleo dogo la Bahari ya Atlantiki.

Vilevile, katika utafiti wa Nasa unaonyesha ufa wa maili 35 ambao ulionekana mwaka 2005 Ethiopia tayari unaonyesha dalili za bahari mpya karibu katika eneo hilo.

Hata hivyo, gazeti dada la Daily Nation nchini Kenya lilifanya mahojiano na mtaalamu wa miamba, David Adede ambaye alieleza namna Bonde la Ufa katika eneo la Maai Mahiu-Narok lilivyotokea mwaka 2018.

“Naamini kuwa mpasuko huo ulikuwa umejaa majivu ya Volcano lakini mvua kubwa ilivyonyesha iliyasomba na kufichua ufa,” alisema.

Pia, gazeti la Economic Times la Uingereza limeripoti sababu nyingine ya mgawanyiko wa Bara la Afrika ni mijongeo ya bamba za tektoniki (tectonic plates) zinazojitenga.

“Ufa katika eneo la Ethiopia na Kenya limesababishwa na mijongeo ya bamba tatu za tektoniki ambazo tayari zimekuwa zikijitenga kwa muda ambazo ni Nubian Afrika, Somalian Afrika na Arabian Afrika,”

MWANANCHI
 
Miaka million tano ijayo!!

Mungu atupe maisha marefu tushuhudie huo mgawanyiko
IMG-20230706-WA0001.jpg
 
Wameona tumeanza kujitambua wakaona njia pekee ni kutugawa waendelee kutuibia. Wameweka mitambo yao ya kugawa mabara sasa wanatuandaa.

Is what mwanasayansi mmoja humu ndani kwa jina la mathazua would say.
 
Waubiri injili Duniani kote maana mfalme u karibu kurudi..habari zankufikiria miaka milioni tano mbele haitufai kwasababu hatuna makazi ya kudumu hapa duniani..Yesu kristo anarudi soon.
 
Haya wataalam wetu waafrika
Wathibitishe huo mgawanyo
Je kweli upo

Ova
 
Shirika la Anga la Marekani (Nasa) kupitia utafiti wake mpya uliochapishwa Juni 2023 umeonyesha dalili za kugawanyika mara mbili Bara la Afrika miaka milioni tano ijayo baada ya bonde la ufa lililopo Kenya na Ethiopia kuzidi kuongezeka.

Taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa ‘Daily Mail’ wa Uingereza inaonyesha mgawanyiko huo unasababishwa na kusukumwa kwa safu kubwa ya mawe yenye joto kali katika kiini cha dunia.

Pia, utafiti huo unaonyesha baada ya Afrika kugawanyika mara mbili nchi za Tanzania, Kenya, Somalia na sehemu ya Ethiopia itaunda bara jipya litakaloongeza idadi ya mabara kutoka saba hadi nane.

“Wanasayansi wametabiri kwa muda mrefu kwamba Afrika inatazamiwa kugawanyika mara mbili, na kuunda bara jipya ambalo litakuwa na nchi za; Somalia, nusu ya Ethiopia, Kenya na Tanzania,”imeripoti Daily Maily

Kinachotajwa kuligawa Bara la Afrika ni Bonde la Ufa ambalo lilikuwapo tangu miaka 22 iliyopita, lakini ilianza kuonekana zaidi mwaka 2005 katika eneo la jangwa Ethiopia kabla ya kuongezeka zaidi mwaka 2018 nchini Kenya katika eneo la Maai Mahiu-Narok.

Profesa Ken Macdonald wa Chuo Kikuu cha California amesema baada ya Bara la Afrika kugawanyika pia kutaundwa bahari nyingine ambayo itaongeza idadi ya bahari duniani kutoka nne zilizopo hadi tano.

"Tunachojua ni kama mpasuko huu utaendelea kwa kasi yake ya sasa na hatimaye kufungua bonde la bahari (Bahari Nyekundu) na baadaye itaunda toleo dogo la Bahari ya Atlantiki.

Vilevile, katika utafiti wa Nasa unaonyesha ufa wa maili 35 ambao ulionekana mwaka 2005 Ethiopia tayari unaonyesha dalili za bahari mpya karibu katika eneo hilo.

Hata hivyo, gazeti dada la Daily Nation nchini Kenya lilifanya mahojiano na mtaalamu wa miamba, David Adede ambaye alieleza namna Bonde la Ufa katika eneo la Maai Mahiu-Narok lilivyotokea mwaka 2018.

“Naamini kuwa mpasuko huo ulikuwa umejaa majivu ya Volcano lakini mvua kubwa ilivyonyesha iliyasomba na kufichua ufa,” alisema.

Pia, gazeti la Economic Times la Uingereza limeripoti sababu nyingine ya mgawanyiko wa Bara la Afrika ni mijongeo ya bamba za tektoniki (tectonic plates) zinazojitenga.

“Ufa katika eneo la Ethiopia na Kenya limesababishwa na mijongeo ya bamba tatu za tektoniki ambazo tayari zimekuwa zikijitenga kwa muda ambazo ni Nubian Afrika, Somalian Afrika na Arabian Afrika,”

MWANANCHI
Alinacha nahisi
 
... 5 million years to come Jesus will have come again; we will be praising God our LORD in Heaven.
Wengine watakuwa wakivinjari na mabikira 100 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hawa Ni vichaaa wao wajadili ushoga tu maaana ndo waupendao

Ndo waliokupa simu, internet, Ndege na kila kitu unachotumia. Wewe umegundua nini?

Kuleta mambo ya ushoga kwenye mada isiyohusiana inaonyesha unawaza ushoga muda wote hence wewe pia ni shoga.
 
Back
Top Bottom