afrika

  1. Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika

    Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika
  2. Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika

    Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki kuonyesha bidhaa zao,kujitangaza na kukuza soko la...
  3. Kuelekea Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Waziri Bashe aelezea msimamo wa Serikali kuhusu GMO

    Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam ukishirikisha Wadau mbalimbali wa Kilimo, leo Jumapili Septemba 3, 2023. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na...
  4. B

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Mkutano na Wahariri kuhusu Mkutano mkubwa wa Mifumo ya Chakula Afrika

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus leo Jumapili Septemba 03, 2023 kuanzia Saa 4 asubuhi hii anakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari ili kuzungumzia Mkutano mkubwa wa Kimataifa unaohusu mifumo ya chakula Afrika, mkutano unaoanza keshokutwa Jumanne Septemba 05, 2023 katika...
  5. Rais Samia: Mfumo wa Posta ubadilike kuendana na Mahitaji ya sasa ya soko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Arusha, leo Septemba 2, 2023. https://www.youtube.com/live/MSIbItMgQvo?si=ogAiZuUyEEvUzqqK === Rais Samia amesema huu ni mradi wa ubia uliogharamiwa na...
  6. Watanzania 5 waripotiwa kufariki kwenye ajali ya Moto Afrika Kusini

    Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini. Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
  7. Bunge la Tanzania laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
  8. Kikwete: Mkutano wa Taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) utafanyika Afrika kwa mara ya kwanza

    Rais Mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema anajivunia kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza bodi ya wakurugenzi ya taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), ambalo liilianzishwa miaka 20 iliyopita. Kikwete ambaye ameanza kuongoza bodi hiyo mwaka 2021 amesema baada ya kumaliza muda wake...
  9. L

    China na Afrika zajenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika nyanja za amani na usalama

    Kongamano la tatu la Amani na Usalama kati ya China na Afrika lenye kauli mbiu ya “Utekelezaji wa Mpango wa Usalama wa Kimataifa, Kuimarisha Mshikamano na Ushirikiano kati ya China na Afrika” linafanyika mjini Beijng, na kuhudhuriwa na zaidi ya wajumbe 100 wakiwemo viongozi wa majeshi ya nchi za...
  10. Ni kweli Gadafi alikuwa ni Mwanamajumui wa Afrika (PanAfricanist) au anakuzwa tu?

    Mbali ya kuandika kitabu chake cha "kitabu cha kijani" na kuelezea falsafa yake kuhusu uongozi, Nini kingine Muamar Gaddafi alifanya kuonesha kuwa na ndoto ya Afrika iwe moja? Jambo gani kubwa lenye ushahidi linaloweza kuonesha kuwa Gaddafi alikuwa ni Mwanamajumui (PanAfrcanist) wa Afrika??
  11. Historia za mageuzi magumu Afrika

    Bara la Afrika limepitia vipindi vigumu mbali mbali vya mageuzi ya kisiasa na kiutawala toka chini ya ukoloni wa mataifa ya nje na ukoloni wa ndani. Hivi vifuatavyo ndivyo vipindi maarufu zaidi vya mageuzi ya kisiasa na kiutawala vilivyo tokea na vinavyo tokea Afrika mpaka sasa:- 1. Harakati...
  12. L

    China ni nguvu chanya kwa amani na usalama barani Afrika

    Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama Duniani" la China, na pia ni ushahidi mwingine kwa China kuchangia amani na usalama barani Afrika...
  13. Kwanini Afrika tunashadadia Mapinduzi ya Kijeshi?

    Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon. Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi. Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya...
  14. AFRIKA NJAA INATUMALIZA?ULAFI UNATUDUMAZA!TUZINDUKE.

    Salaam kwenu Njaa hutafuna chango ila athari yake hudumaza fikra na ukomavu wa akili usipokuwa makini unaweza ukauza utu wako sababu ya 'sent 5' . Mamlaka za utendaji zimekaliwa na 'walala hoi' fikra zao ni umimi na familia yake na hatujui kabisa dunia ni duara tunapofanya maamuzi...
  15. Afrika Tuamke -Remmy Ongala

    Remmy Ongala Wimbo Wema👇👇 https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini kabisa adui wa Afrika ni waafrika wenyewe. Nakulilia Afrika
  16. Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

    Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara. Huwa naumia sana nikiona kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni. Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina...
  17. L

    China yaahidi kufuatana na Afrika katika juhudi za kutimiza mambo ya kisasa

    Kwenye Mazungumzo ya Wakuu wa China na Afrika yaliyofanyika tarehe 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini, rais Xi Jinping wa China alisisitiza kuwa ni watu wa Afrika ambao wana haki ya kuamua ni mtindo gani unaofaa Afrika kutimiza maendeleo ya kisasa……China inaunga mkono kithabiti na kuwa tayari...
  18. Kuuawa kwa Prigozhin na Imani ya Afrika kwa Putin na Washiriki Wake

    (1) Prigozhin alikuwa rafiki mkubwa wa Putin tokea utotoni mwao huko St Petersberg na kuna wakati Putin alikuwa anatayarishiwa chakula na mgahawa wa Prigozhin tu; na mara zote Prigozhin mwenyewe ndiye aliyekuwa aneanda kutoa huduma hiyo ya chakula kwa Putin. (2) Mwanzoni mwa mwaka 2022, shirika...
  19. Jaji Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki

    Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki Alhamisi, Agosti 24, 2023 Jaji Omar Othman Makungu wa Mahakama ya Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa EAC baada ya hafla ya kuapishwa...
  20. L

    China na Afrika zimekuwa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja

    Wakati mkutano wa 15 wa viongozi wa BRICS unaendelea mjini Johannesburg, Rais Xi Jinping wa China na mwenzake Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini leo wataongoza mazungumzo ya viongozi wa China na nchi za Afrika, na kuwa pamoja na wakuu wa nchi za Afrika waliohudhuria mkutano huo kujadiliana kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…