afrika

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania CCM Yatoa pongezi kwa Mkurugenzi Mteule wa WHO kanda ya Afrika Dr. Yakub Janabi

    CCM Inamtakia mafanikio mema katika majukumu yake mapya.
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bifu na malawi,south afrika na leo kenya ila ndio rekodi ya kwanza kwa raisi wa chama tawala.Na idd amin alifanya haya haya

    Katika mtu anayeongozwa kusemwa sana kwa utawala wake ni raisi samia hapa JF.Sio kusemwa kwa mazuri ni mabaya mengi ambayo wananchi wake wameshamchoka. Sema watanzania wanakatabia kama cha tenge tenge kuacha mambo. Sada haya mabifu ambayo kila kukicha tunatengeneza nchi za watu. Unaficha nini...
  3. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Cheti chatumika kupata mkopo wa kausha damu?, Kalooism inauliza,na ni lini Afrika tutakamata pindo kama Rose Mhando?

    Wanajamvi! Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka! Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender! Je wadau ni Lini sasa niijue wazi hiyo secret Agenda(6634) kwa mashahidi zaidi ya watatu wakirio kwa chapa ya nyakati mpya ya siku ya...
  4. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Hongera Prof. Mohammed Janabi, Mkurugenzi WHO Afrika

    Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika matumaini makubwa. Nafasi aliyoipata Prof. Janabi ni ushindi wetu watanzania kama Taifa. Katika hili...
  5. meningitis

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na watanzania. =============== Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

    Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kikao Maalum cha Pili cha Kamati ya Kanda ya WHO kwa Afrika. Prof Janabi anamwaga sera

    https://www.youtube.com/live/vVff21KwD50?si=4cn52B2JbabvDOdb The second special session of the WHO Regional Committee for Africa will be held in a virtual format on 18 May 2025 under Special procedures for the conduct of the virtual special session of the Regional Committee for Africa. The...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Jenista Mhagama Akimfanyia Sala na Maombi Mazito Profesa Janabi Muda mfupi kabla ya kuingia katika Uchaguzi Wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Taifa letu siku zote limekuwa la Kumtanguliza,kumtegemea na kumtumainia Mwenyezi Mungu kwa kila kitu. Ni Taifa ambalo limekuwa likijiweka mikononi mwake Mungu kwa kila jambo. Limekuwa ni Taifa la kujinyenyekeza na kuutafuta uso wake Mungu wakati wote,limekuwa ni Taifa...
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina la Afrika utokana na jina. ALKEBU-LAN

    Hatupaswi kuendelea kuita bara letu AFRICA na kuanza kuita jina lake halisi la ALKEBU-LAN, kama jinsi ma babu zetu walivyo kua wakiliita hapo awali, ALKEBU-LAN lenye maana ya "ASILI YA UHAI DUNIANI" Jina la Africa halina maana yoyote wala hali akisi jambk lolote kutoka kwenye lugha zetu za...
  11. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu kwanini Simba SC wamefungwa na Berkane na hawatachukua Ubingwa Afrika

    Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama! Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko hivi. Tanzania kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana cha Udikteta Uchwara. Watz kwa sasa wanatekwa...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

    Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya. Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) tangu Mwaka 2000

    Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Tangu Mwaka 2000 2025: Simba / Berkane ? 2024: Zamalek SC (Misri) 2023: USM Alger (Algeria) 2022: Berkane (Morocco) 2021: Raja Club Athletic (Morocco) 2020: Berkane (Morocco) 2019: Zamalek SC (Misri) 2018: Raja Club Athletic (Morocco) 2017: TP...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Demokrasia imeshindwa Afrika kwa sasa mapinduzi ndiyo suluhisho

    Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo. Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Trump Waarabu wanamcheza kama wazungu wanavyowacheza viongozi wa Afrika

    Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika kuimarika kutokana na athari ya ushuru uliowekwa na Marekani

    Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tarehe 15.5 iwe siku ya kuadhimisha MILA na DESTURI kwa nchi za Afrika!!

    Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni. Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa nchi zetu. Urithi uliorithiwa kutoka kwa mababu zetu ni ngome yetu. Natumai kwamba kupitia sherehe...
  18. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Afrika inahitaji umoja

    Habari wakuu! Kama kichwa cha uzi kilivyojibainisha ukweli ni kuwa Afrika bado haina Umoja. Sote tunajua wanaharakati kama Kwame Nkurumah walihubiri kuhusu hili ila bado juhudi zao hazikuzaa matunda stahiki. Nasema hivi kwakuwa mataifa ya Afrika yamekuwa hayategemeani. Leo hii nchi ya Afrika...
  19. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa/Wingi wa vijana Afrika fursa au mzigo?

    Afrika ni bara lenye vijana wengi zaidi duniani, huku zaidi ya 60% ya watu wake wakiwa chini ya miaka 25 (UN, 2023). Naija inaongoza, 56.9% ya watu wake wana umri chini ya miaka 18, ikifuatiwa na Uganda yenye 55% (UNICEF, 2024). Swali ni: Je, idadi hii ya vijana ni fursa au mzigo? Changamoto...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
Back
Top Bottom