afrika

  1. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa/Wingi wa vijana Afrika fursa au mzigo?

    Afrika ni bara lenye vijana wengi zaidi duniani, huku zaidi ya 60% ya watu wake wakiwa chini ya miaka 25 (UN, 2023). Naija inaongoza, 56.9% ya watu wake wana umri chini ya miaka 18, ikifuatiwa na Uganda yenye 55% (UNICEF, 2024). Swali ni: Je, idadi hii ya vijana ni fursa au mzigo? Changamoto...
  2. Mr Why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa sababu za kiroho kwanini Afrika itakuwa mkia tu mpaka mwisho wa Dunia

    Hello! Afrika imelaaniwa na inazidi kulaaniwa ndio maana iko nyuma ya mabara yote. Afrika ikisogea km 2 mbele mabara mengine yatakuwa yamesogea km 100 mbele. Kuna vumbuzi zimefanywa miaka 100 iliyopita na Sasa wenzetu wameachana nazo kwamba ni mambo ya kizamani yasiyo kwenda na wakati lakini...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Marekani kuipuuza Afrika kunatoa msukumo wa ushirikiano na umoja zaidi

    Wakati Marekani ikiendelea na mashambulizi dhidi ya biashara huria duniani, Afrika iko ni mmoja wa wahanga. Na sasa Rais Donald Trump wa Marekani amefungua medani ya kidiplomasia tena ambapo serikali yake inalenga balozi mbalimbali duniani kwa kile alichokiita Donald Trump kuitikisa sera ya...
  6. Daby

    JamiiForums Tanzania Kundi la kwanza la makaburu wa Afrika Kusini limeanza safari ya kuelekea Marekani kama walivyoahidiwa na Donald Trump

    Vyanzo vya habari vya SA vimeonyesha kundi la kwanza la Makaburu wanaotarajia kuanza maisha yao mapya Marekani. Mtakumbuka miezi michache kumekuwepo na mvutano kati ya serikali ya Marekani na South Africa. Moja ya mivutano ni Trump kuilaumu serikali ya Afrika Kusini kuwanyanyasa Makaburu. Hii...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya makabila yaliyofanikiwa zaidi hapa Afrika yana utamaduni wa kurudi kwao kwa wingi kila mwisho wa mwaka,

    Wakati familia mbalimbali za jamii flani zinapokuwa kwenye misururu ya foleni ya kwenda vijijini kwao unajua sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, watu hao hutoka kila kona ya dunia kusherehekea mwisho wa mwaka kwa pamoja. Ni wakati wa kukutana na ndugu wapya, familia mpya, jamaa mliopotezana...
  8. C

    JamiiForums Tanzania CCM mmeingia kwenye history, mmetengeneza dikteta mwanamke wa kwanza Afrika

    Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa. Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa. Mpinzani wake wa chama kikuu cha...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso akithubutu tu kufanya Ziara nchi moja ya Kipuuzi Afrika Nitamdharau mazima, ila akienda Rwanda na Uganda nitampongeza sana

    Ataendaje katika hiyo nchi ambayo kwa sasa ina Wapumbavu, Wezi, Washamba, Washirikina na Wauwaji ni wengi sana?
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Afrika Kusini Zakubaliana Kushirikiana Kiuchumi

    Tanzania Afrika Kusini Zakubaliana Kushirikiana Kiuchumi Tanzania na Afrika Kusini zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kukuza Ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa Mkutano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Mbundi aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Is it Logical kwa Mtu ambaye hana hata a,b,c's za Journalism kujifanya Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani hasa Afrika?

    Yaani Mtu ana Elimu duni na alisomea Kozi dhaifu na kuwa Stenographer leo hii anadiriki Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) hivi hii ni Akili au Matope? Na kwanini hao hao Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) wanakubali kabisa Kufundwa na Mtu ambaye ni Mdhaifu mno Kielimu...
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

    Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa...
  14. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zinazotenda dhuluma haziwezi kuifikisha ligi yetu kuwa namba 4 kwa ubora Afrika, Yanga mjitafakari

    Ukiisoma barua barua ya Yanga baada ya CAS kutupilia mbali shauri lao kwa mtu aliyeenda shule atagundua barua ile imeandikwa kwa mihemuko na makasiriko which is not professional. Ni aibu kwa taasisi kubwa kama Yanga kushindwa tu kuelewa hawapaswi kuruka ngazi za kimaamuzi wakati hata form four...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Afrika ni Waafrika wenyewe

    Waafrika mara nyingi ndio TATIZO la Afrika. Jenerali Michael Langley ambaye ambaye ni Mwafrika aliyemshutumu Kapteni Ibrahim Traoré kwa kulinda dhahabu ya Burkina Faso kwa faida zake binafsi imekaribishwa kwa joto na serikali ya Ivory. Hii inaonyesha wazu jinsi viongozi wengi wa Kiafrika...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kudharau dini za Asili za Afrika ndiyo chanzo cha vifo kwa viongozi Bora wa Afrika

    Nkuruma,Lumumba,Magufuli,Sankara,Gadafi,Machel,Biko,Malangu,nk wamekufa kwa kuamini kuwa Mungu wa warabu na wazungu anawalinda. Kiukweli wazungu na warabu waliwapotosha Mababu na Mabibi zetu kwa kuwaaminisha kuwa Mungu wao wa Kikristo na Kiislam ananguvu zaidi ya Mungu wao wa Asili wa Afrika...
  17. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Rwanda kupokea wahamiaji kutoka Marekani (kwa Trump) si tishio kwa usalama wa Afrika Mashariki?

    Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani. Kauli hii imezua maoni mseto nchini Rwanda na hata kwa africa mashariki watu wenye historia ya...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nakerwa sana na wanaomuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika

    Salam kwenu Wajenga nchi na Wabomoa Nchi, wajinga kwa wenye hekima.Nchi hii ni yetu sote, tuvumiliane. Nakerwa sana na tabia iliyoibuka ya kumuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika. Huo ni utumwa wa kifikra,na ni jitihada za makusudi kuidogosha Afrika na Mashujaa wake.Kwanini Che...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa na Kamisheni ya Afrika ya haki za binadamu kwa kukuza na kulinda haki za kiraia

    Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za Kiraia, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni na Kijamii. Hayo yamewekwa bayana na Mwenyekiti wa Kamisheni...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ndege mwenye tabia ya viongozi wa Afrika

    Ebwana huyu ndege anatambulika kama hamerkop, ni ndege katika familia ya kunguru au korongo au wote au kwa kifupi ni wa kipekee. Ni ndege anayejenga kiota cha ukubwa wa Toyota Probox au Noah. Kisha huendelea kukusanya kila kitu na kukitia humo ilihali havimsaidii 😁 Yani unaweza kufumua kiota...
Back
Top Bottom