afrika

  1. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

    Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!! Can you believe that fellow Africans? MACRON: 🗣️ “If we leave African...
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Yashtua Afrika sasa kuisubiri Pyramids au Sundowns!"

    Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉 Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa. Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo — hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na...
  3. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Historia ya Rais Ibrahim Traoré na Jinsi Anavyopendwa na Vijana Wengi wa Afrika.

    Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni mwa sura zinazong'aa zaidi ni Kapteni Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso. Kupitia uongozi wake wa...
  4. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Maziko "Simple" ya Papa Francis ni funzo kwa Watawala wa Afrika!

    1. Poleni Wakatoliki kwa kumpoteza Baba Mtakatifu. 2. Maziko haya simple wanatoa funzo kwa Watawala Miungu Watu wanaodhani wataishi milele na kupigiwa saluti. Kumbe siku unazima ulinzi na wapambe vinapotea hapo hapo 3. Tukanyage hii ardhi kwa adabu Ndugu zangu. Hapa tunapita Tu...
  5. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Afrika na mapokeo ya imani bado haijazoea nuru kamili ndani ya damu yake kuna kivuli cha kale

    Usiku mwingine, kimtazamo wa kiroho huwa haifai kuangaliwa moja kwa moja. Ukishika udongo unahisi joto la wafu wa kale. Ukikalia jiwe la porini, linaloonekana zuri jioni, usiku linakuwa ni mgongo wa kiumbe kisicho na jina, kinacholia kama mtoto aliyezaliwa tumboni mwa ndoto. ardhi ya udongo...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ukristo ulivyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya Afrika?

    Kwa hivyo hii ina uhusiano gani na Ukristo barani Afrika? Wamishonari wa kwanza wa Kikristo barani Afrika walikuwa na silaha na vitu vitatu BUNDUKI yenye nguvu ya mabwana wa wakoloni ,muujiza wa DAWA za kisasa (wakati huo) na BIBLIA. Wamishonari wengi wa kwanza walikuja kama madaktari na...
  7. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kama Zilivyo nchi nyingi za Afrika, tunapitia Ukoloni wa aina nyingi

    Tuliachana na ukoloni wa Chui tukakutana na ukoloni wa Mbwa mwitu tukaishia ukoloni wa Fisi, hatujajua tutishia ukoloni wa nani. https://www.youtube.com/shorts/F3LQYQ3XbE8
  8. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani Afrika wanavyopambana na kesi mahakamani

    Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akipambana na kesi zake mahakamani ikiwamo ya uhaini, wapo pia wanasiasa wa upinzani Afrika walioonja joto ya jiwe kwa serikali wanazozipinga na hata wengine kutupwa jela. Kesi ya Lissu imekuja wakati akiongoza kampeni ya No Reforms No Election (Hakuna...
  9. HORSE POWER

    JamiiForums Tanzania First lady anayejitambua barani Afrika

    Fisrt lady (Mke wa Rais) wa Siera Leone, Fatma Maada mwaka jana alipokuwa akifanyiwa mahojiano alielza mambo mbalimbali ikiwemo kueleza kuwa yeye kama mke wa Rais si sehemu ya serikali ila anazungumza kwa niaba ya watu. Pamoja na hayo alieleza ni kwa namna gani Africa inaweza kujikomboa
  10. lugoda12

    JamiiForums Tanzania SIASA ZA AFRIKA NA MAREKANI

    Jamaa huyu ni Michael Langley kama kamanda mweusi wa Amerika kwa Afrikom. Wakati wa Imperialists White wanataka kuondoa viongozi wa Kiafrika hutumia uso mweusi. Mtu huyu anataka Ibrahim Traore, kiongozi mkubwa wa Afrika aliuawa. Wacha tumfunue mwongo huyu mweusi wa Amerika.
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Papa kutokea Afrika bado sana. Yasijetokea kama pale UN iliposhikwa na Koffi Anan

    Kanisa katoliki tangu hapo limekumbwa na kashfa kubwa sana ndani ya uongozi wake wa juu na ndani ya makao yake makuu.Hata mapapa wawili waliotangulia wametajwa kuhusika kuyapa kipaumbele baadhi ya mambo ambayo waumini wameyaona ni kinyume na mafundisho ya kanisa. Hata hivyo mapapa hao kuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu CHADEMA juu ya madiliko haya kwa taifa la Marekani juu ya Afrika hata viongozi wa dini hawatasaidia zaidi ya kuweka tu

    Siasa Trump afikiria kupunguza balozi za Marekani barani Afrika Saleh Mwanamilongo Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa mwelekeo wake wa kidiplomasia barani Afrika na pia kufuta ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje zinazoshughulikia mabadiliko ya hali ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Simba itaingia fainali ikiwa huko Afrika kusini

    Wala Sina mashaka na haya niliyoyaandika. Simba inaenda kufunzu kuingia fainali mbele ya Stellenbosch Tena akiwa kwao. Ndugu zangu Tuache kukalili kua kucheza nyumbani ndio kigezo Cha ushindi. Ukweli ni kwamba katika soka matokeo ni popote pale. Hivyo mechi ya marudiano Simba anaenda kumtoa...
  14. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hivi tokea afrika iumbwe kumeshawahi kutokea harusi kama hii? Dada zetu wa kitanzania mjitafakari

    Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz? Jux Kaenda Nigeria Alikiba alienda Kenya Benpol alienda Kenya Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi. Hii HARUSI imetikisa, kila siku...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Afrika kama Ulaya mwaka 2070

    Kabla ya haya mambo ya smartphone, vijana wa kipindi hicho wapenda mambo ya siasa na mambo ya dunia tulikuwa hatubanduki DW Swahili, BBC Swahili na VOA. Nakumbuka Jumamosi moja hivi miaka ya 2000-2005 (Nimesahau mwaka kamili, nakumbuka tu nilikuwa sekondari). Siku hiyo nilikuwa nasikiliza dira...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania WHO Afrika hawana wizi wa kura

    Tusiwe na wasiwasi WHO Wana utaratibu mzuri wa upigaji Kura. Hamna wizi au Kura Mchongo. Prof atashindwa kihalali
  17. B

    JamiiForums Tanzania Thabit kombo: Ireland waichagua tanzania kuwa makao makuu yake ya kibiashara barani Afrika

    14 Mach 2025 Dar es Salaam, Tanzania IRELAND WAICHAGUA TANZANIA KUWA MAKAO MAKUU YAKE YA KIBIASHARA BARANI AFRIKA - MHE. THABIT KOMBO https://m.youtube.com/watch?v=01B057JdTR0 Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 3-Kifaru.

    KIFARU KIFARU ni mnyama aliye mkubwa sana na mnene kabisa. Ingawa watu husema kwamba makao yake ni Afrika, wako wengine wa jamii yake Bara Hindi na Java na Sumatra; tena ziko alama za vifaru wa kale karibu kila upande wa Asia. Haya yanaonyesha kwamba zamani vifaru walikuwa wanakaa mahali...
  19. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi

    Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. ==== Salaam Ndugu zangu Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 2-Chui.

    CHUI KATIKA wanyama wote wanaomshabihi paka hapa Afrika hakuna aliye mkubwa kuliko chui ila simba tu. Urefu wake, chui, toka pua yake mpaka ncha ya mkia wake wapata futi saba na uzito wake ni kama ratili mia na hamsini. Anajulikana kwa ajili ya uzuri wa ngozi yake yenye madoa meusi. Madoa...
Back
Top Bottom