afrika

  1. Mjue Ibrahim Abdalla Akasha: Pablo Escobar wa Afrika Mashariki

    Mtu Aliyetawala Biashara ya Dawa za Kulevya... Alilelewa huko Mombasa na wazazi wa kiPakistani, akianza kama mjasiriamali halali, akiendesha kampuni ya usafirishaji Akasha Transporters, ikiingiza mizigo ndani na nje ya Kenya kupitia bandari ya Mombasa. Je, umewahi kufikiria jinsi Bandari ya...
  2. Nilipotazama Documentary ya Kutisha Kuhusu Afrika, Nilianza Kujiuliza Maswali Mazito

    Usiku wa jana, nikiwa nimechoka baada ya siku ndefu, nilijikuta nikichagua video ya YouTube isiyotarajiwa. Ilikuwa ni documentary ya mazungumzo kati ya vijana wawili—moja wao akiwa kijana mwenye IQ ya zaidi ya 160, mwerevu sana. Maongezi yao yalihusu hatima ya ustaarabu wa dunia... na Afrika...
  3. L

    China ikiwa imebobea kwenye teknolojia ya uzalishaji yatoa mafunzo ya “Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu” kwa viongozi wa Afrika

    Maafisa 30 wa kilimo na wataalam wa kiufundi kutoka Nigeria, Ethiopia, Kenya, Misri, Gambia, na Cameroon hivi karibuni wamekamilisha "Semina ya Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu kwa Nchi za Afrika mwaka 2025 ". Semina hiyo iliyoendelea kwa siku tano ambayo inahusu mafunzo ya teknolojia ya mpunga wa...
  4. Kama Ningekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu chochote Tanzania kingeingia kwenye top 5 ya vyuo bora Afrika ndani ya mwaka mmoja tu

    Kama ningekuwa mkuu wa chuo kikuu chochote nchini Tanzania, chuo hicho kingeingia kwenye orodha ya Vyuo vitano (5) Bora Barani Afrika ndani ya muda mfupi sana. Nini ningefanya? Ningehakikisha kuwa chuo kinajikita katika tafiti zenye tija na zenye kutoa mchango halisi kwa jamii, taifa, na dunia...
  5. CHADEMA inachopitia CCM ndicho Afrika inapitia Urusi. Kudogosha..

    Bara la Afrika ni kubwa kuliko Urusi. Lakini kwenye Ramani inaonekana Urusi ni kubwa kuliko Bara la Afrika. Huku ni kudogosha kwa manufaa ya Wazungu. Kwa upande wa Tanzania, CHADEMA ina wanachama wengi kuliko CCM, lakini CCM wanadai wana Wanachama wengi kuliko CHADEMA. Twende Taratibu. Pamoja...
  6. Majina ya Timu za Taifa Afrika

    Nimepitia majina ya timu za taifa kwa mataifa yote ya Afrika nikahisi kuwa Tanzania, Ghana na Kenya inabidi tubadilishe majina yatu; neno "stars" linakuwa monontonous. Somalia na South Sudan wamelitumia pia lakini kwao wamelitumia taifauti na sis. Hebu angalia halafu utoe maoni yako. Algeria -...
  7. Adui wa bara la Afrika

    "Adui mpya wa Afrika si njaa, si vita, wala si ukoloni wa kiuchumi, bali ni kizazi cha vijana waliopata elimu kwenye memes, na hekima kwenye comments za Instagram! Hoja kwao ni mzigo, matusi ni talanta. Wakiona mjadala wanadhani ni fainali ya kurushiana maneno. Ujuaji wao mwingi kama mkia wa...
  8. Video: Afrika inahitaji Rais kama huyu

  9. B

    Full Time: Tanzania 0 -0 South Afrika, mechi ya kirafiki kimataifa

    06 June 2025 Peter Mokaba Stadium Pietersburg (Polokwane) South Africa Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' kinatarajiwa kuingia uwanjani leo kuvaana na Afrika Kusini 'Bafanabafana' kwenye uwanja wa Mokaba stadium. Mchezo upo dakika 60 bado milango ni migumu kwa timu zote...
  10. Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  11. K

    Simba inajiita ya mafanikio Afrika mbona humu haimo?

    2025: Pyramids FC 2024: Al Ahly 2023: Al Ahly 2022: Wydad Casablanca 2021: Al Ahly 2020: Al Ahly 2019: Esperance de Tunis 2018: Esperance de Tunis 2017: Wydad Casablanca 2016: Mamelodi Sundowns 2015: TP Mazembe 2014: ES Setif 2013: Al Ahly 2012: Al Ahly 2011: Esperance de Tunis...
  12. Ni kweli kuwa Afrika, Amerika, na Australia hakuna sehemu takatifu isipokuwa Asia na Ulaya au ni bangi na uzwazwa wa imani?

    Makka "al kahaba" iliyokuwa na vinyago kwa mamia Yerusalemu mji wa mwenda usiku Vatican pamoja na kashfa za ngono Ukitazama mabara yote, ni mabara mawili yenye kuwa na sehemu 'takatifu' isipokuwa Asia na Ulaya. Utasikia miji mitakatifu ya Makka na Madina (mji kwa kiarabu), Yerusalem, na hata...
  13. Mnaosema Afrika hatupo huru upande wa kiimani/ kidini,je mfumo wa Kisiasa tumeweza kubaki kuwa huru?

    Almost we depend on everything from White Hatujaweza kubaki au kuanzisha mifumo yetu katika nyanja zote Siyo kiimani tu hata kisiasa hatupo huru. We are pure socialism lakini imebakia nadharia na tupo kwenye utumwa Siasa za magharibi, Demokrasia za mchongo,uhuru usiyo wa mipaka leo ukienda...
  14. Mary Baine ateuliwa kuwa Katibu Mtendaji Mpya wa Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF)

    03 Juni 2025, Pretoria — Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Barani Afrika (ATAF) lina furaha kutangaza uteuzi wa Bi. Mary Baine kuwa Katibu Mtendaji wake mpya, kuanzia tarehe 1 Julai 2025. Bi. Baine anachukua nafasi ya Bw. Logan Wort, ambaye ametumikia kama Katibu Mtendaji wa ATAF tangu kuanzishwa...
  15. Nani wa kulikomboa bara la Afrika?

    Afrika buana! Hivi ni ugumu wa maisha au malezi magumu tuliyokuzwa nayo ndio umetufunga akili tusitambue jema? Bara hili pekee ndilo ambapo kiongozi anayeweka mbele maendeleo ya Taifa lake na kulinda maslahi ya wananchi wake huonekana adui, hupewa majina ya dikteta, mnywaji damu, mbaguzi, asiye...
  16. DOKEZO Uongozi wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, unatuvuruga baadhi ya Wanafunzi, wanadai tumelipa fedha “hewa”

    Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
  17. Nitaendelea kuamini hili kua wanawake wa Kiafrika bado hawastahili High position,Wapikwe vya kutosha kwa Miaka Zaid hata 20100 huko ndio waruhusiwe.

    Kuna siku niliandika uzi...nikasema yule Rais wa ile Nchi ni kielelezo kingine kikubwa kua Wanawake wa Afrika kwenye Mwaswala ya Uongozi bado. Mods mkaula kichwa ule uzi sijui kwa sababu nilimtaja kabisa. Ila leo simtaji ila nahisi mshaelewa kama mtu ananibishia ataje kuna baadhi ya Nchi hapa...
  18. Afrika haihitaji Demokrasia bali inahitaji Viongozi wenye Maono: Matajiri na Viongozi wa Nchi hii wawaze wanawarithisha Nchi ya aina gani watoto wao

    Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi linaonekana dhahiri tunapoyaangalia mataifa ya Afrika kwa macho ya ukweli usiofungwa na siasa wala hisia...
  19. Day 3: JamiiAfrica inashiriki Mkutano wa 14 wa Afrika wa Utawala wa Mtandao (AfIGF2025) JNICC Mei 29-31, 2025

    Leo ni Siku ya Mwisho ya Mkutano wa Jukwaa la Utawala wa Intaneti Afrika (AfIGF) 2025, unaofanyika katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam. Kwa siku 3, wadau mbalimbali kutoka barani Afrika wamekutana kujadili mustakabali wa usimamizi wa intaneti kuanzia haki za kidijitali, usalama mtandaoni...
  20. Marekani na Ulaya ,iongeze Nguvu na Jitihida kuumaliza Ujamaa na Ushawishi wa wakomonisti Afrika ! Urusi, DPRK,Uchina kua Marafiki wa CCM ni HATARI !!

    Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!. Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…