afrika

  1. JamiiForums Tanzania Kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kufunika nchi zote Mashariki mwa Afrika

    Uchumi wa Tanzania unategemea kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu wakati ambapo nchi nyingine sita za Mashariki mwa Bara la Afrika zikitarajia kuporomoka kiuchumi kwa sababu ya athari za janga la corona. Kiwango hicho cha ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni zaidi ya nchi zote za Mashariki mwa Bara la...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta tovuti ya bei ya vyakula Tanzania na Afrika Mashariki

    Habari za leo wanajamvi, Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati. Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Haki za Binadamu na haki za watu wa Umoja wa Afrika (Mkataba wa Afrika)

    Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa kuzingatia misingi ya sheria. Tume ya Haki za Binadamu na Haki za Watu ya Umoja wa...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi 10 kati ya 54 za Afrika na 72.19% ya GDP, bado tuna safari ndefu

    Tumekuwa tukiaminishwa kuwa uchumi wa nchi za Afrika unaendelea kuwa imara; ukuaji halisi unaongezeka, ikiashiria uwepo wa sera madhubuti za uchumi jumla, maendeleo mazuri katika maboresho ya miundo (hususan katika uboreshaji wa miundombinu), na mifumo ya sera nzuri na madhubuti kiujumla...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natamani Dr. Mpango atuambie taifa limeokoa kiasi gani kwa Rais Magufuli na mawaziri kutosafiri nje ya bara la Afrika

    Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano. Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America. Tunakumbuka mikutano ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimo cha bangi ni fursa yenye hatari kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni serikali za nchi za Afrika Mashariki zimepata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya mihadarati na kupongezwa na jumuiya ya kimataifa. Kwa sasa upatikanaji wa dawa za kulevya kama vile Cocaine, Heroinna dawa nyingine kama hizo umepungua sana. Mwaka 2017 Lesotho...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ngoma ndio kama inaanza bandugu, Afrika Kusini wagonjwa 9,064 kwa siku

    Mliojichokea kwenye hii safari na kuacha watu wenu wajihangaikie wenyewe huko kwenye mitaa ya mabanda mnatakiwa mfahamu hiki kitu kinazidi kuwa hatari, Afrika Kusini namba zinapandisha balaa, karibu elfu kumi kwa siku. ===== South Africa has announced another record daily number of confirmed...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu ya umaskini Afrika sasa ni dhahiri

    Naomba kutumia mifano ya vijana wawili; Esau na Yakobo Esau alikuwa mwindaji na Yakobo alipenda kukaa nyumbani (mfugaji, mkulima) • Esau anategemea kuamka asubuh kwenda kutafuta chakula(kuwinda), bila kutoka siku hiyo anashinda na njaa. Tatizo lake sio kwamba ni mvivu, hapana tatizo lake ni...
  9. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwl. Samson Kibaso, mtunzi wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Afariki Dunia

    Ni nani mtunzi wa wimbo wa EAC? PICHANI: Mwl. Samson Kibaso enzi za uhai wake. Kuanzia 1999 hadi 2010 EAC ilikua ikitafuta wimbo rasmi wa Jumuiya hiyo. Aliyekua Katibu mkuu, Balozi Juma Mwapachu alikiita kipindi hicho "a decade-long search for a song that East Africans would call their own"...
  10. JamiiForums Tanzania Mataifa 11 barani Ulaya yafanya makubaliano ya kufungua mipaka yao kwa ajili ya kuanza kupokea watalii

    Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana mengine huwa mnajitakia Wenyewe kwa Tamaa zenu za Kupenda Kuwakurupukia Mahawara za Wakubwa Barani Afrika na Kuwatongoza hovyo!

    Wewe kila mahala ilikuwa inaimbwa tu kuwa Miss Werasaki a.k.a Tidoki Njoo Uketi ni Chakula Kubwa kabisa ya Kimahaba ya Mkemia aliyefuzu Ukemia wake Mlimani Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na Kuipata Doctorate yake huko nchini Ujerumani halafu na Wewe kwa Tamaa zako za Nyege zako Mshindo...
  12. JamiiForums Tanzania Na je, wale Wanasiasa ( Viongozi ) Wakubwa tu Afrika na Duniani wenye Kashfa za Kutembea na Wake za Watu hadi Kuzaa nao kabisa Watashtakiwa na nani?

    “ Nina shida na mteule wangu hapa, DAS,zipo tuhuma kuwa anachukua wake za watu, nimemuonya huko nyuma nafikiri hakunisikia, Mhe.Jaffo ebu kamwambie waziri Mhe.Mkuchika sasa huyu kazi ya U DAS nimeitengua leo,mtafutieni kazi ya chini na asifanye hapa ”Rais Dkt.Magufuli. Chanzo: ITV Tanzania...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi nchini Marekani na matumizi ya nguvu ya polisi dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika

    George Floyd Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao. Kifo hichopia kimeibua maswali mengi kwa watu wa ngazimbalimbali, kuangalia kwa makini maisha yao...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki na unafiki wa kuienzi lugha ya Kiswahili

    Kwa muda mrefu kumekua na makelele mengi ya kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki. Bila shaka Tanzania inaongoza katika hizo harakati. Pamoja na makelele hayo, jitihada zinazofanyika ni ndogo kulinganisha na kile kinachopaswa kufanyika. Tuanzie Tanzania. Lugha yetu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Taasisi za fedha za kimataifa zaombwa kuzifutia Madeni nchi za Afrika kupambana na athari zilizotokana na janga la COVID19

    Serikali ya Tanzania imeendelea kuziomba taasisi za fedha za kimataifa pamoja na nchi za Jumuiya ya Madola kufikiria kufuta kabisa madeni yaliyokopeshwa kwa nchi zinazoendelea ili fedha hizo ziweze kutumika kupambana na athari zilizotokana na Covid - 19. Ombi hilo limetolewa na Waziri wa Mambo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika imeepukana na utabiri mbaya sana juu ya COVID-19?

    Miezi miwili iliyopita wakati ugonjwa wa Covid-19 uliposhika kasi nchini China na baadaye Ulaya na Marekani, wataalamu wa magonjwa walijaribu kutabiri mahali gani kwengine COVID-19 itaangamiza zaidi Wengi walifikiri Afrika itakuwa eneo linalofuata kuwa na hatari kubwa, lakini baada ya kufika...
  17. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa COVID-19 uwe somo kwa nchi za Afrika kuboresha Mifumo ya Afya na Miundombinu ya Afya

    Hali ya mifumo ya afya katika nchi nyingi za Afrika limekuwa ni suala lenye msukosuko mkubwa. Miundombinu ya afya katika nchi nyingi za Afrika haitoshelezi mahitaji ya raia na kuepeleka vifo ambavyo vinaweza kuzuiliwa Ujio wa ugonjwa wa Covid-19 umepelekea viongozi wengi wa Afrika wataharuki...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kuanza majaribio ya chanjo ya Corona

    Afrika kusini imeanzisha majaribio ya kwanza ya chanjo ya virusi vya corona barani Afrika wiki hii, chuo kikuu kinachoongoza hatua hiyo kimesema leo, wakati nchi hiyo ikikabiliana na idadi ya juu ya kesi za maambukizi barani Afrika. Chanjo, iliyotengenezwa na taasisi ya Oxford Jenner, tayari...
  19. JamiiForums Tanzania Mshauri wa ngazi ya juu wa UM apendekeza Afrika kujiendeleza katika ujenzi wa teknolojia

    Mshauri wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa Bi Jacquline Musiitwa amesema, maambukizi ya virusi vya Corona yameathiri vibaya uchumi na biashara za Afrika, huku thamani za sarafu za nchi nyingi za Afrika zikishuhudiwa kuporomoka zaidi. Amezihimiza nchi za Afrika kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Kenya italeta manufaa gani kwa Afrika baada ya kujipatia kiti katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?

    Kenya imepata kiti muhimu cha uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kuishinda Djibouti katika awamu ya pili ya kupiga kura Alhamisi. Hii inamaanisha kuwa kuanzia Januari 2021, Kenya itarejesha uwepo wake utakaodumu kwa miaka miwili katika asasi hiyo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…