Hii ngoma ndio kama inaanza bandugu, Afrika Kusini wagonjwa 9,064 kwa siku

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Mliojichokea kwenye hii safari na kuacha watu wenu wajihangaikie wenyewe huko kwenye mitaa ya mabanda mnatakiwa mfahamu hiki kitu kinazidi kuwa hatari, Afrika Kusini namba zinapandisha balaa, karibu elfu kumi kwa siku.

=====

South Africa has announced another record daily number of confirmed coronavirus cases with 9,064, as Africa’s most developed country shows signs of strain in coping with the pandemic.

Thirty percent of South Africa’s more than 177,000 cases are now in Gauteng province, which contains Johannesburg and the capital, Pretoria.

More than 2,900 people in the country have died. The African continent overall has more than 433,000 confirmed virus cases.

The World Health Organization’s emergencies chief says "we need to put up a fight now” during a peak in the current wave of the coronavirus pandemic - rather than focusing on when a second wave might come.

Dr. Michael Ryan said the world will be much better at fighting a second wave, if people can learn the lessons of fighting the first wave.

WHO officials emphasized mask-wearing, social distancing, and hygiene by individuals, along with contact-tracing and tracking of cases by health authorities as key strategies to fight the virus. They say governments and individuals should contour their policies and behavior based on the outbreak’s status in their countries.

Ryan said the world was experiencing a "second peak in the first wave” - a situation in which the virus hasn’t been suppressed enough to quell transmission to end the first one.

Source: South Africa reports record daily infections
 
Dawa ni kupima. Pima pima.

Yeah!! Maana bila kupima unawatia watu wenye mambo mengine kama kisukari kwenye hatari, na pia bila ufuatiliaji watu wanaishia kujifia ndani kwa ndani kimya kimya, sasa kwa taifa kubwa maskni lisilo na media inayojua kufuatilia, janga kama hili linafichika na kuumiza watu sana.
 
Yeah!! Maana bila kupima unawatia watu wenye mambo mengine kama kisukari kwenye hatari, na pia bila ufuatiliaji watu wanaishia kujifia ndani kwa ndani kimya kimya, sasa kwa taifa kubwa maskni lisilo na media inayojua kufuatilia, janga kama hili linafichika na kuumiza watu sana.

Hahahaha munaongea kama vile mna uhakika. Mzee lini utakiri Tz tumeweza kutoka kwenye ushenzi wa corona japo ipo?
 
MK254,

Niliwaambia wakenya huu mwaka huu lazima mtii. Sasa mnajifungia na korona inazidi kwenu nchi yenu inazidi kudidimia kuelekea lower income wakati sisi licha ya korona tunazidi kupaa
 
Back
Top Bottom