afrika

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ramani: Nchi za Afrika zinazosechiwa Google na nchi nyingine za Afrika

    Afrika Kusini wanasechi sana ishu za Zimbabwe Zimbabwe wanawasechi sana Afrika Kusini Congo wanawasechi sana Nigeria Tanzania na Uganda tunawafatilia mno majirani zetu Kenya Burundi wanawasech sana Rwanda
  2. JamiiForums Tanzania Japan wafanya onyesha la gari linalopaa angani - vipi Afrika tunajifunza nini kwa wenzetu

    @mod nilikusudia kutumia neno "onyesho" Licha ya Japan kukumbuwa na majanga ya kila aina, ila wao huko kwao hufanya mambo ya kiajabu sana yanayohitaji ubongo, Waafrika huku tuna kila kitu ila bado huwa tumechelewa balaa... The SD-03 flying car A Japanese company has announced the...
  3. JamiiForums Tanzania Fireboy DML, Mfalme mpya wa muziki Afrika

    Muziki wa Nigeria una ushindani mkubwa sana, vijana kama Omah Lay, Joe Boy na Fireboy DML wanafanya kazi nzuri sana. Lakini mtu ambaye amebahatika kuteka hisia zangu zaidi ni huyu Fireboy DML, huyu jamaa anatisha sana. Nimebahatika kusikiliza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la APPOLO...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

    Mabadiliko haya ya kiuchumi yakitazamwa na mabadiliko ya kihistoria na uongozi yanaweza kutuonyesha ni kitu gani kinaweza kusababisha uchumi kuimarika au kusambaratika.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 6 za mwanzo kutoka Afrika Raia wake kuruhusiwa kuingia China kuanzia Septemba

    Kiambatanisho hapo chini kinajieleza. Sijui ndugu zetu Kenya, Uganda na Rwanda watasemaje sasa. Maana wamekuwa wanatunanga sana sisi na Burundi, Burundi nao wamo. Picha iliyotolewa hapa ni kwamba kuiga western countries kwa kila kitu sio dili tena kwa sasa. Wale waliosema Tanzania itatengwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe hata Afrika Kusini nao pia wana 'Wasomi Mapopoma' tu kama wanaopatikana kwa Wingi Mitaa ile ya Twiga na Jangwani?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa nimeshangazwa kusikia kuwa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Klabu Bingwa nchini Tanzania ya Simba Sports Club Senzo Mbatha Mazingisa ameenda kuwa Mshauri Elekezi wa Mchakato wa kuelekea katika Mabadiliko ndani ya Klabu ya 'hovyo hovyo' duniani ya...
  7. JamiiForums Tanzania IGP Sirro, kamata kwanza waliompiga Lissu risasi, amani ndio itakuja

    Sirro unahangaika sana kuongea na VIONGOZi wa dini juu ya amani yetu baada au wakati wa Uchaguzi. Wewe ni mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. Nakuomba kwanza ili uaminike kamata kwanza waliomshambulia Lissu. Muulize Lissu akutajie prime suspect nahisi atakua anawajua ndipo makachero wako wanze...
  8. JamiiForums Tanzania Binadamu mwenye Umri mkubwa zaidi afariki akiwa na miaka 116 nchini Afrika ya Kusini

    Fredie Blom's identity documents showed he was born in Eastern Cape province in May 1904, although that was never verified by Guinness World Records. When he was teenager, his entire family was wiped out by the 1918 Spanish flu pandemic. He went on to survive two world wars and apartheid. Mr...
  9. JamiiForums Tanzania Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

    Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania? Kuwa mtoto wa nyota wa sinema wa kimataifa kama Jackie Chan ni dhahiri kwamba huja na marupurupu mengi na faida. Mtoto wa Jackie Chan, aliyekuwa na umri wa miaka 33 kwa wakati ule anayeitwa Jaycee, aliishi maisha yaliyojaa...
  10. JamiiForums Tanzania WHO wazitaka nchi za Afrika kufungua shule

    Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya virusi vya corona. Mashirika hayo yamesema kuendelea kufunga shule kwa muda mrefu kunahatarisha ustawi...
  11. JamiiForums Tanzania Kama jibu hili la kipuuzi alilolitoa Rais Chakwera wa Malawi ndizo akili za Wapinzani wengi Barani Afrika, ni bora Vyama Vikongwe vitutawale milele

    Ndiyo maana sijutii na kamwe sitokuja Kujutia kuwa mwana CCM Chama ambacho ni 'Kikongwe' kabisa nchini Tanzania kutokana na kwamba Wapinzani wengi Barani Afrika nimegundua japo wakiwa hawajapata Madaraka na Kushika 'Dola' huwa wanatuaminisha Watu tuliochoka na 'Mifumo' Kandamizi iliyopo na...
  12. JamiiForums Tanzania Utendaji wa Rais Magufuli angevishwa Kikwete angekuwa Rais mzuri mno kuwahi kutokea Afrika

    Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana. Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake. Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa usambazaji wa Umeme Vijijini Barani Afrika

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80. Mhe. Majaliwa aliyasema hayo wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwenye mkutano wa...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana tuijenge Afrika yetu

    Habari Wakuu, Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa MUNGU muweza wa yote kwa kuwa hapa muda huu na kushare na nyinyi mawazo haya. Vijana wenzangu sisi ndio tupo wengi katika nchi zetu hususani Tanzania hivyo basi kama tukiamua kuchukua hatua yoyote ile ya kimaendeleo tunaweza kufanikiwa sana...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wakati tunajiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020: Tanzania yaongoza Afrika usambazaji umeme Vijijini

    Ndugu zangu, Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura. Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa "amekosea" kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusambaza umeme kiwango cha 80% kwa sababu sio kweli

    Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila...
  17. JamiiForums Tanzania Afrika kusini kulegeza masharti ya lockdown kuanzia Jumatatu

    South Africa's president has said coronavirus infections appear to have peaked in the country, as he announced a sweeping relaxation of lockdown measures. President Cyril Ramaphosa said nearly all restrictions on the country's economy will be eased from Monday. A controversial ban on the sale...
  18. JamiiForums Tanzania Kichapo cha 'Shalubela' ilichokipata FC Barcelona kutoka kwa Bayern Munich kina Majibu tosha kwa 'Wanasiasa' wababe wa Afrika!

    Kipigo hicho kimetoa majibu yafuatayo kuwa... 1. Usimdharau Mpinzani wako 2. Usijiamini sana 3. Utajiri wako si mali kitu 4. Ubabe wako unaweza kukutokea puani 5. Unaweza ukawa na kila Kitu ila Mungu anaweza Kukukataa tu 6. Hakuna marefu yasiyo na Ncha 7. Upepo wako wa Kiumaarufu unaweza...
  19. JamiiForums Tanzania CCM bora ya muda wote kwangu ni ile iliyoongoza mapambano Kusini mwa Afrika na ile iliyomchapa Nduli, hizi CCM nyingine sijawahi kuzielewa

    Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu. 1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini. 2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda. CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania: Meet the Only Electricity Power Train In East Afrika

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania pekee ndiyo yenye treni ya aina ya SGR inayoendeshwa kwa umeme. Wengine wanayo, lakini inaendeshwa kwa makaa ya mawe. Kwa maelezo zaidi ona video hapo chini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…