afrika

  1. JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta la Afrika Mashariki: Diplomasia ya uchumi ya urithi wa Hayati Magufuli na mapato ya Tsh 76.32bn kwa mwaka

    BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa mtandao wa 5G Afrika ni ishara ya uongozi wa China duniani kwenye enzi mpya

    Mwaka 2015, China ilitangaza kuwa itaongeza maendeleo ya dijitali kuwa sehemu ya miradi ya Ukanda Mmoja na njia moja. Hii ni njia moja ya kutosheleza mahitaji yanayoongezeka ya mtandao wa kasi ambao unategemewa na mamilioni ya biashara kila siku hasa kwenye nchi zinazoendelea. Tayari China...
  3. JamiiForums Tanzania Uganda: Rais Samia Suluhu ashiriki utiaji saini kati ya Serikali ya Uganda na Kampuni ya Mafuta ghafi ya Afrika Mashariki (EACOP)

    ======= Rais Samia Suluhu: Wote tunajua jinsi Rais Magufuli alivyounga mkono mradi huu hivyo kuahirisha zoezi hili ilikuwa katika heshima kutambua juhudi zake katika mradi huu. Mradi huu utatoa mapato kwa nchi zote, ajira za muda mfupi na kudumu na kujibu tatizo la ajira. Mradi huu utakuza...
  4. JamiiForums Tanzania Mila na utamaduni: Tanzania wanakozikwa watu wakiwa wameketi hadi Cameroon wanakopiga matiti pasi, angalia tamaduni za ajabu Afrika

    Muacha mila ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mila zinazoendelezwa Afrika ambazo ni nzuri na zinawafanya Waafrika kutambua urithi wao kitamaduni lakini nyingine ambazo zitakushangaza. Baadhi ya mila hizo zimetajwa kama dhalilishi au zinazokiuka haki za kimsingi za binadamu. Leo tunaangazia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni Rais gani kati ya hawa anafaa Kuongoza Afrika na Wananchi watampenda na atakumbukwa nao milele?

    Rais A Mkali Mbishi Mnafiki Mkusanyaji mzuri wa Kodi Mwizi Mbinafsi Malaya ( Muhuni ) Rais B Mpole Mkarimu Muungwana Ana uwezo mdogo wa Akili Mwizi wa taratibu Anainua Vipato vya Wananchi Mpenda Ushauri na Mawazo Rais C Mshirikina Mcha Mungu Mnafiki Mkabila na Malaya Muuaji Mpenda Visasi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Visiwa vya Chagos: Koloni la mwisho barani Afrika

    Chagos ni visiwa visivyojulikana sana ambavyo vipo katikati ya Bahari ya Hindi. Kwa miaka 150, vilikuwa sehemu ya nchi ya Mauritius iliyotawaliwa na Uingereza. Hata hivyo, miaka kadhaa kabla ya Mauritius kujipatia uhuru mwaka 1968, serikali ya Uingereza iliamua kuvitenganisha visiwa vya Chagos...
  7. JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika yasitisha uagizaji wa chanjo ya Astra Zeneca. Sasa kutumia chanjo ya Johnson & Johnson

    Umoja wa nchi za Afrika AU imesitisha mpango wa uagizaji wa dawa ya chanjo Astra Zeneca ambao ni kinga ya ugonjwa wa homa ya mafua wa COVID -19. Mpango huo wa AU ilikuwa ni kwa kiwanda cha Serum cha nchini India kutengeneza na kusambaza dawa hiyo ya kinga ya Astra Zeneca kwa nchi za Afrika...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amteua Mohamed Dewji (Mo) kuwa mshauri wake kwenye masuala ya Uwekezaji

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji. Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni mwa washauri wa Rais Ramaphosa kwa kipindi Cha miaka mitatu. ---- Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatoa misaada ya teknolojia kwa nchi 5 za Afrika

    Wanaosema kwamba Kenya inaomba omba chakula na kutegemea msaada kutoka nchi za ulaya. Tazameni hapa Kenya ikitoa msaada wa teknolojia. Tunapatia nchi 5 za Africa tablets 45,000 ili kuwasaidia kufanya census yao kidijitali. Isitoshe tutawafunza jinsi ya kufanya census kidijitali. Sisi hatutoi...
  10. JamiiForums Tanzania Kocha wa AS Vita: Tumefungwa na timu bora Afrika kwa sasa

    Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa. Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Raia wa Liberia waukataa Upuuzi wa Rais wao Weah ambao ulitakwa pia Kuigwa na Wanasiasa Wengine wa Afrika

    Liberians rejected a referendum backed by President George Weah to curb the length of presidential terms — a vote that could have helped the former soccer star extend his stay in office Chanzo: Bloomberg Africa Nimeamini kuwa Mwenyezi Mungu ana namna yake ya Kuwaokoa Watu wake katika HATARI...
  12. JamiiForums Tanzania Ivi nikweli kwamba wazungu walijitengenezea mazingira ya anguko lao Afrika?

    Kwa mujibu wa vitabu na walimu mbali mbali ina sadikika kuwa hivyo Wewe kama mwana historia jadili kutuaminisha kwa hii maada hapo juu Kiswahili & kingereza 0 KARIBUNI
  13. L

    JamiiForums Tanzania Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili masikini na ufisadi

    Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili maskini na ufisadi Kulingana na takwimu za benki ya dunia, mwaka 1960 China ilikuwa maskini kuliko baadhi ya nchi barani Afrika. Kwa mfano mwaka 1960, mgao wa pato la kitaifa kwaChina ulikuwa dola 89 tu, wakati DR...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika itachukua muda wa karne moja, miongo minne na miaka miwili kufikia usawa wa kijinsia

    Kulingana kasi ya ukuaji wa usawa wa kijinsia ya sasa kwa Afrika utafiti uliofanywa na "Global institute on the power parity in advancing women's equality in Afrika" kama ilivyonukuliwa na (Nanjala, 2020) East African, Afrika itachukua muda wa miaka mia na arobaini na mbili(142) kufikia usawa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tutegemee kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi yetu ikikua zaidi na kuongoza ndani ya nchi za Afrika Mashariki

    Kama ukichunguza vizuri utagundua katika serikali iliyopita ya Dkt. JPM katika miaka yote ya uongozi wake kwa wastani kasi ukuaji wa uchumi ilikua ni zaidi ya asilimia 6.8 hadi 7. Na ni dhahiri kuwa ndani ya Afrika Mashariki kuna nchi moja tu ambayo ndiyo ilikua ikitupa Changamoto ambayo ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

    Katika mahojiano ya Jana VOA -Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020? -Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi? -Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Afrika matatani kufuatia Mapinduzi ya Katiba

    Demokrasia katika nchi nyingi za Afrika imekuwa ikilegalega kutokana na Sheria ambazo Bunge linatakiwa kumtii Rais hali inayopelekea Marais kutengua Katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani. Suala hilo la kubadilisha Katiba kwa kuondoa ukomo wa muda au umri wa Urais linafahamika kama...
  18. JamiiForums Tanzania CAF yatupilia mbali madai ya Al Merrick dhidi ya Simba

    Habari ndiyo hiyo
  19. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yakabiliwa na utata katika kupambana na ugaidi wakati wa kuishi na COVID-19

    Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu wengi na uharibifu mkubwa, na huenda nusu ya ardhi katika kaunti hiyo inadhibitiwa na kundi hilo...
  20. JamiiForums Tanzania Case Close: Aishi Manula ni Tanzania One, Case Starts: Namba moja Afrika

    Itoshe kusema kwamba ndani ya misimu hii mitano huyu ndio golikipa bora kwa Tanzania. Kumlinganisha na golie wengine ni kumkosea heshima tu. Tusisubiri mpaka Rais Samia amtolee tamko. Hii kesi tunaifunga na faili tunalitupa makumbusho. Tunafungua faili jipya tunasema Aishi Manula anatosha kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…