afrika

  1. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Simba SC Wamekosea Kuajiri Kocha Asiye na Uzoefu wa Soka la Afrika.

    Sote tumeona aina ya Kocha ambaye ameajiriwa na Simba SC. Kocha ambaye amechukua nafasi ya Didier Gomes. Tukiamua kutumia jicho la tatu la kiuchambuzi kila anakubariana na mimi kuwa Simba SC inaenda kupitia changamoto nyingine ya kibahati nasibu. Uzoefu:- Yes anauzoefu wa kufundisha katika...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi za Magharibi zinalenga kuzigawanya nchi nyingi za Afrika?

    Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo. Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo: matumizi ya magari ya FAO yaliyopeleka msaada wa vyakula na waasi wa TPLF. Ushahidi wa Marekani na washirika...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Nini kunakuwa na mapinduzi ya kijeshi nchi za Afrika

    Mambo yapokwenda kombo na wazee was kazi wanaamua that is to much uongozi wa kiraia hauna tija Kama ilivyotokea kule Guine na Sudan
  4. JamiiForums Tanzania Demokrasia Afrika ni Kitendawili

    Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika. Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi wakitwaa madaraka kutoka utawala wa kiraia. Huko Ethiopia utawala wa Waziri Mkuu Abey ukielekea...
  5. JamiiForums Tanzania Mlipuko wa COVID-19 unaweza kuongeza maambukizi ya Virusi vya UKIMWI Afrika

    Ukanda wa Afrika Magharibi na Kati unaweza kushuhudia ongezeko la maambukizi na vifo vinavyohusiana na VVU katika miaka mijayo kutokana na Huduma za Afya kuathiriwa na Mlipuko wa Virusi vya Corona. UNAIDS imesema Huduma za Afya zimeathiriwa kwa kiasi kikubwa na janga hilo, hali iliyolazimu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yazisaidia nchi za Afrika kupata maendeleo katika matumizi ya teknolojia ya mawasiliano

    Na Caroline Nassoro Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Sanaa na kazi za ubunifu za Afrika zakaribishwa nchini China

    Na Kelvin Ogome Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Benki ya Dunia inaonyesha kuwa, asilimia 7 ya pato la jumla barani Afrika hutokana na utalii. Kando na kilimo na uchimbaji madini, mataifa mengi ya Afrika hutegemea utalii na watalii kujiendeleza kiuchumi. Hili ni dhihirisho kamili kuwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China barani Afrika, waendelea kuchangia maendeleo ya uchumi na kuboresha maisha ya watu

    Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiendelea kuimarika, na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi wa nchi za Afrika. Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, nchi mbalimbali za Afrika zimeonyesha kuwa na ongezeko madhubuti la...
  9. JamiiForums Tanzania Nidokeze haya kuhusu Trekta za South Afrika

    1. Nawezaje kuagiza trekta used toka South Afrika. 2. Ni kampuni ipi ya South Afrika ni ya uhakika kwenye kuuza hizo machine 3. Gharama ya kusafirisha mpaka Bongo inaweza kuwaje? 4.Nimeona wanauza Massey MF 290 4WD. Hizi ni MF za namna gani maana nimezoea MF 290 ni 2WD. Kuna kipindi nilichat na...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Edouard Mendy vs Mohamed Salah Mchezaji bora wa Mwaka Afrika nan anastahili?

    NAWEKA MJADALA MEZANI: Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
  11. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Afrika Kusini 2021

    Kesho Afrika kusini itafanya uchaguzi wa serikali za mitaa(LGE). Ushindani mkubwa ni kati ya ANC, DA na EFF . Licha ya kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali Kama madini nchi hii ya bondeni mwa Afrika imekumbwa na wimbi kubwa la. *Ukosefu wa ajira *Umaskini *...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa WHO atoa wito kwa G20 kumaliza mzozo wa chanjo

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa Kundi la mataifa 20 yaliostawi na yanayoinukia kiuchumi G20 yana uwezo wa kuzuia janga la virusi vya corona kuenea zaidi na kuzuia majanga ya siku zijazo. Akizungumza wakati wa mazungumzo kuhusu afya hapo jana kwenye...
  13. B

    JamiiForums Tanzania High-level Dialogue: An Adaptation Acceleration Imperative for COP26 - Jakaya Mrisho Kikwete

    High-level Dialogue: An Adaptation Acceleration Imperative for COP26 - Jakaya Mrisho Kikwete The Global Center on Adaptation (GCA) convened a High-Level Dialogue towards shaping a clear “Adaptation Acceleration Imperative for COP26”. Just weeks from the start of COP26, the dialogue gathered...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kinara katika usalama wa chakula Afrika

    Ni jambo la heshima sana kwa nchi kufikia hatua hii. USALAMA wa CHAKULA ni suala linaloangaziwa duniani kote. Nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. KAZI IENDELEE. ===== Nairobi. African countries are becoming food-secure by lowering food prices, improving...
  15. JamiiForums Tanzania WHO: Uhaba wa bomba za sindano unaweza kuathiri harakati za utoaji chanjo barani Afrika

    Jitihada za Bara la Afrika kuwachanja Raia wake huenda zikaathiriwa na uhaba wa bomba za sindano. Shirika la UNICEF linakadiria Uhaba wa hadi Bilioni 2.2 Mkuu wa Shirika la Afya (WHO) Afrika, Matshidiso Moeti amesema mwaka 2022 Chanjo zitaanza kuja Barani humo kwa kiwango kikubwa, lakini uhaba...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zafaa kuiga mbinu za kisasa za kilimo kutoka China

    Na Tom Wanjala Mnamo mwaka wa 1978, China ilikuwa miongoni mwa mataifa maskini duniani. Kutoka mwaka huo, taifa hili likaja na mikakati na harakati za kujitoa kwenye hali hii ya umaskini iliyokuwa tishio kwa mamilioni ya raia wake. Ikiwa ni nchi pekee ulimwenguni yenye idadi kubwa zaidi ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China kutoa mikopo ili kuweka ‘mtego wa madeni’ kwa Afrika ni kauli za uzushi tu

    NA PILI MWINYI Hakuna ubishi kwamba China sasa ni nchi yenye nguvu kubwa duniani. na ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani. Kwa nchi nyingi, kutoka Asia, Afrika hadi baadhi ya sehemu za Ulaya, China imekuwa mshirika muhimu na mkubwa wa kiuchumi. Mwaka 2009, China iliipindua Marekani na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ateuliwa cheo muhimu cha juu Vodacom, Afrika Kusini

    Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe ====== Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer. The announcement was made by Safaricom...
  19. JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) waisimamisha Sudan uanachama kufuatia Mapinduzi

    AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe. ====== The African Union has said it suspended Sudan from all its activities after the Sudanese military overthrew the civilian-led transitional government in a coup. In a...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

    Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…