africa

  1. J

    CCM ndio taasisi kubwa kuliko zote Africa mashariki

    Kama unabisha Fanya Utafiti utujuze taasisi gani iwe ya umma au NGO inaizidi CCM 1. CCM ina rasilimali kila Mkoa na Wilaya hadi kata 2. CCM ina Wanachama kila mtaa 3. CCM ina mbunge kila jimbo pale iliposhindwa kwa Kura imeweka wa viti maalum 4. CCM ina viwanja vikubwa vya michezo kila...
  2. S

    Kungekuwa na machaguzi, nisingezaliwa Afrika

    Teknolojia duni, imani za Mizimu na Mungu lakini magonjwa, umaskini na njaa bado zimetawala. Bara limetawaliwa na mihemko kuliko akili. Bara ombaomba. Sidhani kama Bara hili litakuja kujielewa.
  3. S

    Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
  4. SINDANO ilipoingilia south Africa ikatokeaaa ZNZ Tuwe wapole tu amani ya Mungu iwe nanyiiiiiiii

    Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia Yt SINDANO ikaingia kwa Amani Jana kwa mapenzi MEMA sindano Ile Ile iliooingizwa na rubani yule yule refarii...
  5. Naombeni kuuliza .mbona kama bus za kwenda south Africa au Malawi hakuna

    Kuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
  6. Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya Africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini

    Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu . Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio...
  7. Barani Africa: msimu huu makombe yote yatachukuliwa ugenini, mmoja kupigwa nje ndani

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani SAYUNI BOY
  8. M

    Lissu kuwa sehemu ya jopo la uongozi wa IDU, hakuharakishi viongozi Madikiteta Africa kufikishwa ICC?

    Miongoni mwa shughuli ambazo IDU huzifanya, ni pamoja na Kulaani, kuweka msimamo wa kisiasa, au kuhimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua, Na kazi ya Jumuia ya kimataifa, ni kufanya uchunguzi wa mambo maovu yanayofanywa na aidha serikali na ama kiongozi na kisha Umoja huo kutoa agizo la...
  9. Dubai na South Africa magari ya bei mbaya used ni asilimia kubwa ni ya wizi

    Ukiona watu wanatembelea range usiogope ila muulize peleka kwa wakala wa range litengenezwe maana litakuwa na history. Nimeona bora kuwaletea hii mada kuna mikasa mingi ya wizi wa magari USA,wingereza na Europe na zote walalamikaji wadai magari mengi kuonekana dubai ndio kitovu cha soko...
  10. Are you working to stop the spread of false information in Africa?

    Are you working to stop the spread of false information in Africa? Whether you're a working journalist, a student or a professional fact-checker, your commitment to facts deserves recognition. Enter the...
  11. Tanzania ilikuwa sahihi kuisadia ANC kuondokana na utawala wa makaburu Afrika Kusini? Tulifaidikaje?

    Kwa nini Tanzania tuliisaidia ANC kwa hali na mali kupambana na serikali ya makaburu Africa Kusini? Je Tanzania tulipoisaidia ANC dhidi ya utawala Makaburu tulikuwa sahihi kama nchi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yao? Tulipata faida gani kama nchi kuisadia ANC kuwandoa makaburu walioleta...
  12. Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

    Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali... Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa...
  13. Ushauri wa mwisho kwa CCM: Achaneni na Tundu Lissu, mnavyozidi kudeal nae ndo mnavyozidi kuharakisha anguko lenu, East Africa Spring iko njiani.

    Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha Watendaji na Viongozi wanapokiuka Katiba na Sheria. Kwa alipo Tundu Lissu sasa, lolote mtakalojaribu...
  14. Concerns About Electoral Integrity: Is WHO Africa Addressing Fraud in Janabi's Candidacy?

    The question I’m asking is: "Does WHO Africa not have electoral fraud to allow Janabi to win?" I raise this question because this candidate comes from a country that has a history of electoral malpractices and vote rigging. Electoral integrity is crucial for any democratic process. When a...
  15. Trump na MAGA wanamshambulia Taylor Swift kawa kibonge! Wangefika bongo au South Africa wangeshangaa wazimie.

    Kwa wazungu wa Marekani Taylor Swift wa kulia anaonekana amekuwa kibonge na sio wa moto tena kama alivyokuwa kushoto! Sio ajabu Trump hataki kuja Africa maana huku "mizigo" ndio kipaumbele na inayohusudiwa, watu wanataka mwanamke mmoja awe kama Taylor watatu hivi.
  16. Early Sexual Activity and Cervical Cancer Risk in Africa: Understanding the Complex Connection

    Early Sexual Activity and Cervical Cancer Risk in Africa: Understanding the Complex Connection The Alarming Reality of Cervical Cancer in Africa Cervical cancer stands as the most common cancer affecting women across Africa, leading both in incidence and mortality rates. This sobering reality...
  17. AI ya Elon(Grok) yadai kulazimishwa na Elon kusema kuna mauaji ya kimbari ya makaburu Africa Kusini

    Grok kwa siku kadhaa zilizopita ilikuwa ikiambatanisha sentensi zinazungumzia mauaji ya kimbari ya watu weupe katika kila jibu lake hata katika mambo yasiyohusiana na jambo hilo!
  18. JAMVI LA WANAWAKE: Mshaurini binti kayavaa na mwanaume wa South Africa

    Nimekopi meseji kama nilivyoipokea. ************ Dada shikamoo, Miaka 4 iliyopita niliolewa na mwanaume wa Kitanzania anayeishi South Africa. Nimezaa naye mtoto mmoja na nina ujauzito wa mtoto wetu wa pili. Huyu mwanaume alinikuta na mtoto mdogo wa miaka 2 ambaye baba yake alifariki kwa ajali...
  19. United States of Africa - ndoto itakayotimia

    Salaam Afrika ,Salaam Wana na Binti wa mama Afrika,Enyi watu wake aliyewaridhia.ni ndoto ya kila mwafrika wa kweli mwenye maono ya ukombozi kuona waafrika wanakuwa kitu kimoja,wanakuwa taifa moja na wenye nia moja. Huu Uzi huenda ukawa ni upumbavu kwa wengi ila ninauandika kwa tafakuri na nia...
  20. Baba wa Taifa(founding father) bora kuliko wote Africa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…