Baba wa Taifa(founding father) bora kuliko wote Africa

Baba wa Taifa(founding father) bora kuliko wote Africa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
62,735
Reaction score
105,416
Screenshot_20250514-111443_X.jpg
 
Leopold Cedar Sengor (Rip) wa Senegal na ndiye rais wa kwanza katika Afrika kuachia ngazi kwa hiari yake mwenyewe mwaka 1980 na ndiye rais ambaye hakufuta mfumo wa vyama vingi baada ya kupata uhuru 1960.
 
Senegal imekuwa na changamoto nyingi za kidemokrasia japo imestahimili, pia alifuta vyama vingi
 
Mwalimu NYERERE ndio baba wa Taifa Bora kabisa duniani. Huwezi kulinganisha Taifa lenye watu 2.5m na Taifa lenye watu 70m ? Wilaya ya ilala pekee Ina watu wengi kuliko nchi ya Botswana ,tuweni tunalingajisha vinavyofanana.

Tanzania ingekuwa na watu 2.5 Leo hii ingekuwa ulaya
Huuu ni upuuzi wa kumkwepesha Nyerere na lawama, Nyerere hapaswi kuepuka lawama ujinga na upumbavu wa nchi Nyerere ndio atabeba kama ishu ni population mbona Burundi ina watu wachache na haijawa kama ulaya? Acha upumbavu wako
 
Back
Top Bottom