africa

  1. JamiiForums Tanzania Turtle Island. Sierra Leone. West Africa

  2. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Africa kwa unywaji wa pombe nyuma ya mataifa tajiri ya Ulaya

    Top Consuming Country by Alcohol Type Consumption/Capita Czech Republic Beer 6.77L France Wine 6.44L Cook Islands Spirits 7.07L Tanzania Others 6.60L The importance of local crops couldn’t be overstated. Regions like Africa and Asia that struggle with the right conditions for grapes or...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kenya wamewezaje kuwa na giants kuliko mataifa yote Afrika Mashariki!?

    Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi. Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito. Hali ni...
  4. JamiiForums Tanzania Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

    Rais Hakainde Hichilema kutoka Zambia na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka Tanzania ndio marais pekee kutoka Africa wanaokwenda ng'ambo kwa kutumia ndege za abiria|Umma. Rais Samia Suluhu wa Tanzania pamoja na kuwa na ndege mpya 11 zikiwemo zenye uwezo wa kuruka moja kwa moja kwa zaidi ya masaa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la wafanyakazi huru (freelancers marketplace) kwa Afrika linaweza kushamiri?

    Nauliza kama jukwaa au soko la freelancers au wafanyakazi huru linaweza kua na tija au uhitaji kwa Africa mashari au hata Africa kwa ujumla. Kwa kiasi flani watu wengi naona wako Fiverr, Upwork etc ambayo ni makampuni ya Marekani au ughaibuni huko. - Najua vijana wanahitaji na wako tayari...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa Funds for Africa ni matapeli?

    Jamani habarini , Naomba kwaanaewajua vizuri hawa Funds for Africa, kuna Post yao ya field officer niliombaga sasa wamenijibu kwa kunitumia attached form inayonitaka nijaze hiyo moja, lakini pili wamenitaka nifanye kitu kinaitwa Psychometric Assessment tests ili Report yake niweze attached pia...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Twiga Foods raises Sh5.5bn for East and West Africa expansion

    Kenya agricultural tech start-up Twiga Foods has raised Sh5.56 billion from international investors for East and West African expansion. The latest fundraising, which was led by private equity firm Creadev, also included Africa-focused firm such as TLcom, IFC ventures, DOB Equity and Goldman...
  8. JamiiForums Tanzania Port Alfred in South Africa

    Ninge penda kujua idadi ya wabantu wanaoishi hapa
  9. JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) waisimamisha Sudan uanachama kufuatia Mapinduzi

    AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe. ====== The African Union has said it suspended Sudan from all its activities after the Sudanese military overthrew the civilian-led transitional government in a coup. In a...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity set to spend Sh500bn on Kenya, South Africa businesses

    Equity Group has set aside Sh500 billion to finance Kenyan and South African firms seeking to trade or invest in Africa, in a move to expand its business beyond seven countries where it operates. The bank will offer credit to companies that want to set up manufacturing, construction, health and...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ready talent: Reason why multi-nationals are making Nairobi the hub for their operations in Africa

    British underwriter Prudential Plc has largely cited the availability of ready talent and government facilitation for its decision to make Nairobi the hub for its operations in Africa. Nick Holder, Prudential chief operating officer for Africa, said Nairobi stood out among other locations...
  12. JamiiForums Tanzania Bustani ya Eden ipo Afrika Mashariki?

    Binadamu wa kwanza aliishi yapata miaka milioni tatu iliyopita, fuvu lake liligunduliwa huko oldvai George na mwana akiolojia Dr Leakey akiwa na mke wake Mary Leakey. Mwanzo Adam na Eva waliishi ktk bustani ya Eden, baada ya kula tunda wakafukuzwa wakaambiwa waishi nje ya bustani ya Eden...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KQ, British Airways deal eases flying in Europe, Africa

    Passengers flying Kenya Airways to the United Kingdom can now connect to 26 cities in the UK and Europe after the national carrier signed a code-share agreement with British Airways. The partnership will boost business travel and tourism between African destinations and Europe. The move will...
  14. JamiiForums Tanzania Watu weusi, tunafanana sana Kitabia kuliko tabaka lingine zote duniani

    Mara 3 nilipata nafasi ya kuhudhuria mikutano ya kisiasa South.. kwa kiasi kidogo kuna kitu nilikigundua kuhusu Siasa za Africa kusini na Africa kwa ujumla. Mara zote hizo nilihudhuria mikutano ya Chama cha Malema tu. Upande wa ANC sikuwai hudhulia mikutano yao labda kutazama katika runinga...
  15. JamiiForums Tanzania Pata Mashine za aina zote kwa bei ya viwandani kwa kuagiza kutoka China, Japan, Dubai au South Africa

    Umeshawahi kutafuta kwa mda mrefu kwa mfano mashine ya kuosha magari au mashine za kukausha dagaa. Na mashine zingine zinazohitajika sana kwa mfano mashine ya kukamua alizeti na ile ya kukamua juisi za miwa na ukakosa? Hauitaji kujisumbua kutafuta, tupigie na utuagize tukuletee hadi mlangoni...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Nimezima East Africa Radio, kuna jamaa anasema Manara ndiye aliyeifanya Simba SC kuwa kubwa

    Nimezima na redio kabisa kuna jamaa anasema manara ndiye aliyeifanya simba kuwa kubwa na kwa sasa hamna kitu sababu mashabiki wengi wamemfata utopoloni. Hivi ile sheria ya kuwa na chetti kwa hawa watangazaji inaanza lini jamani Kipindi kinaitwa kipenga xtra zengwe, kama walevi vile
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Tractors zilizotumila Afrika Kusiniin South Africa

    Kuna makampuni mengi South Africa yanauza matekta na zana za kilimo kwa bei ambayo sio mbaya sana huku yakiwa kwenye ubora mzuri. Kwa wenye ujuzi au waliowahi kununu vip ubora wake upoje na pia kuna changamoto gani kwenye hizo zana za kilimo.?
  18. C

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alisoma vyuo gani huko Afrika Kusini na China?

    Kila siku anafanyiwa interviews na press conferences anafanya lakini sijawahi kusikia akiulizwa hili swali kabisa, Jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni msomi aliyebobea. Binafsi nilimsikia kipindi cha amplifier akihojiwa na Millard Ayo akijinasibu kwamba anayo DEGREE YA MASS COMMUNICATION toka...
  19. JamiiForums Tanzania Mnada mali za Makamu wa Rais Equatorial Guinea, Teodoro Nguema: Urais Afrika ni mtamu kwa marais kama hawa

    Wizara ya Sheria, Marekani (DOJ), imetangaza kuwa fedha ambazo zimepatikana kwa kupiga mnada mali za Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Nguema Obiang Mangue, zitatumika kununua chanjo na kuisaidia nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Obiang ni mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea Teodoro...
  20. JamiiForums Tanzania Nyerere alifanya uhamishaji wa watu mkubwa kabisa katika Afrika?

    Inasemekana kuwa kuhamisha watu waishi kwenye vijiji vya ujamaa ndiyo uhamishaji wa watu mkubwa zaidi kuwahi kutokea Africa. Inasemwa kuwa katika miaka minne, toka 1974 hadi 1977 watu milioni 11 walihamishiwa kuishi kwenye vijiji vya ujamaa. Inasemwa kuwa moja ya matokeo ya jambo hilo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…