africa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Cuba imeonesha njia. Afrika tuone aibu

    Hii nchi ya Cuba ambayo ina vikwazo kiasi kwamba magari yao mengi ni yale ya kabla ya vikwazo miaka ya 1950’s mpaka sasa wana dose mbili ambazo karibu zitapata uhakiki wa WHO na tayari zina kinga kwa 90% Corona. Nchi hii ina watu milioni 11 tu chini hata ya Rwanda! Ni kisiwa…… Sasa sisi na...
  2. JamiiForums Tanzania Kamwe Kamwe: Inside Burundi’s Killing Machine - BBC Africa Eye documentary

  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya becomes the second African country after South Africa to own salvage boat

    Kenya becomes the second African country after South Africa to own salvage boats after the Kenya Ports Authority (KPA) acquired a $16.65 million multipurpose salvage tugboat and three ship-to-shore gantry cranes at $28.9 million. The salvage tugboat bought from Turkey and three ship-to-shore...
  4. JamiiForums Tanzania Je naweza kutumia king'amuzi cha Dstv cha South Africa hapa Tanzania?

    Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Speakers in Africa who resigned from their posts

    Speaker is one of the top governmental posts and rarely leaves before their term ends. Not long ago, speakers’ tendency to resign from their posts has been growing in Africa, and here is the list. 1. Abdula Gemeda – Ethiopia In 2017, Gemeda, representing the Oromo community, resigned, claiming...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Afrika ni bora kuwakosea wananchi lakini si kumkosea Rais

    Tulinganishe hizi kauli "Kama Hutaki kukatwa KODI, HAMIA BURUNDI"... tukilinganisha na kauli ya Jobu ni nani alipaswa kujiuzuru kwa maslahi mapana ya wananchi.... Hivi wananchi tunajielewa kweli?? Au tunapelekwa na mvumo Wa upepo unapoelekea.... Kiongozi gani au mwanachama gani CC alijitokeza...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo na mwenye mafanikio Afrika Mashariki na Kati

    Anaitwa Huddah Monroe! Amezaliwa mwaka 1995 october 10 huko Kenya. Elimu yake ni form 4 au high school kwa huko kenya. Amejizolea umaarafu kutokana na majarida ya ulaya na marekani kumtaja kama mwanamke mrembo zaidi kuwahi kutokea kwa africa mashariki na kati, ambapo inaaminika afrika mashariki...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa utaratibu wa viongozi wa AFRIKA, mama kawavumilia sana

    Mimi binafsi nasema mama kawavumilia sana na alifanyanao kazi kwa imani watabadilika na alifahamu maamuzi hayo ni mzigo mzito sana kwake... Hakuna Kiongozi Wa Afrika aliefanya kazi na timu ya aliyemtangulia, lakini mama amejaribu kulifanya ilo, Rais Wa DRC alijaribu kufanya kazi na timu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi, TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho...
  10. JamiiForums Tanzania BBC Swahili: Zuchu ndio msanii bora wa East Africa 2021!

    How do you find it guys!!? Mi binafsi nakubaliiii. Haappy New yearrr to u alll. Love U === Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza. Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza na ana sifa za muziki wa Tanzania aina ya Bongo Fleva. Mwaka uliopita...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yalegeza kanuni za kudhibiti Corona

    Taifa hilo limeondoa marufuku ya watu kuwa nje kuanzia saa saa sita usiku hadi 10 alfajiri. Vilevile, mikusanyiko ya ndani haitakiwi kuzidi watu 1,000 na ya nje watu 2,000 Pia, Serikali imeashiria kuruhusu uuzaji wa pombe baada ya saa tano usiku, hatua inayotoa ahueni kwa Wafanyabiashara ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

    Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya named top safari destination in Africa

    Kenya remains a world-leading safari destination in 2021, according to the World Travel Awards. This marks the seventh time in a row that the country has been recognised as the premier wildlife tourism stop at the prestigious annual global awards. Kenya beat Botswana, South Africa, Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania HATA DIAMOND KASHINDWA KUFIKISHA VIEWS MILION NDANI YA SIKU!! MABANDO YATAZIKA UMAARUFU WA SANAA YETU AFRICA.

    Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani, Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa. Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
  15. JamiiForums Tanzania YouTube Hali ni Mbaya! Viewers kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

    TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania 10 Most unhappy countries in Africa...

    Afghanistan is widely recognized as the unhappiest country on the planet. The next three countries on the list are Zimbabwe, Rwanda, and Botswana. According to the research, the countries at the bottom of the list are those where political and armed conflicts are widespread or have been in...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Africa: Why are we poor and beggers?

    Plse open the video and listen for yourself
  18. JamiiForums Tanzania Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

    Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa zaidi. Bora mabibi wa-kitaliano, wapo social na ukimpa show Kali anakuachia Dola za maana. NB...
  19. JamiiForums Tanzania vituko vya viongozi wa Africa katika picha

    picha ya kwanza ni waziri wa fedha wa zimbabwe akizindua dampo na picha ya pili ni viongozi wa serikali huko Namibia wakiwa kwenye mkutano ambapo ndani ya ukumbi walifuata taratibu za kujikinga na covid ila badae walitoka nje na kupiga picha ya pamoja
  20. JamiiForums Tanzania The Europeans created a way for their own downfall in Africa during colonialism

    How is fact true support or go against the fact by two languages between kiswahili and english. Welcome. True or false with explanation
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…