africa

  1. JamiiForums Tanzania Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KQ signs deal with Ghana based airline to grow West Africa reach

    A Kenya Airways aircraft at JKIA. FILE PHOTO | NMG National carrier Kenya Airways (KQ) has inked a codeshare agreement with Africa World Airlines, a West Africa regional airline operating out of Ghana, to expand joint reach in the domestic, African and international routes. The agreement will...
  3. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wasimbe Tanzania ni kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika

    Hali nchini Tanzania imekuwa mbaya mno Wasimbe wanaongezeka kila kukicha kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa huko Africa Kusini katika kila wanawake 10 wasimbe ni 7. Bado haijajulikana shida hasa ni nini ila kwa mujibu wa wasimbe hao baadhi wanadai walikosa uaminifu huku wengine wakidai tamaa ya...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 60 floor tower to be built in Upper Hill, Nairobi (new tallest building in East Africa)

    This may be the final design. Source Paul Oburu, Aspera’s Design Director was invited to provide a design proposal for a 60 storey plus tower on a plot in Upper hill, Nairobi. The client’s brief required an iconic and high-end, striking design that would be the tallest building in Nairobi. The...
  5. JamiiForums Tanzania IMF 2022: Tanzania ipo Nafasi ya Nane kwa uchumi Mkubwa Afrika

    Makadirio ya shirika la fedha la kimataifa yaani IMF unaonyesha uchumi WA Tanzania umekuwa na kufikia $77 billion katika robo ya Kwanza ya 2022. Hilo ni ongezeko la Dola billion 12 kutoka GDP ya $65 bilioni, Tangy hakunawahi kuwa na ongezeko la bilioni 12 ndani ya mwaka mmoja. Ila tofauti ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania 5 things you didn't know about the WHITES ONLY TOWN in South Africa.

    People in the town of Orania, which is in South Africa, are mostly white. This makes it the most white town in the country. While there isn't a law against Black people taking part, there are a few rules. Black South Africans are often afraid to enter because they think the Afrikaners will...
  7. JamiiForums Tanzania President Magufuli, he was a true leader and a real son of Africa

    Habari zenu ndugu zangu wa JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa kuandika kile kilichosemwa na ndugu yetu ambae jina lake nimeliambatanisha na kichwa cha habari hapo juu. Ndugu Zitto amekuwa akiongea ukweli kuhusu viongozi wetu mbalimbali wa kiafrika bila kuangalia chama wala nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi tano za Africa zilizotembelewa zaidi na watalii 2020-2021

    Kama tunavyojua utaliii ni moja ya chanzo kikubwa cha mapato kwa nchi nyingi dunia. Hii ni orodha ya nchi za Africa zilizotembelewa zaidi na watalii kwa kipindi cha mwaka 2020-2021 ambapo kuliku na changamoto ya ugongwa wa Covid-19. SOUTH AFRICA-ilitembelewa na wataliii 2.3...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Basi la Africa Raha Express (T 382 DCS) latelekeza abiria sheli

    Wanabodi, Kwa ufupi ni route ya musoma-mwanza. Basi tajwa limenoa nanga saa kumi na moja unusu jioni kuelekea mwanza ambapo kituo cha mwisho inapaswa iwe buzuruga stand. Changamoto ni gari kuharibika, limeharibikia sheli moja kisesa( mtanirekebisha wenyeji sheli inaitwa "wave"). Ameskika...
  10. JamiiForums Tanzania Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

    Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang! Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa! Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
  11. JamiiForums Tanzania Aprili 25: Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani na jitihada za kuitokomeza

    Ugonjwa wa Malaria unaendelea kuathiri vibaya Afya na maisha ya watu duniani kote licha ya kuwa unazuilika na kutibika. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mtoto mmoja hufariki dunia kwa Malaria kila dakika mbili Inakadiriwa kulikuwa na Visa vipya Milioni 241 vya Malaria na Vifo 627,000...
  12. JamiiForums Tanzania Google imeanza kuajiri ofisi yao mpya ya Nairobi

    Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata! Google to set up first Africa product development centre in Nairobi Build for Everyone - Google Careers
  13. N

    JamiiForums Tanzania CEO Barbra kakiwasha South Africa Rise FM, Show ya Robert Marawa apangua fitina zote

    Alikuwa live kwenye show kubwa ya redio ya michezo iliyo hosted na yule mtangazaji maarufu Robert Marawa aliyekuwa mtangazaji wa supersport na mchumba wa zamani wa bOONGE MOJA LA DEMU liitwalo Pearl Thusi Back to the point, ni kwamba CEO kamchachana sana yule kocha katoa ushahidi wa kila aina...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi 2000 wa Kenya wana matatizo ya kiakili

    Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno! Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi. ==== Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao...
  15. JamiiForums Tanzania Dar Airport Named One of the Worst in Africa!

    Wakati tunaendelea kupigia chapuo Filamu yetu ya Royal Tour (Mimi naunga mkono mia mia) naomba tukumbushane tu kuwa tusisahau viwanja vyetu vya ndege. Hivi viwanja ndiyo uso wa nchi yetu. Mgeni anapofika kwenye uwanja ndege mara moja anaweza kujua amefika kwenye nchi ya namna gani kutokana na...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nigeria versus East Africa

    Okay you'll have seen that tweet from Nigeria about Zanzibar chiq who almost got raped. I was on her side until them Nigerians started tweeting nonsense about Swahili, Kenya and Tanzania!
  17. T

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Nchi za Afrika

    University of Zambia
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Afrika usisaidie Waafrika kupunguza bei ya Mafuta?

    Wadau nawaza sana juu ya huu mfumko wa bei, hasa bei za Mafuta. Ukizingatia China na India wao wanapambana ili kupunguza gharama za wananchi wao kwa kukataa matakwa ya Nchi za Ulaya juu ya Urusi, je kwanini AU nao wasijipange vivyo hivyo? Wanunue ngano na mafuta kwa mrusi bila kufuata masharti...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Je Clatous chama wa simba atacheza robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika?

    wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
  20. JamiiForums Tanzania The Best Startup Cities In Africa

    Commentary: Pamoja na kuwa na potential kubwa, Dar es Salaam haipo. Kuna mahali tunatakiwa kukaa na kurekebisha kama wajasi na kama nchi. Ukiangalia miji iliyopo kuna kitu kwa Bongoland yetu hakijakaa sawa ==============• Africa is an often underestimated and overlooked region when it comes to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…